Salaam waungwana,
Kumekuwa na kasumba ya baadhi ya wenye mamlaka kuingilia michezo mbalimbali.
Sote tutakubaliana tangu 2015 tunayo aina ya viongozi ambao katika kila jambo wanaelekeza sifa na shukrani kwa raiya namba moja.
Juzi wakati nasikiliza michezo waziri aliyepo kwenye hii wizara...
Muhimu sana kuna uzi umefanya nikaandika huu uzi kuna jamaa ameongelea huduma zinazotolewa muhimbili
Nilichozidi kujifunza ni kwamba wakija wanasiasa/serikali inauweleza umma kwamba huduma/jambo fulani limerahisishwa umma utashangilia na kufurahia
Ila kwenye lilelile jambo anapokuja kusimama...
Mimi naamini ule msemo ukitaka kumuuwa paka mpe kwanza jina baya
Kwenye mila zetu walitizama yale mabaya hawakutuambia tuache yale mabaya(tuchuje) ila walitaka mila ipigwe chini tushike dini wakatupata
Kwaiyo ata tukirudi tutaishi kwenye yale mazuri sijamaanisha tukaanze moja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.