Search results

  1. J

    Naarifiwa wiki hii wanaopita kwenye barabara za Mwendokasi Kimenuka wanakamatwa na maafisa wa UDART, hawaangalii Jeshi, Polisi wala nani

    Kipindi cha mwendazake watu walikua na adabu hasa kufuata sheria bila shuruti ila kwa sasa Mama wanamchukulia poa, pale Jangwani barabara za Kasi wako MP kabisa inamaa Polisi nao wamweshindwa kazi. Tanzania ni nchi ambayo kufuata sheria hasa kwa viongozi ni kitendawili wakati Ulaya ndio takwa...
  2. J

    Nyongeza ya mshahara 8567 makato ya Benki 9500 ama kweli wadanganyika mmepigwa

    Hivi kweli maisha ya huko Bongo yalivyo tait unamuongezea mshahara mtumishi Tsh 8567 then bank wanakula makato ya Tsh 9500 kweli jamani, mtafika mbinguni mmechoka sana ndugu zangu
  3. J

    Nani anajua baada ya CAG report what next? au business as usual

    Kuna anayejua baada ya Ripoti ya CAG what next? madudu yameonekana, kibaaao hasa kwa wale watoto pendwa wa mwendakwao ,lakini sioni kama kuna nia ya dhati ya kuchukua hatua.
  4. J

    Kongole Masudi Kipanya kwa Ubunifu, hii ni challenge kwa wasomi

    Nampongeza Masudi Kipanya kwa ubunifu wa kile kigari chake, kuna watu wanajiita wasomi lakini hawajawahi kubuni hata mswaki, watu wengi wenye wivu tabia zao zinafanana yaani badala ya watu kumtia moyo na kumpongeza wanambeza, huku maprofesa wakijikita kukamata wasichana sapu ili wahongwe ngono...
  5. J

    Nyerere aliwahi kusema wanasiasa malaya malaya ni wa kuogopa sana, sasa naamini

    Wanasiasa wengi wa CCM ni wachumia tumbo, walikuwa wapi kipindi cha jiwe kujifanya wanatetea wananchi na kuhoji matumizi ya fedha? sasahivi wanajifanya wanafunguka eti wanatetea wananchi
  6. J

    Dkt. Mhede amefanya nini mwendokasi tangu ateuliwe?

    Naomba kujuzwa wanabodi yule Dkt. Mhede aliyepelekwa kule Mwendokasi ameshafanya nini cha maana katika mradi ule? Maana nakumbuka kuna mtu alitumbuliwa pale.
  7. J

    TANESCO rudisheni token ama fedha za watu mlizochukua wakati wa tatizo la mtandao

    Rudisheni Token ama fedha za watu mlizokata wakati mna tatizo la mfumo wa LUKU, ni muda sasa hela hamrudishi Token hamtoi, hamuoni kama huu ni wizi kama wizi mwingine? Kwenye mitandao ya simu mtu akipata shida ya miamala ndani ya saa 24 hela zake zinarudi nyinyi mna tatizo gani , watu walinunua...
  8. J

    Maagizo ya Waziri Mkuu hayajatekelezwa Mwendokasi?

    Wiki mbili zilizopita Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa alitembelea Mwendokasi Dar es Salaam, aligundua madudu ikiwemo tiketi feki za kusafiria yule jamaa alipewa maiki akapata kigugumizi kaishia wapi, maana tuliambiwa Mamlaka yake ya Uteuzi inapewa taarifa, mbona hatujapata mwendelezo?
  9. J

    Tetesi: Ufisadi Mkubwa unaendelea wakala wa mwendokasi

    Kuna ufisadi mkubwa unaendelea wakala wa mwendokasi ambao unahusisha wanaojiita wataalam wa tehama, iko hivi kuna mfumo unaandaliwa wa ukusanyaji nauli kwa njia ya kielektroniki ambao kwa sasa haujakamilika na una zaidi ya mwaka mmpoja sasa. Mfumo huo unatengenezwa na wakala wa mwendokasi na...
Back
Top Bottom