suala hili la nani achinje ni kubwa na kosa kubwa lingine linafanywa na viongozi wetu wa kitaifa tuliowaweka kadarakani kwa kura zetu,mchungaji amechinjwa kwa nini serikali imekaa kimwa? hasa ya kitaifa -ikemee uovu huunapenda kutoa ushauri kama ifuatavyo, a,hakuna kisheria mwenye mamlaka ya...
naaza kwa kusema sio kila kingaavyo ni dhahabu.nikiwa sio kila graduate in medicine is competet dr in practical and mangaementutawala hautaji udaktari,huyu dr siajabu anaelimu nyingine zaidi ya amo,na hii ni atari sana wizara ya afya ,madoctor wanaoitwa fake ndio waliokuwa wanashika wizara siku...
k
mimi nilivyokuelewa unahitajika uende darasani ukajifunze tena
Hbari hii viongozi watatu walitoa taarifa kwa umma, hawakusema hivyo ndiyo maana nasema rudi shule tena nitakukumbusha viongozi wao walikuwa kova.sadiki sadiki na shehe wa dsm jina limenipita kando.lakini naomba nikuulize
1.kwa...
Tujulicheni tunaotumia vingamuzi vya TING(agape tv) ni wiki ya tatu sasa hatuoni channel za ITV NA STAR TV .kuna tatizo gani,na huu sio ungwana tujulisheni mbona ada yenu tunalipa pia channel zingine mnaongeza lini hizi ni kama cloudtv, mlimani efatha na hata zanzibar tvTUNAOMBA MTUJUZE
unapojibu jiulize yanayosemwa unayajua usijibu kwa kutumia akili ya ugali,think out of the box kwanza au ungekuwa mbele ya wazee unaambiwa ww haujakua bado.temea chini kijana
je kutotii kwa sheria ilikuwa kwa chama cha siasa kimoja tu ,kwa sababu wakati chadema wanaendelea na ufunguzi wa ofisi matawini yaani vikao vya ndani ccm walikuwa wanafanya chaguzi za viongozi wao kote nchini na walikuwa wanaselebuka kweli na pia walikuwa wanafanya mikutano ya chaguzi ndogo...
je kutotii kwa sheria ilikuwa kwa chama cha siasa kimoja tu ,kwa sababu wakati chadema wanaendelea na ufunguzi wa ofisi matawini yaani vikao vya ndani ccm walikuwa wanafanya chaguzi za viongozi wao kote nchini na walikuwa wanaselebuka kweli na pia walikuwa wanafanya mikutano ya chaguzi ndogo...
majebere ninawasiwasi na ufahamu wako ,binadamu wote ni vifaa kisaikorojia ,lakin i wewe umepitiliza kidogo kwani waweza kushangilia hata wakati kuku wanapigana ww unafurahia ,mtu wanamna ni mgonjwa.sheria ya nchi haimpi polisi kutoa ruhusu kufanyika kwa mikutano ya siasa bali ni kulinda kibali...
ni kweli sio kijana shigela hana aibu hasa unapoongelea mtu kupoteza uhai,shigela ameongea kupitia taarifa ya ITV kuwa haiwezekani kila mkutano wa chadema mauuaji yanatokea amesema chadema wajipange na wajipime kwa mauaji hayo
Inanipa shida kidogo kwa raisi mpendwa wetu kutoshituka na migomo na maandamano haya yanayotokea kila kukicha nchini kwetu migomo haya kama ya Dr,waalimu,wafanyakazi mashirika mbalmbali na sasa nayaona haya ya wananchi
nasema hivi kwa sababu migomo wa sensa ni mgomo wa wanachi wachini kabisa...
sensa inafaida kubwa katika history toka utawala wa wayahudi falme za falao huko misri au mfalme herode wingi wa watu ulijulikana kutokana na sensa so far maendeleo ya watu yananzia pale, mfano huko uk sensa ilionesha growth population inakuwa kwa rate fulani na wakafanya estimation kuwa sensa...
nakubaliana kabisa na maneno yako,technogia hizi zipo duniani mfano vita vya waamerika nchini iraqu vyombo vyao vya mawasiliano kutoka iraq kwenda amerika vilikuwa vinaingiliwa na vifaa vya mawasiliano toka urusi lakini wenzetu wajanja waligundua mapema na kutumia tech nyingine pia osama bin...
mwanzo4;9 bwana akamwambia kaini,yuko wapi habili ndungu yako ,akasema sijui mm ni mlinzi wa ndungu yangu? akasema ,umefanya nini?sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi
i want say that u cannot runn away a sin every thing will be ok
jamani mfumo wa utawala tanganyika ni mwendelezo wa utawala wa kurithi toka kwa wenzetu wakoloni,sintasema sana lakini huko kwa wenzetu walimilikiwa na utawala wenye asili ya ukristo uingereza watawala ni wakristo, zaidi ya hapo sheria zote zilizokuwa zinatumika ni kutoka kwa watawala hasa...
tatizo la msingi hutaki kulisimamia,huwezi kusema nchi haina hela wakati dhahabu,almasi zinaondoka kwa ndege kila wiki na watu wanaona kweupe .mtaji upo wakati serikali inalia ujinga
nchi ina asli na nzige tatiso ni uroho wa kupata vyote watu wachache,tatua kwanza kwa nini kodi inakusanywa...
you and zomba please mnaonekana sio watanzania halisi ,pia elimu yenu ninamashaka nayo au mna ugonvi binafsi na Dr ulimboka.hakuna nchi duniani mtu aliyesimama kutafuta haki kwa wananchi akaangalia walioathilika ,huwa tunaangalia tutaponesha wangapi mungu alipoteketeza dunia kwa ajili ya uhalifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.