Search results

  1. Vontec

    Klabu ya KMC Wawavaa Wachambuzi juu ya goli kipa wao David Kisu

    MKEKA WA Christina Mwagala (Msemaji wa klabu ya KMC) [emoji1614]... Kwa mara ya pili leo narudi tena kuzungumza na baadhi ya watu ambao wanajiita wachambuzi. Tangu jana baada ya kumalizika kwa mchezo wetu dhidi ya Yanga ambao tulipoteza kwa goli moja kumekuwa na picha zenye maandiko ambayo sio...
  2. Vontec

    Djigui anamaliza mwaka 2022 akiwa bora zaidi ya Manula

    Djigui Diarra anarejea kileleni kwa cleansheets kwa mara ya kwanza msimu huu. [emoji3544]Djigui Diarra (Yanga Sc) Michezo 16 Cleansheet 10 [emoji3544]Aishi Manula (Simba Sc) Michezo 18 Cleansheet 10 [emoji3544]Ali Ahamada (Azam Fc) Michezo 15 Cleansheet 7 [emoji772] Djigui Diarra anakaa...
  3. Vontec

    Namba za Simu Magari ya Maji hizi hapa

    Habarini wanajamvi, kutokana na shida ya Maji iliyojitokeza ivii karibuni na kupelekea mgao wa Maji na watu kukosa maji na hivyo watu wengi kutegemea Maji ya kununua kwenye Haya Magari ya kusambaza na kuuza Maji lakini demand imekua kubwa mno na kupelea Haya Magari kuwa busy mno na kama una...
  4. Vontec

    Kila la kheri Yanga kwenye kipindi cha pili huko Sudan

    Kwenu Young Africans (Yanga), HAIJAISHA! Ndiyo kwanza kipindi cha kwanza, huwa mnashinda kipindi cha pili, kila la kheri kwenye kipindi cha pili huko Sudan mkapindue meza. [emoji1614] Wanaandika wana-Mangushi (Coastal Union) <Twitter>
  5. Vontec

    Edo Kumwembe: Nadhani wakina Barbara wamemuweka Dejan mtegoni yeye ndo avunje mkataba ili wasimlipe

    Anaandika Edo Kumwembe... ✍️ Ninachohisi ni kwamba sio kwamba huyu Mrembo na wenzake wanamtaka Dejan...nadhani wamemuweka katika mtego kwamba yeye ndiye avunje mkataba ili wasimlipe. ndo maana wakatoa ile taarifa. Akili nzuri. Mzungu sasa avunje tu mwenyewe. Na kama ikitokea hivyo itabidi...
  6. Vontec

    Mashabiki wa Simba waumbuka... kauli ya Shaffi yaanza kuthibitisha.

    Wale mashabiki wa makolo walio mshambulia sana tena sana Shaffii Dauda Jana kwa andiko lake kuhusu hali ndani ya Simba kutokua sawa, na ata akadhibitisha kwa kuambatanisha na video ya Dejan akitaka kuzichapa na Okrah lakini bado wakawa wanabisha na kukataa katakata. Na akatoa angalizo la kwamba...
  7. Vontec

    Siri nzito sakata la Okrah na Dejan ndani ya Simba

    Anaandika Shaffi Dauda Simba kuna vitu havipo sawa, lakini ni zile zile stori za kuvalishana suti kwenye vumbi au kuifunga Bugati injini ya bajaj ila haibadili kuwa kuna mengi hayapo sawa. Tazama vyema hii clip, tazama namna Dejan na Okrah walivyotoshana nguvu, haya tunayaona sisi uwanjani...
  8. Vontec

    Fursa kwa wahitimu kutoka Vodacom (Programu za Ajira za Mapema za Vodacom 2022)

    Vodacom Early Careers Programmes 2022 (Programu za Ajira za Mapema za Vodacom 2022) Maelezo: Vodacom, tunafanya kazi kwa bidii ili kujenga maisha bora ya baadaye. Ulimwengu uliounganishwa zaidi, jumuishi na endelevu. Kama jumuiya ya kimataifa yenye nguvu, ni roho yetu ya kibinadamu pamoja na...
  9. Vontec

    Hii Mitandao ya simu inatutakia nini wanateknolojia Tanzania?

    Enyi Mitandao ya simu Tz ebu kueni basi na huruma, hata kama ni shinikizo kutoka serikalini kunyonya tozo vilivyo, Onyesheni basi kutujali sisi wateja wenu Sio nanyie kuendelea kutubana kwa kuondoa baadhi ya bando, kuongeza bei za bando nk. Haswa tukiwa tunakimbizana na dunia, kwenda sambamba...
Back
Top Bottom