Search results

  1. X

    Msanii Wizkidayo

    Ngoma ya Drake aliyomshirikisha Kayla na Wizkid. Ngoma iitwayo One Dance imefikisha Streaming Bilion 2 kwenye mtandao wa Spotify. Unadhani Wizkid anahitaji pongezi kwa hilo?
  2. X

    Naomba kuelekezwa namna ya kufuta post zote za Instagram

    Wadau habari za Asubuhi hope ni kwema,Poleni na majukumu. Kifupi tu nahitaji msaada jinsi ya kufuta post zangu zote za Instagram kwa pamoja. Post zaidi ya 900. Nafanyaje? Msaada plz #Forgive Me
  3. X

    Msaada namna ya kufuta akaunti ya Instagram

    Ndugu poleni na majukumu, Naombeni msaada namna ya kufuta Account ya Instagram isionekane tena. Msaada kwa anaefahamu. Ni hayo tu. #Forgive Me
  4. X

    Yupo wapi ROHO 7

    Ndugu zangu poleni na majukumu,Poleni na Msiba wa Taifa hili. Naomba niwapeleke kwenye burudani kidogo hasa mziki wa Hip-Hop. Kuna jamaa aliimba nyimbo flani ambazo nikizisikiliza najisemea jamaa yupo wapi? Na vipi mziki kaacha au? Namzungumzia Roho 7 Mnamkumbuka? Kuna hits zake mbili kwangu...
  5. X

    Hivi kati ya Fireboy na Joe Boy nani hatari zaidi kwenye muziki wa Afrika?

    Wakuu kwema? Poleni na majukumu. Hivi kati ya Fireboy Na Joe Boy nani hatari zaidi kwenye muziki wa Afrika na Nigeria kwa ujumla. Nani anaflow nzuri zaidi,Lyrics kali,hits n.k. Fireboy vs Joe Boy
  6. X

    Hivi kati ya huyu Wizkid anaejiita Star Boy na Davido nani mkali?

    Hivi kati ya huyu Wizkid anaejiita Star Boy na Davido nani mkali kwenye nyanja zote za Muziki kuanzia Afrika na nje ya Afrika, Nani zaidi Wizzy au Davido
  7. X

    Jason Derulo

    JASON DERULO🙌 Get Ugly Ridin Solo Want to want me Other Side Stupid love🙌🙌🙌 Talk Dirty Try Me ft Jlo🙌 Kiss the sky Swalla. Jason Derulo alikuwaga hatari Sana.....Siku za karibuni jamaa amepoa sana shida nini sijui.. Alitengeneza hits kweli kweli,...Wangapi tunamkubali Jason... Hiyo Stupid...
  8. X

    Mwanamuziki gani wa Marekani anaweza kushindana na Chris Brown kwa hits?

    Hivi kuna mwanamuziki gani pale America anaweza kubattle na Chris Brown kwenye Hits? Yani anaweza kuwa na hits kali kumzidi Chris Brown (kwa wale wanaoimba)?
  9. X

    Kati ya Future na Young Thung nani zaidi?

    Kwa mnaofuatilia mziki wa majuu hasa pale Marekani, hivi kati ya Future na Young Thung nani zaidi?
  10. X

    Naomba mwenye kuzijua zile ngoma kali za Hip hop zinazogusa maisha

    Wakuu naomba mwenye kuzijua zile ngoma kali za Hip hop zinazogusa maisha yani zinazoimba kuhusu Haso zitajwe hapa nahitaji kuzipakua. Mafano kama zile za Darasa. Sikati tamaa,Nishike Mkono n.k Majibu yenu plz
  11. X

    Tupia jina la ngoma kali za mbele ambazo kila ukisikiliza huwezi kuchoka

    Tupia jina la ngoma kali za mbele ambazo kila ukisikiliza huwezi kuchoka ili tupate playlist hapa. Naanza mimi. Chris Brown__Loyality Enrique Iglesias_Bailando Wizkid_Daddy yo Didy_Coming home Jay Z_4rever young Kendrick Lamar_,humble Wiz khalifa__see you again Simi_Duduke Ladipoe ft Simi_Know...
  12. X

    Enrique Iglesias vs Ed Sheeran

    Hivi kati ya Enrique Iglesias na Ed Sheeran nani zaidi kwenye mziki(hasa hits na sauti)
  13. X

    Nani ni msanii bora wa Afrika kwa sasa?

    Kwa kutumia vigezo vya Tuzo za ndani na nje ya Afrika, Mauzo ya Album, Show kali za kimataifa (matamasha makubwa), Hits n.k Unafikiri nani msanii bora wa Afrika kwa sasa?
  14. X

    Enrique Iglesias

    Enrique Iglesias__Hero Enrique Iglesias_Escap Enrique Iglesias_Somebody Me Enrique Iglesias__Why Not Me Enrique Iglesias__Addicted Enrique Iglesias__Only a Woman Enrique iglesias Takin back my love ft Ciara. Enrique Iglesias__Your my number One🙌🙌🙌 Enrique Iglesias ft Lonel Rich__ To Love a...
  15. X

    Ipi ngoma kali kati ya hizi mbili

    Hello guys mambo vp? Poleni na majukumu. Ipi ngoma kali kati ya hizi mbili. Enrique Iglesias__Bailando(English Version) VS Luis Fonsi ft Daddy Yanke__Despacito.
Back
Top Bottom