Search results

  1. Mtamile

    Dar es Salaam Maritime Institute (DMI), Bachelor’s Degree Selection

    Majina ya wanafunzi waliochaguliwa yapo kwenye hii Link dmi.ac.tz/bachelors-degree-selection
  2. Mtamile

    Wiliiam M Ngeleja Kutangaza nia tarehe 04/06/2015

    Mbunge wa Sengerema na Waziri wa zamani wa nishati na Madini Ndugu William Ngeleja anategemea kutangaza nia kwa ajili ya kuteuliwa kuwania uraisi na chama chake cha CCM mnamo tarehe 04/06/2015 jijini mwanza kabla kuelekea makao makuu ya nchi kwa ajili ya kuchukua fomu, Ameyasema hayo leo jioni...
  3. Mtamile

    Zitto Kabwe akiomba kura nafasi ya Uongozi wa Chama ACT

    Hapo Zitto Kabwe akiomba kura kuchaguliwa kuwa Kiongozi wa Chama. Nataka kuuliza tu kwa wale wajuzi wa Mambo hivi Kuna tofauti gani kati ya Kiongozi wa Chama na Mwenyekiti wa Chama, Hapa nani atakuwa Kiongozi mkuu wa Chama? =======UPDATE======= =====UPDATE=====_
  4. Mtamile

    Not So Fast: Collabo ya Diamond na P-Square bado haijatoka

    Kama umedownload au kutumiwa wimbo unaosemekana kuwa ni wa Diamond featuring P-Square na pamoja na kuusikiliza kwa mara kibao ukashindwa kusikia sauti ya Paul au Peter Okoye, basi sikio lako halikudanganyi – hakuna collabo hiyo. Wimbo huo unaitwa ‘Marry Me' ni wa Iyanya ambao...
  5. Mtamile

    Mkutano wa Zitto na Warioba: Waongelea masuala ya uwajibikaji, Maazimio ya Escrow

    Warioba, Zitto wajadili escrow Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (kushoto), akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe. Masaki Dar es Salaam Dar es Salaam. Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba...
  6. Mtamile

    Happy Birthday Ally Kiba

    Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mwana bongo fleva Ally Kiba Tumtakie maisha marefu na yenye baraka N:B Sitarajii kama huu utakuwa uwanja wa Kupambanisha watu tumtakie tu Ally Kiba heri ya siku/tarehe ya kuzaliwa
  7. Mtamile

    Audio: Msikilize Jide akithibitisha rasmi kuwa Amemuacha Gadner

    Hatimaye Lady Jaydee amethibitisha kwa kauli yake mwenyewe kuwa ndoa yake na mtangazaji mkongwe wa redio, Gadner G Habash imevunjika. Akiongea leo kwenye Exclusive Friday ya kipindi cha Sunrise cha Times FM, Jaydee amesema ni yeye ndiye aliyeamuacha Gadner. Kwenye mahojiano hayo, Jide...
  8. Mtamile

    Audio: Forever - Lady Jaydee ft Dabo

    Wimbo Umetayarishwa na Producer Man Walter wa Combination Sound na Video inatarajiwa kutoka wiki ijayo ikiwa imetengenezwa na Adam Juma wa Visual Lab Lady Jaydee ft Dabo - Forever by Mashaka Kisusi - HulkShare
  9. Mtamile

    Asante Diamond umeongea ukweli ambao mashabiki wako hawataki kuusikia!

    Kwenye huu uzi hapa chini kuna ndugu zangu walikomaa kweli wakipingana na hiki alichokisema diamond leo Diamond umethibitisha mwenyewe www.jamiiforums.com/celebrities-forum/754935-diamond-ameonesha-njia.html#post11116555
  10. Mtamile

    NACTE: List of successful transfers

    The National Council for Technical Education (NACTE) would like to inform you that the deadline for transfers (applications and allocation to new institutions) was on 3rd November 2014. A list of students showing new allocations as per their applications has been posted in/on the NACTE website...
  11. Mtamile

    The Return of East Coast Team (ECT)

    Kupitia ukurasa wa Facebook wa Presenter Loveness Love - Diva amesema East Coast Team wako Studio kwa Marco Chali wakiandaa Wimbo Mpyaaa ====AY pia ====
  12. Mtamile

    Exclusive: Matano aliyoyasema Alikiba kwenye interview na DSTV

    Yafuatayo ni mambo matano yanayomuhusu Ali Kiba ambayo DStv.com kwenye Exclusive interview imeyapata, baada ya kukaa nae na kumuuliza maswali mbalimbali. 1. Anasema amemaliza kuijenga nyumba yake toka mwaka 2007 na ni kutokana na pesa za muziki, anasema kila mwenye kipaji cha muziki akifanya...
  13. Mtamile

    Chorus Wimbo mpya wa Jaydee (Forever)

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram kaweka hii Chorus bila shaka inaweza kuwa na ujumbe flani hasa hasa kutokana na minong'ono ya kuvunjika kwa ndoa yake
  14. Mtamile

    BMW X6 gari alilopewa Diamond kama zawadi ya Birthday

    Hili ndo gari aina ya BMW ambalo Diamond alizawadiwa na Menejement yake Fella alikula keki kwa niaba ya mameneja wake
  15. Mtamile

    Maoni haya yazingatiwe katika katiba mpya

    Katiba Mpya izingatie yafuatayo; 1.Nyama iuzwe kwa bei ya dagaa 2.Nauli ya ndege kwenda Afrika Kusini iwe bure kwa sababu ni mteremko 3.Sukumawiki ichunguzwe kwanini haiwezi sukuma mwezi au mwaka? 4.Siku za mwizi zifike 70 sababu uchumi umekuwa mgumu 5.Njiti za kiberiti ziwekwe pande...
  16. Mtamile

    Taarifa rasmi kutoka NACTE

    National Council for Technical Education (NACTE) INTERIM REPORT ON FIRST BATCH SELECTION 13th September, 2014 The first selection of candidates into Bachelor Degree programs has been conducted and below is a brief summary of the process. The overall capacity for Bachelor degree programs...
  17. Mtamile

    CAS-NACTE imeongeza mda wa kufanya application hadi tarehe 31 august

    PUBLIC NOTICE The National Council for Technical Education (NACTE) would like to inform you that the deadline for application into Bachelor Degree programmes through the Central Admission System (CAS) has been extended to 31st August 2014. The deadline has been extended to allow diploma...
  18. Mtamile

    Master Jay vs P-Funk Majani

    Wote hawa ni Maproducer wakubwa ni moja ya mapeoducer wa Mwanzo kabisa walionza na mziki wa bongo fleva wote hawa wana mchango mkubwa katika kuku kwa mziki wa bongo fleva Master Jay akitokea studio za MJ records na Majani akitokea katika studio za bongo records Sasa wadau kwa mtazamo wenu...
  19. Mtamile

    Shortlist for the 2014 Golden Ball, the prize awarded to the best player at the world Cup

    Fifa has announced the shortlist for the 2014 Golden Ball, the prize awarded to the best playeru Fifa has announced the shortlist for the 2014 Golden Ball, the prize awarded to the best player at the World Cup. Argentina have three nominees in Angel Di Maria, Javier Mascherano and...
  20. Mtamile

    Manager wa Tiptop Connection

    Wadau huwa kuna kitu kinanichanganya kidogo kuna hawa watu wawili huwa sielewi hasa yupi ni manager wa TipTop Connection (Bonge na Babu Tale) naomba ufafanuzi kidogo kati ya hawa nani ni manager wa wa TipTop Connection
Back
Top Bottom