Search results

  1. Bemendazole

    Hotuba mwaka mpya 2024

    Awali ya yote napenda kutoa pole na hongera kwa kila mwananchi kwa pilika za mwaka 2023. Mengi ya kuumiza, kutaabisha, kutia faraja na furaha yalitukia miongoni mwetu. Mungu baba wa rehema alikuwa katikati yetu katika yote hayo hivyo tunapaswa kumshukuru. Pili napenda kutoa pole kwa kila...
  2. Bemendazole

    Gari T887 CKW imeibwa, atakayeiona atoe taarifa kituo cha polisi

    Kwa masikitiko napenda kutoa taarifa kuwa gari inayoonekana pichani imeibwa. Aina ya gari: Nissan Gloria No za usajili T887 CKW Rangi: Nyeusi, iliibwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam. Yeyote atakayeiona atoe taarifa kwa jeshi la polisi. Ahsante kwa ushirikiano. Wako Mmiliki, Bemendazole
  3. Bemendazole

    Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote

    Ndugu wana JF wenzangu, kulingana na andiko hilo linalopatikana kwenye kitabu kitakatifu cha Biblia, Napenda kuchukua fursa hii kumuomba radhi mtu yeyote ambaye nitakuwa nimemkwaza kwa namna moja ama nyingine. Awe mwanasiasa, kwenye chama na Serikali wale niliowahi kufanya nao kazi au...
  4. Bemendazole

    Kama hujawahi kuendesha hizi gari tano, KAJITAFUTE!

    1. Suzuki Carry Hii inaingizwa kwenye list kutokana na ubora wa engine yake. S. Carry ni gari ambayo engine yake iko very robust. Inachanganya kwa upesi sana. Huwa naifananisha engine hii kama engine ya piki piki ya mashindano iliyofungwa kwenye gari. 2. Mitsubishi Pajero Mini Ukishasikia gari...
  5. Bemendazole

    Inaniuma, mpenzi wangu anaolewa

    Wana MMU naombeni mnipe tu pole. Mie ni mtu nisiyeumizwa na mambo ya mahaba, lakini nashangaa kuona huyu single mother niliyekutana nae kwenye pilika za maisha mkoani Mbeya, anaolewa 😥. Huyu single mother mie nilikuwa ni msafiri na mpitaji ili nililazimika kukaa baada ya kusema amenasa...
  6. Bemendazole

    Napendekeza tulimalize suala la bandari kwa kufanya yafuatayo

    Kwa heshima na taadhima, napenda kuwashukuru wote mliochangia mijadala mbali mbali ya kuhusu ukodishwaji wa sehemu ya bandari kwa kuwa nyote mlikuwa na nia njema ya kujenga na kulinda rasilimali za taifa letu. Lakini katika kutekeleza hili, kulionekana mapungufu mbali mbali kama yalivyo ainishwa...
  7. Bemendazole

    SoC03 Kwa mpima viwanja atakayeweza kupata eneo ambalo halina 'taasisi zinazopiga kelele' atapiga pesa!

    Kuna daktari mmoja alikuwa anakaribia kununua nyumba Msasani. Wakati anaendelea na zoezi hilo, ghafla 'taasisi mojawapo ya taasisi zinazopiga kelele', wakaanza makelele yao. Yule dk akaghairi kuinunua ile nyumba. Changamoto kubwa iliyopo kwenye majiji makubwa yanayokua kwa kasi ni ugumu wa...
  8. Bemendazole

    SoC03 Jinsi ya kuepuka kupata watoto wenye ulemavu au kupata watoto haraka kwa mwanamke tasa au mwanaume mgumba

    It goes down in one word! ZINC... Kwa utafiti ambao nimeanza kuufanya, matokeo ya awali yanahusisha utasa au ugumba na upungufu mkubwa wa madini ya zinc mwilini. Pia matokeo ya awali yanahusisha upungufu mkubwa wa madini ya Zinc na uwezekano wa kuzaa mtoto mwenye ulemavu wa kudumu. Upungufu...
  9. Bemendazole

    Ndoto ya Hayati Magufuli imetimia. Sasa Tanzania ni Donor Country

    Japo Hayati Magufuli aliwahi kuniudhi kwenye maeneo fulani, lakini leo nimefurahi kwa kuwa Tanzania imefanikiwa kuwa a Donor Country. Haya yalikuwa ni maono yake kuiwezesha nchi yetu kuwa msaada kwa wengine. Sasa tunaona tukiisaidia Uturuki, Malawi n.k. Mungu baba wa Mbinguni amuhurumie mja...
  10. Bemendazole

    Kuna uwezekano mkubwa Wakenya wanatamani utokee muungano kati ya Kenya na Tanzania ila wanashindwa kusema

    Hivi karibuni, Kenya wameonekana wakiimega Tanzania kutoka bara la Afrika na kuanzisha bara jipya ambalo linahusisha Kenya na Tanzania. Taarifa nyingi zinaonesha matamanio makubwa ya Kenya kuwa sehemu ya Tanzania. Je, muungano wa Kenya na Tanzania ni jambo linalowezekana? Wacha muda uongee.
  11. Bemendazole

    Hali tete daraja la Tanzanite. Nashauri hili lifanyike

    Wakuu, juzi kati nilipita kwa mguu kwenye daraja la Tanzanite. Nilishtuka sana kuona kuwa daraja lina nyufa kila sehemu. Sikuamini kama ningeweza kuvuka salama kabla daraja halijatumbukia. Baada ya kufanya utafiti wa kina nilionelea kuwa lile daraja limejengwa eneo lenye sesmic waves...
  12. Bemendazole

    Tetesi: Mkwamo wa Uteuzi wa wagombea EALA- CCM (Ngoja niwape mbinu)

    Leo, makada wengi wa chama pendwa walitarajia Shaka angetoa orodha ya walioteuliwa kugombea nafasi za Ubunge wa Afrika Mashariki, Lakini hakufanya hivyo. Dalili zinaonesha kuna mkwamo mahali fulani na nani apite, nani atemwe! Tathmini yangu inaonesha vigogo wengi wameleta vimemo wakipendekeza...
  13. Bemendazole

    Kama pato lako ni chini ya milioni 3 jenga ghorofa la Kinyakyusa ukiwa na ndoto ya kujenga ghorofa kwa sasa!

    Ujenzi wa sasa ni gharama, Ukitaka ujenge haraka, jenga nyumba ndogo. Ili iishe haraka, uhamie. Tumetembelea maeneo mengi. Nimeona, wengi waliojenga majumba makubwa, wameishia njiani. Endapo una ndoto ya kujenga ghorofa na kipato chako NET ni chini ya milioni tatu kwa mwezi, sikushauri. Ila...
  14. Bemendazole

    Bilioni 100 za Makamba zitumiwe kufunga mifumo ya gesi kwenye usafiri wa Umma!

    Bilioni 100 za Makamba zitumiwe kufunga mifumo ya gesi kwenye usafiri wa Umma! Nimekadiria jiji la Dar tu kuwa na dala dala si chini ya elfu hamsini ambazo zinatumia mafuta ya zaidi ya Bilioni 150 kwa mwezi ambazo ni zaidi ya trilioni moja kwa mwaka. Kuliko kuzipeleka fedha hizo kwenye kutoa...
  15. Bemendazole

    Mgao mkali wa umeme waweza kutokea nchini. Serikali imejipanga?

    'Nimekamilisha ziara ya kuzunguka nchi nzima'. Picha niliyoiona ni ya uhaba mkubwa wa maji tiririka katika water bodies kama vile mito. Hili litaathiri kwa kiasi kikubwa kujaa kwa mabwawa ya kuzalisha umeme, kitu kitakachopelekea nchi kuingia kwenye giza kuu. Nishati ya umeme ni nishati...
  16. Bemendazole

    Nitakuwa off kwaajili ya masomo

    Wapendwa, mkiona nimekuwa kimya msidhani nime R.I.P. Nitakuwa nje ya jukwaa kwa kipindi fulani ili niweze kujikita katika kumalizia masomo yangu ngazi ya masters! Hapo awali, nilipata ufadhili kwa ajili ya masomo haya ambaye nisingependa kumtaja jina alitugharimia takribani milion 24, lakini...
  17. Bemendazole

    Chonde chonde PPRA, waruhusuni TRC kuchagua mkandarasi wa kujenga reli kwa mfumo wa single source for a National interest

    Nimeona kwenye magazeti juu ya mvutano wa PPRA na TRC kuhusu mfumo wa kuchagua mkandarasi wa kujenga reli. Nawaomba PPRA waangalie jambo hili kwa maslahi mapana ya taifa ili kuwawezesha TRC kupata mkandarasi atakaye weza kujenga reli at EUROPEAN standards. Mkiruhusu international competitive...
  18. Bemendazole

    PSSSF, TPA mmekubali tupigwe na Wakenya kwa knock out?

    Kama mnavyojua majirani wanapenda kuishi kwa janja janja nyingi. Kutokana na uwezo mdogo wa kujenga majengo marefu, they are cheating kwa kupandisha minara mireefu juu ya majengo yao ili kuyaingiza kwenye chati za uongo na kweli za majengo marefu. Hili sio jambo geni. Mtifuano kama huu...
  19. Bemendazole

    SoC01 Kwa jinsi namba D 'zilivyotutesa', zikianza namba E, tufanye mabadiliko haya

    Ukisoma chapisho la Profesa wa uchumi, ndg George Akerlof, lijulikanalo kama 'market for lemons' utaona anavyofafanua juu ya ugumu wa kupata gari bora pale unaponunua gari lililotumika hasa kutokana na taarifa mbonyeo (information assymetry) anazokuwa nazo mnunuzi ukilinganisha na muuzaji ambaye...
  20. Bemendazole

    SoC01 Urasimishaji wa Huduma za Kodi kwa Wajasiliamali Wadogo wadogo kwa mfumo wa 'EFD KWA WOTE'

    Utangulizi Urasimishaji wa Biashara ni shughuli muhimu kwa kuiwezesha nchi kukusanya kodi lakini pia kuwawezesha wafanya biashara ndogo ndogo kutoa huduma za kibiashara kwenye mfumo rasmi kwa kutimiza vigezo. Moja ya eneo la urasimishaji wa biashara ambalo halijafanyiwa kazi ipasavyo ni...
Back
Top Bottom