Search results

  1. Aloy Son

    Kikwete amuagiza Rais wa Sudan awakamate waliouwa wanajeshi wa JWTZ!

    Duuh, si maisha tuyategemeayo yaje kutukuta rais ashughulikie ya ndani kwanza ndo awake na ya nje
  2. Aloy Son

    Kujamba ni nini in english plz!

    i think this is right
  3. Aloy Son

    Ajali mbaya kona ya uwanja wa taifa wa zamani.

    mwaka mpya ntauona kweli? Ajali kama njugu
  4. Aloy Son

    Kuachana kwa amani na mpenzi wako: Njia nane zinazopendekezwa...

    hata kama anakupenda ajabu ilioje likifuja hufuja mara moja tuu, chukua time mapema huku mkijitambua, na haina haja mkewe kujua mbona mnataka kumuumiza kiasi hicho?
  5. Aloy Son

    Kitanda kimoja na rafiki na mpenzi wake, imekaaje?

    kama kunauwezekano na kwenda kulala kwingineko ni afadhari kuli fedheha kulazwa wawili mke mmoja
  6. Aloy Son

    Wanafunzi kidato cha nne wafukuzwa shule hadi siku ya mtihani

    Ni katika shule moja ya kata inayofahamika kwa jina la kifanya Sekondari mkoani Njombe wamefukuzwa bila sababu za msingi..... je nini kifanyike ikiwa ni idadi ya zaidi ya wanafunzi zaidi ya kumi... kwa upande wangu sidhani kama ni adhabu stahiki kwa wanafunzi hao ikiwa yasemekana kosa lao ni...
Back
Top Bottom