Search results

  1. Semahengere

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Umesahau Mwalimu[emoji123]
  2. Semahengere

    Tungekuwa na viongozi wenye hekima, kusingekuwa na kukurupuka

    Kwa post hii ni dhahiri ng'ombe Mko wengi sana TZ. Kwa hiyo wewe uko tayari mtoto wako ale hayo machakula ya msaada yaliyoritubishwa Ambayo hatujaomba? Hivi nikikuletea msaada pale home kwako wa chakula kama hicho Si utasema ni dharau Au wewe utakula? Bila shaka wewe ni Mgogo wa Dodoma njaa...
  3. Semahengere

    Hii daladala inalazimisha wanafunzi wawe na Tsh. 200 kamili, zaidi ya hiyo hawarudishiwi chenji

    Wewe ulichukua hatua Gani ya kumsaidia mtoto kabla ya Kuandika huku?
  4. Semahengere

    Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS

    Hongera Bashe. Pinga Kwa nguvu zote hatuhitaji kuharibiwa watoto wetu Tanzania si nchi ya kusaidiwa chakula Kwa nini wasiisaidie Sudan kusini watu wanakufa njaa. Kuna kitu nyuma ya pazia
  5. Semahengere

    Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

    Huu ni uwekezaji mkubwa wa Marekani kuzalisha kizazi cha mashoga. Hii nchi imekuwa rahisi sana kuingilika na kila mtu. Nachelea kusema Serikali ni dhaifu sana Hivi Sisi watanzania ni wakupewa chakula kweli Wakati tunalisha Kenya, South Sudan na wengine Hata ukiwa mjinga si unaelewa kuna kitu...
  6. Semahengere

    Kwanini Kenya ni maarufu kuliko nchi nyingi za Afrika

    Kwa sababu ya kiherehere. Ndio Mke wa kwanza wa Mmarekani Africa Ngoja waende Haiti kwanza ...Tataenda kuzika kila wiki, Alshabab Hawajamalizana Leo wanaongeza Haiti.
  7. Semahengere

    Mkurugenzi wa Bandari amesema kuwa DP World bado hawajaanza kazi na hakuna mfanyakazi aliyevunjiwa mkataba wake

    Tuna wasomi wajinga Sana. Ukituhumiwa jibu tuhuma basi Hatua za kuchukuliwa Sio kazi yako Kwa sababu haina maana ulivyojibu Ndio ukweli Tatizo unachanganya siasa Kwenye kazi za taaluma. Haifai hata kidogo Mkurugenzi Jenga kujiamini
  8. Semahengere

    Nimemlipia binti mahari lakini bado ananizungusha

    Jitoe mapema upone. Utajuta. Nimebahatika kusoma habari yote. Ushauri wangu ni huu. Umeonyesha udhaifu mkubwa Sana Na hayo Ndio madhara ya kulelewa na Single mother. Umeombwa hela ya kusuka unakataa Je akiwa Mke? Elewa alikupima aone kama Dawa anayokupa imeingia Pale uliporeact ukakataa Kutoa...
  9. Semahengere

    UPDATE: Vifo vya Ajali Ngaramtoni vyafikia 25

    Police waliokuwa Barabarani juzi Wajitafakari Ile Gari ilikuwa haina escort ya Wide load
  10. Semahengere

    Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

    Naongezea kidogo hapo. Kuliko aende mbali Naona ni Bora achukuae huku huku Jamii forum
  11. Semahengere

    UPDATE: Vifo vya Ajali Ngaramtoni vyafikia 25

    Unakosea Sema ni Wazungu wanaofanya kazi Nchini. Sio watanzania
  12. Semahengere

    UPDATE: Vifo vya Ajali Ngaramtoni vyafikia 25

    Nikisema Ile ajali ni mtu alijitoa mhanga Nitakuwa nimekosea? Kwa vile kama alikuwa ni Dereva ilikuwa haina sababu kufika pale ajali ilipotokea. Yalikuwepo maeneo mengi nyuma ya kuiingia shambani Ikawa salama na Isilete madhara yeyote. Mimi kama Dereva wa mda mrefu nadhubutu kusema lile ni...
  13. Semahengere

    UPDATE: Vifo vya Ajali Ngaramtoni vyafikia 25

    Habari wadau Nipeni muda kidogo nitawajuza uharibifu ni wa kiwango gani lakini ukweli ni kwamba hali ni mbaya sana, watu wengi wamefariki. Kwa wasiojua Ngaramtoni ni Arusha, Nairobi Road. Kwa kifupi ni kwamba imeua wazungu wengi sana. Walikuwa kwenye Coaster pamoja na Raia na waendeshaji wa...
  14. Semahengere

    Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia mauaji ya Aneth Msuya

    Ngoja wazee wa Kipare wakakae Kikao chao Mbona huyo mama atajinyonga mwenyewe
  15. Semahengere

    Ni kweli Arusha ni Geneva ya Afrika?

    Hilo Neno lilisababishwa na Hali ya hewa(climate) Otherwise Hakuna lolote
  16. Semahengere

    Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia mauaji ya Aneth Msuya

    Sheria haioni ndani kweli pesa. Mawakili wetu wanajua kuchangamkia fursa. Ndio maana Magu alikuwa hataki ujinga Jamaa walikuwa wanavuta muda kidogo watanzania wasahau Tafuta pesa sana Utaipenda hii nchi. Kesi ni Biashara nzuri Tanzania
  17. Semahengere

    Tatizo la umeme pekee linaweza kuiangusha serikali hii

    Mtangoja sana Kujitenga Poleni
  18. Semahengere

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dkt. John Pima na wenzake wameshinda rufaa ya kupinga kifungo cha miaka 20 jela

    Hilo Tu linatosha kumfutia mtu hatia. Sio kubadilisha Hukumu kusomewa mahali sahihi? Huu mfumo utafunga masikini tu.
Back
Top Bottom