Search results

  1. Peretti

    Je ni sahihi kuoa binti wa mitandaoni?

    Ni vizuri tu... cha muhimu usiparamie mtu, chukua nafasi yako kumfahamu. Maisha ya wengi saivi yapo mtandaoni ata ibada tunaangalia azam tv... so ni sehemu sawa tu kuapata mwenza
  2. Peretti

    Orodha ya majina Ajira kada za afya

    Hongereni
  3. Peretti

    Toa neno lolote kuhusu michango ya Harusi

    Mie nishaamua SICHANGII HARUSI YOYOTE maana sina ata mpango wa kuolewa [emoji6]
  4. Peretti

    Tutorial Assistant: Nafasi bora ya kazi isiyojadiliwa

    Kwa vyuo kama UDSM na wenzake masters unatakiwa uwe na 4.0
  5. Peretti

    Tutorial Assistant: Nafasi bora ya kazi isiyojadiliwa

    T.A ni mkufunzi Lecturer ndo Mhadhiri Sio mwalimu
  6. Peretti

    Tutorial Assistant: Nafasi bora ya kazi isiyojadiliwa

    Naona saivi utumishi wanaita direct kwenye oral kwa nafasi za kufundisha... sie tuliitwa oral moja kwa moja. Jiandae tu kuandaa presentation na kupresent
  7. Peretti

    Tutorial Assistant: Nafasi bora ya kazi isiyojadiliwa

    TA wa chuo kikuu mshahara ni zaidi ya 1.5m
  8. Peretti

    Tutorial Assistant: Nafasi bora ya kazi isiyojadiliwa

    Kazi za wenye GPA kubwa hizo... ndo maana hazijadiliwi [emoji16] wenye kuzitaka wachache
  9. Peretti

    Nimetongoza zaidi ya wasichana 50 darasani, wote wananikataa sijui nina shida gani

    Ukute una swaga za kukera au washajua unatongoza kula sketi (sifa zako zimeenea) [emoji1787]...
  10. Peretti

    Mshahara wa serikalini wa Assistant Procurement Officer kwa level ya Diploma ni Tsh. ngapi?

    Yaani nyuzi za namna hii zinahuzunisha... inaonesha miaka inayokuja tutakua na watumishi wa aina gani... watu wanajali sana maslahi kuliko kazi yenyewe.
  11. Peretti

    Barua za kuomba ajira za TRA utumishi tunaandika kwa mkono au Microsoft Word?

    Barua yoyote ya kuombea kazi lazima uandike kwa kingereza, utype na uisign.... labda kama tangazo la kazi liseme vinginevyo.
  12. Peretti

    Nina Diploma ya Community Development. Kwa course hii naruhusiwa kuomba kazi ya Tax Management Assistant ya TRA?

    Ata kama umesoma ajira portal haitambui hilo watakugomea. Ila kwanini unajisumbua kuuliza hapa... jaribu kuapply upate jibu la uhakika. Pia interview yao hutoboiiii...
  13. Peretti

    Maswali yaliyonitesa kichwa kwenye 'written interview' Utumishi

    Asa mbona ndo maswali mepesi kuliko yote kwenye interviews [emoji1] au kwa sababu nimefundisha sana research
  14. Peretti

    Mpenzi wangu alikuwa akifanya maongezi ya ngono na majirani nikamuadhibu hivi

    Alikukosea sana heshima aisee... Ila usipige mpenzio jamani
  15. Peretti

    Tutafutane hapa jamani

    Natafuta gari
  16. Peretti

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

    Kuweka picha, weka cv weka kila kitu yaani ili wakose sababu... namba ya NIDA. Hakikisha accout yako imefika angalau 80%
Back
Top Bottom