Search results

  1. mpemba mbishi

    Nahitaji Mchumba

    Nahitaji mchumba wa kua naye kimahusiano ya kimapenzi MASHARTI: Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 27, mimi nina 25 Awe mrefu Awe mweusi Awe na matiti ambayo hayajalala Awe na mwili wenye mvuto Awe na makalio makubwa, japo sio makubwa sana lakini yawe ni yenye kuvutia Asiwe anaweka nywele za...
  2. mpemba mbishi

    Uhakika wa waliokwenda Makka kutokupiga kura huu hapa!

    Duni: Mahujaji hawakuipigia kura katiba inayopendekezwa Na Nassor Khamis. Suala la wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba waliokuwa kwenye ibada ya Hijja katika miji ya Makka na Madina chini Saudi Arabia, kupigia kura rasimu ya katiba inayopendekezwa na Bunge hilo sikweli. Hayo yalielezwa na...
  3. mpemba mbishi

    Mtuhumiwa wa mauaji ya Padri Mushi aachiwa kwa dhamana

    Mtuhumiwa wa mauaji ya padri Mushi, Omar Mussa ameachiwa kwa dhamana na mahkama kuu Vuga.
  4. mpemba mbishi

    Movie ya kuusambaratisha muungano wa upinzani yaanzia Mtwara

    Katika thread ya yangu ya karibuni niliandika ATHARI ZA MUUNGANO WA UPINZANI WAANZA KUONEKANA ZANZIBAR, na pia nikawanukuu baadhi ya watu waliosema watafanya kila hali kuhakikisha muungano wa CDM, CUF n NCCR wanauvunja kabla ya kuleta athari kwa chama tawala. Moja kati ya mbinu watakayoitumia...
  5. mpemba mbishi

    Athari za muungano wa upinzani Zanzibar zaanza kuonekana

    Baada ya muungano wa upinzani kufanya mkutano wa kihistoria ktk viwanja vya kibandamaiti jumatano iliyopita, viongozi wa CCM ZANZIBAR wameanza kuchanganyikiwa. Katika kutuliza hofu ya baadhi ya wafuasi wao, wameanza kufanya MIKUTANO YA NDANI wakiwaambia kuwa watafanya kila hali kuhakikisha...
  6. mpemba mbishi

    Maalim Seif ampongeza Mbowe

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, katibu mkuu wa CUF Maalim seif sharifu hamad amemsifu na kumpongeza kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni freeman mbowe kutokana kuonesha ujasiri wa hali ya juu kupinga kile alichokiita udhalimu wa naibu spika. Amesema hoja iliyotolewa na wabunge wa upinzani ya...
  7. mpemba mbishi

    Nawaomben msaada kwa ajuae.

    Anaezijua tabia za mabinti wa kipemba anisaidie couse nataka nend Pemba kutafuta my waif wa kipemba but c wajui tabia zao than mi ni mtanganyika je 2tawezana? USHAURI.
  8. mpemba mbishi

    Uvundo feri.

    Leo nimeenda kigambon nimeskia harufu mbaya pale mlangon karib na sehem ya kuzia tiket (mlangoni) iv maguful halijui hili au ndio 2pige mbizi cc wengine akina masawe maji hatuyawez? Yani haruf mpaka mwenzangu katapika.
  9. mpemba mbishi

    wazo la leo

    Usiombe kuwa na haraka halafu njian ukakutana na Rastaman akakusalimia utatamani ardh ipasuke uingie mana rasta nusu saa haimtosh kusalimiana than wewe unachelewe. Usiombe kuwa mzanzibar halafu ukamskia mtu wa mrima (mtanganyika) akawa analalamikia mungano km unawanyonya wamrima utajuta...
  10. mpemba mbishi

    jamiiforums.com

    kwani km Wazanzibar hawautak mungano ya ni kuwalazimisha c wachwe tu na nyinyi wamrima mudai tanganyika yenu muache kutawaliwa na mawazo ya kinyererenyerere .
  11. mpemba mbishi

    mchakato wa kuwachagua wajumbe wa katiba waingia dosari

    baadhi ya wananchi katika maeneo mbalimbali ya mji wa zanzibar wameulalamikia mchakato wa kuwapata wajumbe watatu watakaoingia katika mkutano wa kujadili katiba mpya ngazi ya shehia. baadhi ya malalamiko ni baadhi ya viongozi wa shehia kudaiwa kuingilia kati na kukiuika sheria za tume
  12. mpemba mbishi

    Katiba mpya itafanikiwa?

    kwa hali inavyoonesha mchakato wa katiba mpya huenda usifanikiwe kutokana na baadhi ya watu kutuhumiwa kuuingilia kati kinyume na utaratibu uliowekwa na tume ya mabadiliko ya katiba
  13. mpemba mbishi

    Hivi ndivyo walivyo waswahili!

    Mzee mmoja aliagizwa sidiria na mkewe,alipofika dukan akawa amesahau size gan!Mama muuzaj akamwambia "njoo unishike maziwa Utakumbuka Ukubwa wa sidiria Uloagizwa" Mzee kuona hivyo akasema "Niliagizwa na chupi!" .
  14. mpemba mbishi

    Jibu sahihi la suali hili lipoje???

    Nisaidieni kunipatia majibu ya suali hili: Mtanzania mmoja yupo London akawaagiza ndugu zake wamuolee mke, Wakamuolea (kufanya hivi katika dini ya Kiislamu inaruhusika lakini huwezi kumuingilia mwanamke, sina hakika kuhusu dini zingine). Jamaa akaja Tanzania kukutana na mkewe. Mara tu baada ya...
  15. mpemba mbishi

    Vituko vya mimba!

    Mimba noma, kuna jamaa alitolewa night kali akatafte vitango tena kwa kilio, ikabidi jamaa amuamshe muuza vitango tena mbali na home kwao, jamaa aliporudi akaambiwa avioshe na avimenye then avikate alipomaliza akavipeleka, mwanamke akamwambiwa akae chini ya maskio ya mkewe avitafune vyote...
  16. mpemba mbishi

    Majibu ya mawaziri wetu!!!

    TANZANRA NI NCHI YA MAAJABU SANA! HEBU ANGALIA MFANO MDOGO WA MAJIBU YA WATU TULIOWAPA DHAMANA YA KUTUONGOZA!! MWANDISHI: Mheshimiwa...ASALAAM ALYKUM? WAZIRI: Waaleikum salaam! MWANDISHI: Mheshimiwa hivi punde tumepata habari kuwa jengo maarufu hapa Mjini Unguja hapo maeneo ya...
  17. mpemba mbishi

    nani atafuata kutekwa nyara?

    sasa hivi wimbi la kutekwa nyara kwa wanaharakati mbali mbali nchini likiwa linaendelea, ambapo alianzia kutekwa nyara dr steven ulomboka kwa kudai haki za madaktari, pia ametekwa sheikh farid. My take.... Je nani atafuata kutekwa nyara? Je...
  18. mpemba mbishi

    askari usalama auwawa zanzibar

    Askari usalama ameuwawa baada ya kufyatuliwa risasi na mwenzake kimakosa wakati akiwa katika harakati za kulilinda baa la mbawara lilioko aman mjini hapa. Katika tukio hilo askari mwengine alijeruhiwa kwa kupigwa risasi kwenye mguu. Eneo la...
  19. mpemba mbishi

    Mkakati wa CCM kuchelewesha katiba mpya huu hapa...

    Chama cha mapinduzi kimepanga mbinu tofauti kuhakikisha katiba mpya inayotarajiwa kutungwa na watanzania haitoweza kutumika wakati wa uchaguzi mkuu ujao (2015). Kwa mujibu wa wajumbe wa CCM (zanzibar) waliorudi tanzania bara hivi karibuni, wamenukuliwa wakisema kuwa mikakati hiyo ni ya aina...
  20. mpemba mbishi

    Kamati ya Wazee wa Wanafunzi waliofutiwa matokeo, Zanzibar.

    Kamati ya wazee haikubaliani na uamuzi wa kuwafutia matokeo wanafunzi wale tu walioshutumiwa kufanya udanganyifu bali kuwafutia wote kwa kuwa mitihani ulivuja. Kufuatia hoja hizo za msingi Baraza halina budi kukubali kurejewa kwa mitihani kwa Zanzibar, na Baraza litapungukiwa na...
Back
Top Bottom