Search results

  1. Bee Network

    Manula out Kariakoo derby ya kesho

    Kazi ni kwao![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  2. Bee Network

    Wakina Bashiru wana uhalali gani?

    Andiko refu lakini utumbo mtupu!
  3. Bee Network

    Naona aliyemteua January Makamba anamwogopa kumtumbua, umeme umekuwa kero maeneo mbalimbali ya nchi

    Mtoa mada ana hoja inayohitaji majibu kutoka kwenye mamlaka husika, maanake kwamba; kuna awamu ilikuwepo madarakani na hatukuwa na tatizo kama hili la umeme kukatika mara kwa mara. Anataka majibu yenye kuridhisha na si visingizio mbalimbali vinavyotolewa na waziri! Sasa wewe nae mbumbumbu bila...
  4. Bee Network

    Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

    Mayalla kwa Kisukuma ni "njaa". [emoji23][emoji23][emoji23]
  5. Bee Network

    Watanzania zindukeni, Taifa linazama

    Huko Duniani tunaitwa taifa la mbumbumbu kwa ajili wa majitu kama wewe. Badala ya kujikita kwenye kile mwenye uzi kasema kama kina msingi kiasi gani kwa watanzania kulingana na mfumuko wa bei uliopo kwa sasa, lenyewe linakimbilia kwa Chadema! Jinga kabisa!!!
  6. Bee Network

    Kesi ya Mbowe: Yanayoendelea ni taswira ya Uongozi tulionao

    Yale tuliyokataa na kumwondoa mkoloni mweupe ili tujitawale wenyewe, hadi leo ndio hayo hayo anayotumia huyu mkoloni mweusi kututawala! Bado tuna safari ndefu sana, kazi iendelee..
  7. Bee Network

    Milango ya bwawa la umeme, tani 26 kukodi wichi toka nje, ni kutupiga Watanzania na kitu kizito

    Vibaraka wao tayari wamefika na majibu yao mepesi kwa maswali magumu! Hili ndilo tatizo letu lingine la kitaifa; yaani wako watu ambao kazi yao ni kuzitetea mamlaka na viongozi wa hizo mamlaka hata kama wanafanya makosa. Miaka 60 ya UHURU; Ujinga, Umasikini, na Maradhi, havitaondoka kamwe kwa...
  8. Bee Network

    Yaliyojiri kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 16, Nov 2021

    "Ukitaka kutawala kwa amani, ni sharti kwanza uwaweke adui/wapinzani wako chini ya mbawa za tai".
  9. Bee Network

    Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni ghali kuliko nje

    Mtu mmoja alisema; "Tanzania inaongoza kwa kuzalisha wasomi ambao ni mbumbumbu, na wasio na msaada kwa taifa lao". Badala ya kutueleza hizo safari; ama za nje ama za ndani zina faida gani kwa Taifa, mtu anatuletea hesabu za nafuu! Huu ni msiba mkubwa!!![emoji36]
  10. Bee Network

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapa nilikuwa nafanya mazoezi tu, kumbe nikiweka mtaji uhakika wa kutengeneza mihela upo!😃
  11. Bee Network

    Hii ndio sababu ya watu kukimbilia siasa hasa nafasi ya Ubunge

    Takwimu zinaonesha kuwa mbunge analipwa mshahara wa shilingi milioni 3.8 kwa mwezi, posho ya mwezi shilingi milioni 8, posho ya kikao kimoja ni shilingi 240,000 kwa siku, posho ya kujikimu shilingi 120,000 kwa siku. Baada ya miaka mitano ya ubunge wake anapokea pensheni ya shilingi milioni 240...
  12. Bee Network

    Tume ya Uchaguzi Uganda yatishia kumuadhibu Museveni endapo hafuati masharti katika kampeni

    Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Uganda jaji Simon Mugenyi Byabakama, amesema kwamba tume hiyo haitasita kumchukulia hatua rais Yoweri Museveni ambaye ni mgombea urais kupitia chama cha National Resistance Movement – NRM, endapo hatafuta sheria za kampeni zilizowekwa na Tume. Chanzo: VOA...
  13. Bee Network

    Askofu Bagonza: Ushindi wa kishindo ni kaburi la maendeleo Afrika

    Hayati Uhuru Kenyatta; "Mimi ninaongoza Wakenya walio lala usingizi kesho wakiamka watahoji, lakini jirani yangu yeye anangoza wafu". Na kweli baada ya miaka kadhaa Wakenya walipo amka kutoka usingizini KANU iliondoka madarakani!!!
  14. Bee Network

    Watanzania tuwe wamoja katika kipindi hiki kigumu

    Kama vile ambavyo mpunga hauwezi kuota wala kustawi mahali penye sakafu iterezayo; vilevile Upendo hauwezi kuota wala kustawi mahali ambapo hapana Haki.
Back
Top Bottom