Search results

  1. K

    Stan Katabalo: Tunauhitaji mzimu wako wa habari za Uchunguzi!

    Hapana. Mganga huyo aliitwa Dr Nathan Misi. Kipindi hicho waganga maarufu walikuwa yeye na Bi Nyamichwo.
  2. K

    JamiiForums Legends of ALL Time

    JF ilinisaidia sana kukamilisha tasnifu yangu pale Swansea miaka 10 iliyopita. Nawiwa kuwashukuru sana.
  3. K

    JamiiForums Legends of ALL Time

    Glad to see I'm still remembered. Getting old though!
  4. K

    January Makamba amenitapeli kisiasa na CCM yao. Mungu anaishi anaona

    Kwa ujumla umefeli upande huo wa siasa. Kajaribu shughuli nyingine.
  5. K

    TABORA: Mkuu wa Wilaya ya Uyui abwaga manyanga!

    Theoretically ndiyo hivyo kweli inavyopaswa kuwa, lakini in practice tumeona mengi ya tofauti sana na tarajio hili. Tumeona mtu aliyeteuliwa kuwa mkuu wa wilaya, lakini alipofika kwenye ukumbi wa kuapishwa akaambiwa aondoke, aliteuliwa kimakosa. Kwa hiyo makosa yapo. Pili, taarifa niliyotoa...
  6. K

    TABORA: Mkuu wa Wilaya ya Uyui abwaga manyanga!

    Watu wamechangamkia kumsifia alivyojiuzulu bila kujua background yake. Hebu jiongezeni kidogo.
  7. K

    TABORA: Mkuu wa Wilaya ya Uyui abwaga manyanga!

    Huyu ndiye alikuwa wakili wa ESCROW. Mengine malizieni wenyewe.
  8. K

    TABORA: Mkuu wa Wilaya ya Uyui abwaga manyanga!

    ".............ilidaiwa kuwa Mnyele alikuwa akikabiliwa na shitaka la kumuua mkewe Pamela Ngunyali kwa kumpiga ofisini kwake katika jengo la Hugo Kinondoni baada ya kugombana. Ilidaiwa na upande wa mashtaka kuwa Mnyele alimpiga mkewe huyo Novemba 10, 2003 na kumsababishia majeraha ambapo...
  9. K

    Kikwete baba tunakukumbuka na tunazidi kukukumbuka

    Ndio maana nasema ametukomoa.
  10. K

    Polisi: Hatumsaki Zitto kwa uchochezi

    Kama shida ni vibali vya gari hata dereva anaweza kupeleka
  11. K

    Kikwete baba tunakukumbuka na tunazidi kukukumbuka

    Mimi naona ni adhabu, ametukomoa. Na alisema kwenye kampeni lakini kwa wakati ule. Akasema "mlisema miye mpolempole, sasa nimewaletea mkali!"
  12. K

    Kikwete baba tunakukumbuka na tunazidi kukukumbuka

    Nimetulia tuliii! Walisema 'majuto ni mjukuu'. Hata hivyo hatukuwa na ujanja, ndio maana nalilia ukali wa adhabu tuliyopewa. Ni kama mtoto unaambiwa 'si uliona makande hayafai? Haya sasa kula magunzi!'
  13. K

    Kikwete baba tunakukumbuka na tunazidi kukukumbuka

    Wapo waliokuita Vasco Da Gama, wengine wakakuita 'dhaifu', mtalii nk. Lakini ni wachache, siyo nchi nzima tuliokufanyia hayo. Ungetusamehe tu. Hii ni zaidi ya adhabu.
  14. K

    Nani kumrithi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Mwamunyange?

    Tangu ile operesheni yetu hadi leo inakaribia miaka 30.
  15. K

    Utafiti wangu: 'Massage Parlour' ni zaidi ya maduka ya ngono

    Mambo haya ni ya kawaida sana ughaibuni, huku Bongo bado mageni ndio maana wengi wanashangaa. Lakini mkiyazoea mtayaona ya kawaida tu, hata biashara hii ikifunguliwa jirani na nyumba yako kama wewe si mteja utaipita tu utaendelea na shughuli zako bila hata kuishangaa, na wanaohusika nayo...
  16. K

    Nani kumrithi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Mwamunyange?

    Cadet ni mwanafunzi wa uofisa. Ukimaliza hatua hiyo ndipo unatunukiwa kamisheni, kuwa 'commissioned officer' ambaye ni cheo kuanzia cha luteni usu (2nd Lt).
  17. K

    Nani kumrithi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Mwamunyange?

    Kama ni hivyo basi hayo ni mabadiliko makubwa sana. Classmates wangu niliomaliza nao A-level waliingia tulipomaliza JKT, ile "Operesheni Miaka 25". Nikiwa First year pale Mlimani wao tayari ni maluteni, nilipomaliza degree ya kwanza mmoja alikuja kwenye graduation yangu akiwa Captain, na sasa ni...
  18. K

    Nani kumrithi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Mwamunyange?

    "Land Force" ndiyo nini?
  19. K

    Waziri wa Fedha naomba ufafanuzi utozaji kodi kwenye fungu la kumi!

    Mheshimiwa waganga wa kienyeji waliosajiliwa hulipa kodi
  20. K

    Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ni lazima sii hiyari, tudai vyote

    "Adui yao siyo CCM bali adui yao ni tume......" Hapo ni sawa na kwamba mtu amekupiga ngumi akakupasua mdomo, halafu unasema "adui yangu si huyu mtu bali adui yangu ni ngumi yake"
Back
Top Bottom