Search results

  1. happyxxx

    Msemaji wa CHADEMA, Tumaini Makene mbona hasikiki muda mrefu kama msemaji? Yuko wapi?

    Kuna boss mwingine anaitwa Munisi? 😅🙌🏽
  2. happyxxx

    KERO Shule ya Kata (Bujinga) iliyopo Tukuyu tunatozwa sh.60,000/=kila mwezi

    Wazazi wanaotaka matokeo bora wanatoa mamilion kusomesha watoto wao. Huyu anaelia sababu ya elfu 60 ni kilaza na familia nzima itakuwa ya vilaza.
  3. happyxxx

    KERO Shule ya Kata (Bujinga) iliyopo Tukuyu tunatozwa sh.60,000/=kila mwezi

    Usichangie acha wanaotaka wachangie hakuna mtu atakupeleka jela au mtoto wako kufukuzwa shule. Usitoe hata kumi kugharamia elimu ya mwanao kwa kuwa elimu ni bure, usikubali kupelekeshwa 😂😂
  4. happyxxx

    KERO Shule ya Kata (Bujinga) iliyopo Tukuyu tunatozwa sh.60,000/=kila mwezi

    Ujitambui kabisa wewe na wazazi wenzio, mnawekewa kambi kwa kuwa mitoto yenu vichwa vigumu na wakikaa mtaani hawasomi ni kubeti na kulima vibarua ila mnataka muone matokeo mazuri. Mchango sio lazima acha kuchangia uone kama mwanao atafukuzwa au atapigwa bakora, wewe kama uoni umuhimu wa...
  5. happyxxx

    Ndoto yako imetimia: Fully Funded Thailand Government Scholarships 2023/2024 Chulalongkorn University

    Scholarship za gpa ndogo zipo nyingi sana usipende kutafuniwa hutofanikiwa do research
  6. happyxxx

    KERO Shule ya Kata (Bujinga) iliyopo Tukuyu tunatozwa sh.60,000/=kila mwezi

    Ujitambui, hiari inakuwaje kero? Kama unaona nyingi unaacha kuchanga alafu mtoto akipewa adhabu uje useme kapigwa kwa kuwa ajatoa elfu 60. Mnakubaliana wenyewe wazazi alafu unakuja kuleta majungu mtandaon
  7. happyxxx

    Dudley Mbowe anatosha kurithi Uenyekiti CHADEMA?

    Chadema ni mali ya familia mkuu.
  8. happyxxx

    Dudley Mbowe anatosha kurithi Uenyekiti CHADEMA?

    Wewe ni ukoo wa kina mbowe?
  9. happyxxx

    Dudley Mbowe anatosha kurithi Uenyekiti CHADEMA?

    Mambo ya familia ya mbowe unataka yawe published? Haujitambui wewe
  10. happyxxx

    Dudley Mbowe anatosha kurithi Uenyekiti CHADEMA?

    Kusoma hujui ata picha uoni
  11. happyxxx

    Dudley Mbowe anatosha kurithi Uenyekiti CHADEMA?

    Huo ni utaratibu wa chama hakiendi mbali, mzee mtei alisema chama changu hawezi kupewa mbwa au kyasaka
  12. happyxxx

    Dudley Mbowe anatosha kurithi Uenyekiti CHADEMA?

    Wanasema mbowe haachii chama sababu hanunuliki wengine wana bei kasoro familia yake hivyo dudley anatosha
  13. happyxxx

    Dudley Mbowe anatosha kurithi Uenyekiti CHADEMA?

    Jifunze kujenga hoja au tulia upewe za ndani
  14. happyxxx

    Dudley Mbowe anatosha kurithi Uenyekiti CHADEMA?

    Ndio mrithi wa babake
  15. happyxxx

    Dudley Mbowe anatosha kurithi Uenyekiti CHADEMA?

    Anatajwa ndani ya chama.
  16. happyxxx

    Dudley Mbowe anatosha kurithi Uenyekiti CHADEMA?

    Mbowe wakati anaachiwa chama na baba mkwe wake nani alikuwa anamjua?
Back
Top Bottom