Search results

  1. H

    TFF imetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023

    Shirikisho la mpira wa miguu hapa nchini limetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023, wadau mbalimbali wametoa maoni yao kufuatia timu mwenyeji (Simba)kuambulia sh 188,987,181.10 tu katika mapato yote yaliyopatikana...
  2. H

    Mama mzazi wa Feisal aitaka TFF itende haki

    Akihojiwa na chombo kimoja cha habari Mama mzazi wa Mchezaji Feisal Salum Fei Toto amelitaka shirikisho la Mpira wa Miguu kutenda haki hapo kesho.
  3. H

    TFF yapokea barua ya Malalamiko ya Yanga dhidi ya Feisal

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (Kamati) limepokea malalamiko dhidi yako (FEISAL SALUM ABDALLAH) kutoka kwa Young Africans Sports Club (Klabu) kuhusu hali ya mkataba wako na Klabu. Kwa barua hii, unaitwa kufika binafsi na mshauri wako wa kisheria mbele ya Kamati siku ya Jumatano, tarehe...
  4. H

    Yanga: Tutavunja mkataba na Azam

    Viongozi wa Matawi ya Yanga wamesema watavunja mkataba na Azam kama ikijulikana walihusika kumshawishi mchezaji wao Feisal salum kuvunja mkataba.
  5. H

    Azam TV Limited yaingia mkataba wa kuonesha Matangazo ya Ligi Kuu kwa miaka 10. Mshindi misimu mitatu ijayo kulamba bonus Tsh 500m

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi na Azam TV Limited kwa pamoja wameingia makubaliano ya kuonesha matangazo ya mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara kwa muda wa miaka 10 wenye thamani ya Shilingi bilioni 225.6. Kiasi hicho ni kikubwa zaidi kuwahi kutokea Afrika Mashariki na kuifanya...
  6. H

    Simba SC kuingia na basi jipya la wachezaji leo

    Timu ya Soka ya Simba leo kwenye mchezo wake wa klabu bingwa inatarajiwa kuingia na bus jipya la wachezaji lilionunuliwa na mdhamini wa team hiyo Mohamed Dewji Bus jipya la Simba likibandikwa sticker
  7. H

    Simba yaanzisha mashindano mapya

    Klabu ya Simba ya Tanzania imeanzisha mashindano mapya ambayo yatajulikana kama Simba Super Cup, Akizungumza na vyombo vya habari CEO wa timu hiyo Barbara Gonzalez amesema mashindano hayo yatazishirikisha timu za TP Mazembe ya Congo na Al Hilal ya Sudan na yanatarajiwa kuanza tarehe 27 mpaka 31...
  8. H

    Taarifa kwa umma kuhusu uchunguzi wa mabadiliko klabu ya Simba

    Taarifa hii nimeipata kwenye moja ya magazeti hapa nchini
  9. H

    Aliyekuwa kocha wa Simba ajiunga na Far Rabat

    Aliyekuwa kocha wa timu ya Simba ya Tanzania Sven Vandenbroeck amejiunga na timu ya Far Rabat ya nchini Morocco
  10. H

    Upangaji wa makundi klabu bingwa na kombe la shirikisho Afrika muda huu

    Upangaji wa makundi unaendelea muda wakati tayari kombe la shirikisho wawakilishi wa Tanzania timu ya Namungo imedondokea kwa timu ya CD1 de Agosto ya Angola
  11. H

    Morrison aonesha utovu wa nidhamu

    Mchezaji wa klabu ya Simba ameonyesha utovu wa nidhamu kwa kuonyesha kidole cha kati kwa wale wote wanaomchukia. Kitendo hicho kimeonekana kwenye kipande cha video inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii.
Back
Top Bottom