Search results

  1. M

    Aliyesambaza meseji za kumkashifu Slaa ni....

    Congratulations to Guardian for eloborative, eloquent and superb investigative journalism. Mmeonyesha njia na hii ndiyo aina ya uandishi wa habari unaosaidia na kuendeleza jamii kwa ajili ya Umoja, Amani na Upendo wa raia wa JMT. Sasa kilichobakia ni kwa sisi wananchi kupitia taasisi zetu...
  2. M

    Elections 2010 List Kamili ya WanaCCM Waliopendekezwa Kugombea Nafasi ya Ubunge Tanzania Bara

    Nalitamani sana kama ungeweza kutengeneza statistics/ summary nzuri kwenye hiyo database yako kwa kila mkoa. Mfano: >Idadi ya majimbo kila mkoa >Wagombea wanawake / wanaume kwa kila mkoa >Wenye elimu Msingi/Sekondari/Chuo Kikuu kwa kila mkoa >Wogombea chini ya miaka 35, Kati ya 36 - 44...
  3. M

    Matani ya nilipokuwa mdogo

    Twende twende........ Mashavu kama unapuliza moto Twende twende........ Sura imekunjamana kama ngozi ya goti Twende twende ....... Kope za macho zimekomaaa hadi ukifumba zinatoa cheche... Nakumbuka enzi hizo kuna jamaa alikuwa anaitwa Madeje au Mzee wa Zagafula shule ya Msingi...
  4. M

    Ni uhaini - as simple as that!

    Haya mambo ni utata mtupu tuelimishane jamani. Hivi hizi Articles of Union zipo ndani ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania (KJMT) ? Ama pamoja na Katiba ya Zanzibar(KZ)? Kama zipo sehemu zote mbili je mabadiliko ndani ya KZ inabidi yaridhiwe na upande wa Muungano? Au yanakuwa binding...
  5. M

    Kinondoni: ....Eti mtu mmoja ana viwanja 99... vya nini?

    Ama kweli ukipanda bangi usitegemee kupata mchicha! Mleta habari katuhabarisha jamani katika lile fuku fuku la maafisa ardhi kinondoni kuna ofisa fulani anamiliki viwanja 94 kati ya 130 katika eneo moja lilopimwa! Watu wanahoji kwani kavunja sheria gani?! Jamani! Jamani wengi tunajua...
  6. M

    World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

    Hatutamsahau bwana Suarez 'The Cheater' kwa kuinyang'anya Afrika tonge mdomoni. Wenye data waziweke hapa lakini nimebaini characters za asili za watu nazo huchangia sana kwenye soka! Waamerika kusini wanaonekana ni watu wa kucheat cheat sana ili wapate mafanikio. Ukarimu wetu unatuponza...
Back
Top Bottom