Katika kuboresha sekta ya elimu nchini, ni wakati sahihi wa serikali kupitia wizara ya elimu na tamisemi kuachana na mpango wa kutoa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti almaarufu 'grade A'
Sababu ni hizi,
1. Mafunzo ya ualimu wa 'grade A' hayawaandai walimu hao kuendana na soko la dunia kwenye...
Tumekuwa tukipiga kelele kuhusu matatizo yaliyopo kwenye mfumo wetu wa elimu. Miongoni mwa matatizo hayo ni pamoja na mitaala inayotumika kutowapa wanafunzi maarifa na uwezo wa kujitegemea baada ya kumaliza masomo yao.
Cha kushangaza badala ya kuumiza vichwa kutafuta suluhu ya haya matatizo...
Leo kwenye uzinduzi wa ofisi ya makao makuu ya wilaya ya kahama, mbunge wa jimbo hilo mh. Kishimba ameiomba serikali kupiga marufuku wanafunzi kulazimishwa kununua madaftari aina ya 'counter book'. Pia ameiomba serikali kuruhusu wanafunzi kuvaa viatu vya rangi yoyote kwakuwa viatu havisaidii...
Katika kuboresha sekta ya elimu nchini, wizara ya elimu ilikuwa sahihi kabisa kufuta mtaala na mafunzo ya ualimu wa ngazi ya cheti 'grade A'.
Sababu ni hizi,
1. Mafunzo ya ualimu wa 'grade A' hayawaandai walimu hao kuendana na soko la dunia kwenye ajira. Sababu ni kwamba mafunzo wanayopata...
imeshakuwa kama desturi kila mwaka kuripotiwa tukio la mwalimu kuchapwa 'viboko' ama kunaswa 'vibao' na wadau mbali mbali wa elimu wakiwemo maofisa elimu, walimu wakuu, watendaji mbali mbali wa serikali na wazazi.
Aidha kadhia hii imeshamiri sana kwa shule za msingi huku wahanga wakubwa wakiwa...
Sera ya sasa ya elimu na mafunzo inayolenga kutoa elimu ya msingi kwa wote "Universal Primary Education For All" ni sera mbovu inayozalisha matatizo nchini.
Awali, sera ya elimu ililenga kutoa elimu ya msingi kwa kila mtoto kuanzia darasa la kwanza hadi darasa la saba. Baadae mfumo na sera ya...
Ingawa ni jambo jema kwa serikali kutoa elimu bure ili kusaidia watoto watokao kaya maskini kupata elimu ya msingi lakini huu mpango unafaa kuangaliwa upya kwa sababu utekelezaji wake una hasara nyingi kuliko faida.
Hasara ya kwanza: Tangu kuanzishwa kwa sera ya elimu bure, serikali imeshindwa...
Katika muendelezo wa kubaini uozo uliopo kwenye ajira za walimu hatimaye nimekutana na walimu ambao elimu zao za kidato cha nne zinaacha maswali mengi kutokana na namba zao za kidato cha nne kutotambulika na baraza la mitihani (NECTA).
1. SHAFII MOHAMED NAMKURUNG'UNDU
Mtajwa hapo juu...
Baada ya mkanganyiko wa namba za kidato cha nne za wanafunzi walio maliza mwaka jana (2019) kujitokeza kwenye ajira mpya za walimu zilizotangazwa na tamisemi, nimefanya uchunguzi na kubaini madudu yafuatayo:,
1. Nimebaini kuwa ALLY MIRAJI SHALUA ambaye ameajiriwa na tamisemi kwenda kufundisha...
Ni mwendelezo wa kubaini mapungufu na ukiritimba uliofanywa na TAMISEMI kwenye ajira za ualimu
Round hii namleta kwenu ABDU SHABANI ALLY mwalimu mtarajiwa shule ya msingi mkalama halmashauri ya Gairo.
Katika uchunguzi wangu nimebaini kuwa ABDU ALLY ametumia nambari ya kidato cha nne ya binti...
Ukistaajabu ya Abdallah Shonde utayaona ya "Babu Lembrice Peter" mwalimu mtarajiwa shule ya msingi Maliwa.
Tukiwa tunaendelea kubaini madudu na ukiritimba uliofanywa na TAMISEMI kwenye ajira mpya za walimu, nimebaini kuna mtu ameajiriwa kwa kutumia index namba ya kidato cha nne ya mtu mwingine...
Inasikitisha kwamba pamoja na chaguzi za mfumo wa vyama vingi zilizopita bado watu hamjalielewa somo badala yake mmekuwa mkirudia makosa yale yale kila baada ya miaka mitano.
inawezekana kweli somo ni gumu kuelewa lakini hata picha hamuoni?
unakuta mtu na akili zake timamu anaacha kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.