Technology na utayari wa watu katika kutaka mabadiliki vinwaaibisha sana CCM. Huku Zanzibar kuna Muwakilishi alikua anazungumza siri sehemu fulani akidhani kwamba wote waliopo kwenye kikao hicho ni CCM waadilifu. Matikeo yake akaumbuka, siri yote ilirikodiwa na ikasambazwa
Nipe namba yako nikuelekeze, kuna application safi sana, ukiwa nayo hiyo na kama una mpenzi wako anatumia smartphone simu yake unaifanyia kitu cha kujijengea heshima sana. Msg calling na references zote zinaenda sehemu kujstore na wewe unazifata kwa email tu unazipata zote. Ni mzuri hata kama...
Siasa za Tanganyika ooooops samahani Tanzania Bara sio sawa na siasa za Zanzibar, Wazanzibari ni Walimu wakubwa sana kisiasa.
Hamad Rashid hakubaliki Zanzibar na wala hajuilikani kabisa, mimi ningemshauri tu bora angeingia CCM ili akafia huko kisiasa pengine akifa atapata heshima ya kuzikwa...
Mkuu mimi watu wa mfano uliotoa ninao kwa mamia ambao nilikuwa nasoma nao CHUO , ambao wazee wao ni CCM na Masheha (Viongozi wa Serikali za mitaa), waliniambia walianza kupiga kura wakiwa hata hawajifahamu kutokana umri waliokuwa nao, wengine wananihadithia walikuwa wana miaka 12 tu na walikuwa...
Kama sio za kweli na tuone wale wote waliotuhumiwa waje wakanushe na baadae wapeleke kesi mahakamani uone watakavyoning'inizwa kwenye kitanzi tena kwa ushahidi wa wazi kabisa
Ikiwa sisi Raia wa kawaida tunavyo baadhi ya vizibiti vya picha kama za vitambulisho vyenye majina feki na mambo...
Tatizo moja ambalo wanashindwa kulifahamu Watanzania kwanini kila siku ajali:
Kwanza tunatakiwa tufahamu kama hizi ajali zinazotokea kila siku ya Mungu sio za kawaida tu bali hii ni LAANA ambayo inatoka kwa Mungu, na LAANA hii inatokana na sababu nyingi lakini mimi nitatoa mbili ambazo ni...
1) Kama viongozi wa Tanzania walipokwenda Oman hawakwenda kuwatembelea Wazanzibari walioko Oman bali walikwenda kwa mualiko wa Serikali ya Oman, wewe unajua Jussa alipoenda Marekani ameenda kwa mualiko wa nani na kwa malengo gani?
Jiulize ni kwanini amefika mpaka kuingia kwenye Balozi za huko...
Muoman amjibu Samwel Sitta.
Huyu ni samuel sitta and he talks shit and nonesense. Muomani aliekuja Oman hana shida ya kuwa mbunge wa zanzibar na hana shida ya kushiriki ya kuchagua rais wazanzibar. Muomani aliepo Oman anafanya kazi ya kulijenga taifa la oman. Uwaziri muomani anaupata hapahapa...
Mkuu Saifu Dume nina picha safi sana ambazo Mh. Jussa amepiga na #TeamUKAWA wa huko hem nitafte kwa Whatsapp nikutumie ili uziambatanishe na hii habari itapendeza sana, mimi nimeshindwa kuziweka hapa nilipo muda huu sijatulia vizuri. my email: mikatabafeki@gmail.com nifate huko nikupe namba...
Mmmhhh aise mtoto alishawahi kufumwa nayo hii ilikua ni shidah sana kwangu, nilimpa dogo wa kiume ampelekee dada yake, dogo kaiweka kwenye mto
Ilipofika usiku mama yake anatandika kitanda cha mwanawe ghafla barua akaifuma, kwenye mto, akampa baba mtoto na huyo baba mtoto alikua ni my class...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.