Katika kuboresha sekta ya elimu nchini, ni wakati sahihi wa serikali kupitia wizara ya elimu na tamisemi kuachana na mpango wa kutoa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti almaarufu 'grade A'
Sababu ni hizi,
1. Mafunzo ya ualimu wa 'grade A' hayawaandai walimu hao kuendana na soko la dunia kwenye...
Mheshimiwa Samia, Rais wetu kwa heshima yako naomba usitishe mchakato wa hili somo la historia ya Tanzania kwa sababu somo hili lipo linaendelea kufundishwa mashuleni isitoshe ni somo ambalo lilitaka kuanzishwa kwa interest binafsi za kisiasa hivyo halina maana yoyote kwa wanafunzi pia kwa...
Somo la history ya zinjathropus na chimpanzee litaendeleo kuwepo na hili jipya litakuwepo linajitegemea ila yote yana 'specific objective' moja i.e yatakuwa ni masomo mawili tofauti yanayoelezea kitu kile kile 'historia'
Sikupingi lakini mbona hata sasa historia ya nchi yetu inafundishwa shuleni?
Vipya gani vinatarajiwa kuongezewa kwenye somo la historia ya tanzania ambavyo havifundishwi kwa sasa?
Karibu utoe majibu
Mpaka sasa watoto wanafundishwa historia ya Tanzania kwenye somo la maarifa ya jamii, uraia na historia. Ni kipi kinachokosekana/hakifundishwi katika masomo hayo hadi tufikie uamzi wa kuanzisha historia ya tanzania kuwa somo linalojitegemea?
Asante dada pongezi zako nimezipokea, kiukweli ni jambo la kushangaza kidogo kwa sababu karibia vitu vyote vinavyohusiana na historia ya nchi hii kuanzia chimbuko la tanganyika, harakati za kusaka uhuru, kupata uhuru hadi hapa tulipo vyote wanafunzi wanafundishwa. sasa sijui ni vitu gani...
Bwashee mimi ni mtanzania mzalendo nisiyefungamana na upande wowote wa chama. Twambie, somo la historia ya Tanzania litakuwa na manufaa gani kwa wanafunzi katika maisha ya kawaida baada ya kumaliza masomo yao?
Tumekuwa tukipiga kelele kuhusu matatizo yaliyopo kwenye mfumo wetu wa elimu. Miongoni mwa matatizo hayo ni pamoja na mitaala inayotumika kutowapa wanafunzi maarifa na uwezo wa kujitegemea baada ya kumaliza masomo yao.
Cha kushangaza badala ya kuumiza vichwa kutafuta suluhu ya haya matatizo...
Nafikiri ndio umeanza kunifuatilia leo. Mimi ni mtu ambaye niko 'straight' si muumini wa kufuata au kupinga kila kitu kinachosemwa na Rais kwakuwa yapo baadhi ya mambo namuunga mkono na mengine simuungi mkono, haya hapa ni baadhi...
Kuzuia uniform ya viatu vyeusi hakuwezi kuwa suluhisho la viatu kushuka bei kwa sababu hata kama wanafunzi wataruhusiwa kuvaa viatu vya aina yoyote bado bei itapanda tu kwakuwa navyo vitakuwa ni sehemu ya uniform ya shule. Suluhisho pekee ni serikali kuweka mkazo na mikakati madhubuti ya...
Leo kwenye uzinduzi wa ofisi ya makao makuu ya wilaya ya kahama, mbunge wa jimbo hilo mh. Kishimba ameiomba serikali kupiga marufuku wanafunzi kulazimishwa kununua madaftari aina ya 'counter book'. Pia ameiomba serikali kuruhusu wanafunzi kuvaa viatu vya rangi yoyote kwakuwa viatu havisaidii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.