Search results

  1. Kinkunti El Perdedo

    Unafiki wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

    Kitendo cha serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, kupitia Baraza la Sanaa, Sensa, Filamu na utamaduni la Zanzibar, kumfungia msanii Zuhura Othman Masoud (Zuchu), kutojihusisha na shughuli za muziki kwa miezi sita pia kutaka vituo vya runinga na redio kutopiga Wala kuonesha wimbo wowote ni uamuzi...
  2. Kinkunti El Perdedo

    WOMEN'S DAY: Tunao wanawake wenye uwezo kama Margaret Thatcher na Angela Merkel?

    International Women's Day ni siku muhimu sana katika kuweka uzani Sawa wa kijinsia. Kutokana na hapo mwanzo kuwepo kwa mifumo ambayo haikutoa fursa Sawa, katika nyanja mbalimbali za kimaisha, lakini leo hii kila mtu ni shaidi kwamba taifa letu limepiga hatua nzuri na hadhimu katika kuwaleta...
  3. Kinkunti El Perdedo

    UHAINI: Murtaza Lakha VS Mhando

    Mhando aliongeza kueleza kuwa pia alikuwa akimtambua mtu mwingine kwa jina la Piu Mtakubwa Lugangira au Father Tom na au Uncle Tom.Alimtambua ,alisema baada ya kumpeleka kwa mganga mmoja wa kienyeji huko Mwananyamala akifuatana na MacGhee mwenyewe pamoja pamoja na Martin Tamimu. Shaidi huyo...
  4. Kinkunti El Perdedo

    Why Tanzania needs a New President from 2025

    Tanzania needs a new president from 2025 for a number of reasons, including: •To address the country's economic challenges. Tanzania's economy has grown steadily in recent years, but it still faces a number of challenges, including high poverty rates, high unemployment rates, high levels of...
  5. Kinkunti El Perdedo

    Madhambi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Na Hayati Mchungaji Christopher Mtikila. [Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Democratic party] JULIUS KAMBARAGE NYERERE MWENYEWE HERI ? Tulikuwa hatuamini kabisa kwamba kweli mlikuwa mnataka kumpa dikteta Julius Nyerere kwamba "mwenye heri",ile eti baadaye mmpe "utakatifu".Lakini...
  6. Kinkunti El Perdedo

    Je, nani anapaswa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA baada ya Mbowe?

    Kutokana na kupanda kwa joto la siasa nchi, hasa ukizingatia ujio wa chaguzi, mabadiliko ya Sheria ya uchaguzi na madai ya tume huru kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa. Pia mfupa mgumu ambao umekuwa kama hadithi isiyo na mwisho. Maana mpaka sasa haijajulikana nani atakuwa na wajibu wa...
  7. Kinkunti El Perdedo

    Wanzibar Ni Wazalendo Kuliko Watanganyika.

    Utaifa ni jambo ambalo mataifa yote duniani huulinda kwa nguvu zote,hakuna taifa lenye watu wenye akili timamu wako tayali kuona utaifa wao unachezewa hovyo,hili tuna liona kwa mifano michache kupitia mataifa kadhaa mfano ni mgogoro wa Israel na Palestine. Ni mvutano wa uwepo na utetezi wa...
  8. Kinkunti El Perdedo

    Tanzania Taifa la watu wenye akili Barani Afrika

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ndio chimbuko la Taifa la Tanzania hapo mwaka 1964.Hivyo basi Tanzania ni muungano wa nchi mbili,lakini cha kushangaza nchi moja ipo yaani SMZ lakini Tanganyika imemezwa na muungano. Tanzania ndio taifa ambalo ukihoji na kushauri mambo ya msingi una kuwa adui...
  9. Kinkunti El Perdedo

    Shekh Ponda: Zanzibar yatumia Shoga (Gay) kukuza Utalii

    Shekh Ponda Isa Ponda,Ameitupia lawama Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar(SMZ),kwa kitendo cha kumtumia shoga (gay) R.Quest,kutoka Ulaya katika shughuli za Kukuza Utalii visiwani humo.Waziri Simai ameonekana katika picha ya pamoja na bwana Quest alipokwenda kumpokea katika uwanja wa ndege. Pia...
  10. Kinkunti El Perdedo

    Waziri Makamba hizi Hesabu zipo Dunia ipi?

    Waziri wa nishati bwana January Makamba akiwa mkoa wa Geita akihutubia umma mbele ya rais wa jumhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan na umma kwa ujumla. Waziri anasema Geita ina jumla ya vijiji 486 ,vijiji vilivyo fikiwa na nishati ya umeme ni 556 na vilivyo baki ni 130.Hizi...
  11. Kinkunti El Perdedo

    Acheni Mara Moja Tabia Hii Wanawake & Wanaume

    Wanawake Sifa kuu ya mwanamke ni usafi ndio maana kuna ule msemo maarufu wa "mwanamke usafi" na ni ukweli ulio wazi mwanamke msafi hupendwa na kila mtu lakini kwanini uonekane msafi wa mwili tu lakini vitu vinavyo kustili kuwa katika usafi hauvithamini baada ya kuvitumia? Hivi mwanamke unaye...
  12. Kinkunti El Perdedo

    SAUT siyo Chuo salama kwa Wanafunzi

    Ushauri kwa Kaka, Dada, Mama, Baba, Mjomba, Shangazi na walezi usije mshauri kijana wako wa kike au wa kiume kuomba chuo Cha SAUT-Malimbe Mwanza tegemea yafuatayo * Carry ya kutafutiwa na mhadhiri ushaidi waulize wanafunzi wa BAMC-3 juu ya course ya TV production * Incomplete kwenye matokeo ni...
  13. Kinkunti El Perdedo

    Msaada Kuhusu Shughuli Za UTT Amis

    Naomba kufahamishwa shughuli za shirika hili hasa katika mambo ya fedha na namna ya kuweka fedha na kupata faida. Maana katika hali ya Sasa utapeli umekuwa ni mkubwa Sana hivyo ni bora kupata a,b,c,d kuhusu shirika hili kabla mtu hauja ingia kichwa kichwa kuweka fedha na mwisho ukaliwa kichwa...
  14. Kinkunti El Perdedo

    Nape na TCRA hii ni dharau kwa Watanzania

    GT Hivi ni wazi kwamba waziri Nape na TCRA huwajui taarifa juu ya mabadiliko mapya ya vifurushi ? Yaliyo fanywa na mitandao ya mawasiliano nchini au ni dhihaka kwa Watanzania kwa kutuona Bongo lala. Ifike muda tuwe na uwajibikaji katika wizara na taasisi za umma ni jambo la aibu kwa waziri...
  15. Kinkunti El Perdedo

    Kwako Mwanamke: Je, unaweza ruhusu Mpenzi/Mume wako kukunyoa kichaka chako?

    Kulingana na maumbile ya Dada zetu kuwa sensitive kidogo (mbususu) huwafanya kuwa makini Sana katika kutunza utu wao hasa kwa kuzingatia usafi muda wote, kwa hili natoa pongezi za dhati kabisa kwa wadada, maana hata nyuzi za watu kulalamika kuhusu harufu na vichaka zinapungua kwa kasi kubwa...
  16. Kinkunti El Perdedo

    Wanawake na Wanaume, mawazo yenu tafadhali

    Ewe mdada tupe uzoefu wako ni namna gani unavyo lipokea suala la baharia kuzama uvinza na kwenye mk*ndu alafu anakuletea mdomo ambao umetoka kufanya utalii usio rasmi kwenye mbususu na kwenye express yourself. Na upande wa mabaharia tupe namna unavyo lipokea suala la mdada anatoka kulamba koni...
  17. Kinkunti El Perdedo

    Inaboa Sana Wakuu Hali Hii

    Pale unamuweka mtu dogstyle kula mbususu kiroho safi alafu unakutana na hali hii inaboa Sana Wakuu
  18. Kinkunti El Perdedo

    Wakati wa kufanya mapenzi ni kero gani huwa unakutana nayo?

    Wanajamvi tupeane uzoefu kidogo muda wa kuichakata mbususu na kuliwa mbususu huwa unakutana na kero gani?
  19. Kinkunti El Perdedo

    Msaada: Kwanini nimeshindwa kupata pesa yangu ya mkopo baada ya kuchelewa kusaini?

    Ni mnufaika wa HESLB jambo lililonipelekea kuandika uzi huu ni kwamba sikuweza kusaini pesa ya meals and accommodation ya mara ya pili hii ni kutokana na kuwa na pesa ambayo binafsi niliona itanifikisha kwenye boom la tatu. Jambo la pili niliacha kusani kwa sababu nilihitaji kupata pesa kidogo...
  20. Kinkunti El Perdedo

    SAUT na Sakata la Wanafunzi 300 Limekaaje

    Habari hii imeandika katika gazeti la mwananchi siku ya wafanyakazi duniani yaani Mei mosi,Sikuweza kuisoma habari zaidi ya kusoma headline tu. Wanafunzi takribani 300 wamefutiwa matokeo ambao hawa ni wahitimu tayali,hapa tunaweza zalisha maswali mengi sana Inakuwaje wanafunzi wafutiwe...
Back
Top Bottom