Search results

  1. S

    Arusha bado ngoma nzito kwa JK!

    Hayo umesemA wewe, lakini jiulize kwanini hakatizi mjini!.. Last two weeks ilikuwa aje kuzindua chanjo za measles, na magari ya matangazo yalitangaza mpaka D-Day, lakini dakika za mwisho wanaompenda walimwonya kuwa asijaribishe kusogeza pua yake A-Town!...na kwa usikivu wake aliamua kumtuma...
  2. S

    Yanayo Jiri ustawi wa jamii live

    Mkuu Indume Yene! Sikutegemea comment ya aina hii, at least kutoka kwa mgu anayeheshimika sana kama wewe!...Kwa jinsi hii naamini unamlaumu hata yeye kuwepo kwenye uzinduzi usiku huu!...MentALITY ya namna hii ni mbaya san!...Relaxation katika kazi yoyote ni muhimu! Unless wewe ni mgeni kabisa na...
  3. S

    Arusha bado ngoma nzito kwa JK!

    mKUBWA, UNAONGEA msamiati huu! Hivi kujiuzulu maana yake nini?
  4. S

    Wanawake mmezidi uwongo acheni hizi tabiaaaaaaaaaaaaaaa

    Huuh! My Gooosh! Lakini wakiwaambia ukweli mtupu mtapenda?...Ukiambiwa kuwa "nilikuwa na wanaume 6 kabla yako" utasimamisha hiyo nanihiino? Kubali yaishe kwamba nyie wenyewe mnapenda kudanganywa!
  5. S

    Arusha bado ngoma nzito kwa JK!

    Sijui wewe unaishi wapi hadi uwe mgumu kuelewa, lakini kwa ufupi mji wa Arusha uko katika Next Level! Wana Arusha wana uwezo wa kufanya japo kitendo chochote ili kuonyesha wanachoamini na kusimamia mioyoni mwao. Nimeshudia leo dereva mmoja wa magari yanayoenda kwa jina la MILANO(wanaoishi...
  6. S

    Arusha bado ngoma nzito kwa JK!

    Unauliza wangemfanya nini? Waulize wasaidizi wake wakwambie kwanini wameamua kum'risk kwa kumpitisha kwenye kiwanja kilicho kwenye ujenzi, wakati KIA ipo na inaendelea na operations! Mbali ya ujenzi, Arusha ilikuwa na Weather mbaya kabisa asubuhi alipotua, lakini altenative ilikuwa ni Arusha...
  7. S

    Arusha bado ngoma nzito kwa JK!

    Haya sasa... Mpiga Zumari hupiga wimbo ambao mlipiaji ameuchagua!
  8. S

    Nilikuwa Natambika, sina lolote!

    Habari inaisha, na thread juu!...huh!
  9. S

    Arusha bado ngoma nzito kwa JK!

    Wakuu, Leo hii JK alikuwa huko Monduli Arusha kutunuku kamisheni za Maafisa wa Jeshi. Taarifa za kuwasili kwa JK Arusha zilianza ziku chache zilizopita ambapo ilikuwa apitie uwanja wa ndege wa KIA, ndipo aingie kwenye msafara wa magari hadi Arusha, kutokana na sababu kuwa kiwanja cha ndege...
  10. S

    Uhondo wa ngoma!

    Asanteni sana nyote mlionokaribisha hapo juu... TUTAKUWA PAMOJA KATIKA KUENDELEZA NCHI YETU MASIKINI
  11. S

    Uhondo wa ngoma!

    Wakubwa, uKITAKA kujua uhondo wa ngoma, ni uingie ucheze. Nimependezwa sana na jukwaa lenu, naomba ukaribisho wenu! Nilikuwa nasoma hoja zenu motomoto, leo nimeamua kujitosa moja kwa moja! Mnanikaribisha?
Back
Top Bottom