Search results

  1. F

    Ubunge wa kuteuliwa uondolewe

    Ubunge wa kuteuliwa ni rushwa, matumizi mabaya ya pesa za wananchi na fedheha. Bunge tunaelewa ni sehemu yenye heshima kubwa na mojawapo ya mihumili mitatu ya nchi au dola. Ni sehemu ambayo mtu hutumwa na wananchi wa jimbo la uchaguzi akawawakilishe na kutetea maslahi yao. Ubunge wa kuteuliwa ni...
  2. F

    Ianzishwe Chemba ya pili ya Bunge(Senate)

    Demokrasia na uwajibikaji vinaongezeka panapokuwa na udhibiti mzuri wa utungaji sheria na maamuzi. Utungaji sheria hufanywa na Bunge. Kuna uwezekano mkubwa kabisa kwamba bunge linaweza kutunga sheria zinazotokana na jazba au kukokomoa. Hivyo zitakuwa kandamizi au sisizo na tija kwa jamii. Ndiyo...
  3. F

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na matamshi mbali mbali na makali toka serikali zote mbili kuhusu Muungano wa Tanzania. Wanzanzibari wanasema wanaonewa, wananyanyaswa, wanadhulumiwa na serikali ya Muungano au Tanzania Bara. Watanganyika wanasema Wanzanzibari wanabembelezwa mno, hawana fadhila, ni...
  4. F

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na matamshi mbali mbali na makali toka serikali zote mbili kuhusu Muungano wa Tanzania. Wanzanzibari wanasema wanaonewa, wananyanyaswa, wanadhulumiwa na serikali ya Muungano au Tanzania Bara. Watanganyika wanasema Wanzanzibari wanabembelezwa mno, hawana fadhila, ni...
  5. F

    Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

    Watu walioandika waraka huu hawasemi ukweli. Serikali haimuogopi spika hata kidogo. Taarifa yenyewe ina makosa mengi ya kiuandishi, ambayo inaonyesha hawa walikuwa wanaandika halafu wanafutafuta kwa sababu ya kutokuwa na uhakika wa yale waliyokuwa wanaandika. Ni ya kubuni. Hawa waandishi wa huu...
  6. F

    Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

    Watu walioandika waraka huu hawasemi ukweli. Serikali haimuogopi spika hata kidogo. Taarifa yenyewe ina makosa mengi ya kiuandishi, ambayo inaonyesha hawa walikuwa wanaandika halafu wanafutafuta kwa sababu ya kutokuwa na uhakika wa yale waliyokuwa wanaandika. Ni ya kubuni. Hawa waandishi wa huu...
  7. F

    Redet blah blah again! Kikwete anakubalika mawaziri hawakubaliki!

    Hivi hii REDET inafanya kazi ya nani? Inapenda sana kujipendekeza kwa Kikwete hasa uchaguzi unapokaribia. Hivi kama mpishi anapika chakula kibaya, utasema huyo mpishi ni mzuri na chakula ndicho kibaya? Kazi kubwa ya kiongozi yeyote yule ni kuteua watu wa chini yake ambao wana sifa za kufanya...
  8. F

    Uwajibikaji Tanzania

    Uwajibikaji ni kitu muhimu sana kwa nchi ye yote ile inayotaka maendeleo na ustawi wa kiuchumi. Kila mtendaji au kiongozi katika eneo lake la kazi anatakiwa awe na dhamana ya yale yote yanayotokea katika eneo lake. Hii ni pamoja na kubeba dhamana ya wale walio chini ya huyo mtendaji/kiongozi...
  9. F

    Tanzania ina kiongozi?

    Tanzania hatuna viongozi thabiti serikalini, kwa vile wengi wamepata nafasi hizo kwa njia ya rushwa. Mtoa rushwa ni kielelezo kwamba hana sifa za kumfanya apate nafasi anayotaka, hivyo pesa hutumika. Hivi karibuni imegundulika kwamba viongozi wetu wengi wakiwemo wabunge wana vyeti vya kumaliza...
  10. F

    Napinga Makao Makuu ya nchi kuhamia Dodoma

    Inasikitisha kwamba serikali bado ina ndoto za kufanya Dodoma iwe mji mkuu wa Tanzania kiutawala. Kusudi Dodoma iwe makao makuu inabidi serikali itumie hela nyingi kujenga majumba ya wizara mbalimbali, nyumba za watendaji, miundombinu n.k. Hiyo yote itagharimu hela nyingi ili kufanikisha azma ya...
  11. F

    Uteuzi wa Gavana mpya wa Benki Kuu ya Tanzania

    Kwa kweli nimesikitishwa na rais Kikwete kumteua Prof benno Ndullu kuwa gavana mpya wa Benki Kuu ya Tanzania baada ya kumfukuza kazi Bwana Balali aliyekuwa Gavana. Hii ni kutokana na ripoti ya ukaguzi iliyofanywa na wakaguzi wa kampuni ya Ernst & Young ambayo imeonyesha au imegundua ubadhirifu...
  12. F

    Kagera day ni balaa----this should be done for all mikoa..etc

    Hongereeni wajukuu zangu. Nawaomba kitu kimoja nyie Nshomile. Tafadhalini jengeni chuo kikuu babu kubwa mkoani Kagera. Hicho chuo kibobee katika mambo ya sayansi na teknolojia, udaktari wa watu, biashara na uchumi na sayansi ya siasa.
  13. F

    Hivi hii ni kweli?

    Kwa kweli inasikitisha sana kuona serikali inabagua wananchi wake katika ajira. Eti Ghasia anasema serikali haitaajiri mtu ambaye haimfahamu. Hii ina maana gani? kwa hiyo ina maana watakaofanya kazi ya serikali ni wale ambao tayari wamo na ndugu zao. Kama wewe ni mkurugenzi, katibu mkuu au...
Back
Top Bottom