Search results

  1. BM X6

    Picha: Inawezekana kujenga nyumba kwa Design hii kwa milioni 16?

    Hii ramani kali sana, nimeipenda ni nyumba ya vyumba viwili, nimeitoa huko Twitter kwa mnigeria, mwenyewe anadai anaweza kukujengea nyumba kama hiyo ya kwa Naira milioni 5 tu ambapo hiyo ni sawa na milioni 15 na laki 9 kwa pesa za kibongo (15,907,496.08) Yule jamaa kama ni kweli anaweza kujenga...
  2. BM X6

    Ukwasi unaopatikana kwenye Kampuni za kusafirisha mizigo

    Nitakachoenda kukieleza kitakuwa sio kigeni sana kwa watu waliofuatilia story yangu ambayo ilikuwa ni Live Story/True story ambapo story yenyewe nilianza kuipost humu mwezi kama huu July tarehe 6 mwaka jana 2022. Hatma ya Maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni ndio kichwa Cha story...
  3. BM X6

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    EPISODE 01, SEASON 01 Wakuu nahitaji ushauri wenu ili niweze kufaulu katika huu mtihani, nimepewa kazi kubwa ambayo nikifaulu basi milango mingi itafunguka huko mbeleni. Kuna Mzee flani huwa tunashirikiana kikazi na mara nyingi mizigo yake huwa anaiagiza kupitia Kampuni yetu, ni Mfanyabiashara...
  4. BM X6

    Utaweza kumudu kununua Dream Car kama ukiongeza sifuri 2 kwenye Bank account yako?

    Kama mamlaka ikisema kile kiasi Cha fedha ulichonacho Bank sasa hivi au hata M-Pesa ongezea sifuri mbili tu then utoe hizo pesa uwe nazo Cash, Hatutaki kujua kiasi utakacho kuwa nacho baada ya kuongeza hizo sifuri 2, bali swali ni je Utaweza kumudu kununua Dream Car yako au kujenga your Dream...
  5. BM X6

    Hii Dharau ni mwisho, Sidhani kama kuna ya juu yake

    Asee kuna watu wanajeuri na madharau katika hii Dunia sijawahi ona, Leo ilikuwa ni safari ya kurudi home baada ya kukamilisha kilichonileta huku, nimetoka sehemu niliyofikia (Donholm) fresh sihisi njaa nimepanga nifike Border ndio nipige msosi wa Nguvu (Supu chapoo ya kibongo) Supu za huku...
  6. BM X6

    Sahau kuhusu Utajiri kama unafuatisha mifumo

    Nimekuja kugundua kwenye hii Dunia hutakiwi kuwa mtepe mtepe, usifuatishe kila kitu kilivyopangwa utaishia kuishi kinyonge sana na Dunia ya Sasa inataka watu wakakamavu, walio serious na maisha haswa, Labda kama umeridhika na maisha unayoishi lakini kama mawazo yako ni Utajiri au kupata pesa...
  7. BM X6

    Watupa kisago kitakatifu, Wakatuachia Utumwa wa Akili

    Mababu zetu wamepitia mengi acheni tu, licha ya wazungu kuwatumikisha vya kutosha pia wazee wetu walikuwa wanabandikwa tunda la apple kwenye midomo yao kabla ya kuvalishwa kinyago cha chuma (metal mask) na kufunga na kufuli ili wasiweze kuzungumza. Mask hii ya chuma (Pichani) ilivaliwa wakati...
  8. BM X6

    Kiafya ni salama kula chakula baada ya sisimizi kukila?

    Jamii Afya naombeni kueleweshwa hili jambo, kawaida yangu ni kwamba kabla sijatoka nyumbani kuelekea kazini ni lazima nipige chai na kipolo au chapati za mama juma Nishibe halafu nikifika kazini napita na zile bite bite Sasa kiporo changu leo Asubuhi nimekikuta na sisimizi, ni salama kula...
  9. BM X6

    Kuuliza bei kabla ya kuhudumiwa ni ishara ya Umasikini?

    Jana nilienda Barbershop kufanya usafi wa kichwa, Sasa Barbershop ninayoendaga Jana ikawa imefungwa, nikaenda ya jirani yake yenyewe ni kali zaidi, kwanza Barbershop yenyewe inakuogopesha kuanzia Nje hizo ndinga zimepark hapo mzee wangu Basi nikachoma ndani, Sasa nilivyoingia tu yale mazingira...
  10. BM X6

    Hizi Bidhaa zina soko hapa Tanzania?

    Wadau hope wote ni wazima humu. Kuna bidhaa nataka kuleta Bongo kutoka china (mfano wa bidhaa hapo chini pichani) Sasa nina wasiwasi na soko, nisije nikashusha mzigo na ukanidodea Kuna baadhi ya Products hapo pichani kuzipata ni utazunguka sana hili jiji na pengine usizipate kabsa, Sasa hicho...
  11. BM X6

    Hii ni kwa wenye miaka kuanzia 20 hadi 34

    Wenye miaka 35 kuendelea sio wakupewa lecture, wewe tayari ushaijua Dunia, kama Bado basi umechelewa sana Acha niongee na madogo wa 20 to 34 Madogo nyie Wakati wenu ni Sasa Usikubali kuridhika na wakati ulionao; huna muda wa kutosha. Ikiwa hautazingatia muda wako, miaka itapita na hakuna...
  12. BM X6

    Kipi bora: Kuoga Usiku au Asubuhi?

    Wote tunajua umuhimu wa kuoga na kila mtu ana ratiba yake ya kuoga ukiachana na wale wanaooga mara mbili kwa siku Kuna sisi ambao kuoga kwetu ni mara moja tu kwa siku, so ni kuchagua tu mwenyewe uoge Asubuhi au Usiku Binafsi napenda kuoga Asubuhi mara nyingi, ni mara chache sana naweza kuoga...
  13. BM X6

    Kama ndiko tumefikia huku, Watu wafupi mna safari ndefu

    Kwenye hii Dunia ya vita ili u survive unahitaji uwe na silaha nyingi za kivita, usitegemee silaha ya aina moja tu, lakini Kuna siraha zingine ni Hadi Mungu mwenyew akubariki nayo Siku hizi kuwa na vyeti tu haitoshi, inabidi uwe na sifa za ziada ili kupata mkate wako wa Kila siku, japokuwa...
  14. BM X6

    Mshahara wako ni kiasi gani? Unaridhika nao?

    Ndugu usisite kujibu hili swali sababu utakuwa umewasaidia wengi, Watu wanafurahi sana kujua kuhusu Biashara/Taaluma na kazi za watu wengine na nadhani baadhi yao watahamasishwa na majibu yetu. Hata kama ni Biashara share nasi aina ya Biashara unayoifanya na faida unayoipata, baada ya majibu...
  15. BM X6

    Kama una jibu sahihi la hili swali, Kuna Tsh 50,000 kifuta jasho

    What is 934,752,213,849,592,139,365,634 in words? Swali lijibiwe kwa kizungu, kiswahili tutachanganyana Ukipatia ipo shilling elfu 50 za kitanzania, serious
  16. BM X6

    Ulimwengu uliolelewa sio ulimwengu ambao utafanikiwa

    Kuna jamaa leo kaniharibia siku mapema sana, Nimekutana nae kwenye Daladala tumekaa Siti moja Mimi nikiwa naelekea kazini mkononi nimeshika baadhi ya mafile na laptop, Kosa nililofanya ni kumuuliza jamaa saa, ikawa kama vile ndio nimefungulia maongezi, baada ya kunijibu "saa mbili kasoro"...
Back
Top Bottom