Search results

  1. Msungwiji

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Huyu jamaa ni ngache sana,Kwani lazima uchangie kila kitu, mda mwingine kaa kimya ili uweze kufahamu vitu. Hata mie namshangaa huyu jamaa
  2. Msungwiji

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Gonga kweye username id kisha utaona neno ignore kwa chini hakika hutauona ujinga wa mtu uliyemuignore
  3. Msungwiji

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ni kama mtu hakuwepo online kwa mda mrefu sasa amerudi kila anachokiona yeye ni kupakua na kujaza server.
  4. Msungwiji

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Dah hata kama ni ushabiki kindakindaki, nahisi hata utoto utakua nao pia. yaani ni kama unasimulia movie flani hivi halafu kwa pembeni watu wanakusikiliza. Ngoja nikuvumilie labda utabadilika
  5. Msungwiji

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nilishampiga igrone siku nyingi sana, nadhani kuna mmoja nae anaelekea kuwa ignored maana naona kama utoto umekua mwingi.
  6. Msungwiji

    China yatangaza kufanya mazoezi makubwa ya kijeshi na Urusi, Vostok 2022

    Naona mambo yanaenda kuiva mda si mrefu, ngoja tusubiri.
  7. Msungwiji

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Dah nimecheka mpaka nimejamba ofisini..! kila mtu ana uhuru wa kuongea
  8. Msungwiji

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nimesha mtoa siku nyingi, Huwa sipendi ujinga.
  9. Msungwiji

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Naona hii itakua na tafsiri kubwa sana/za kizalendo miongoni mwa nchini zilizokua zinaunda umoja huo hapo awali.
  10. Msungwiji

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Duh, nimesoma marambilimbili nimegundua kitu Russia wana miamba. Just imagine hayo ni maandishi tu ila ujumbe ni mzito utafikiri mtu anaongea moja kwa moja. Heshima kwa Russia jamani
  11. Msungwiji

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Yaani we jamaa kama ningekua jirani ningekupiga banzi, huo sio ubishi bali ni ujuwaji usiokua na maana. Kubali kujifunza kutoka kwa wenzio na sio ilimradi keleta ligi.
Back
Top Bottom