Search results

  1. Bemendazole

    Watanzania waliopata umaarufu wa ghafla mitandaoni na kisha kupotea

    Asante kwa taarifa. Walio RIP wapumzike kwa amani.
  2. Bemendazole

    Hivi kipi kilifanya driving side isiwe universal?

    Sisi tuliiga kwa Muingereza. Amerika walitaka kutofautiana na muingereza kwenye vitu vingi tu hata kwenye umeme nk. Japan waliajiri waingereza kuwajengea reli. Treni zikawa zinapita kushoto. Walivyoanza kutengeneza magari, wakafuata mfumo wa reli.
  3. Bemendazole

    Matumizi ya "CPA" kwenye initial za majina ni sahihi?

    Ukiona wazungu hawatumii basi ujue sio sahihi.
  4. Bemendazole

    Mbaraza Kachebonaho akabidhi pikipiki tatu kwa UVCCM Temeke

    Abarikiwe. Ameonesha njia...
  5. Bemendazole

    Nampenda sana Nargis Mohamed

    Hivi ndio vilikuwa vifaa vya IFM sasa.
  6. Bemendazole

    Figisu Hatimae kufukuzwa kazi

    Pole...
  7. Bemendazole

    Kwa mfano ungekuwa wewe ndio kiongozi mwenye dhamana ungechukua hatua zipi kuhusu Rufiji

    By the way, watabomoa nyumba za zamani na kuhamisha material. Pili hii ni hisani. Utaki unaacha uendelee kuishi kwenye bwawa.
  8. Bemendazole

    Dkt. Biteko amtembelea mzee Stephen Mashishanga nyumbani kwake Morogoro

    Nimefurahi kumuona mzee Masishanga. Kitambo sana...
  9. Bemendazole

    Kwa mfano ungekuwa wewe ndio kiongozi mwenye dhamana ungechukua hatua zipi kuhusu Rufiji

    Walipwe fidia ili wahame. Nyumba ya chumba kimoja Tsh mil 7. Chumba na sebule Tsh mil 15. Vyumba viwili na sebule Tsh mil 20. Vyumba vitatu na sebule Tsh mil 25. Vyumba vinne (na zaidi) na sebule Tsh mil 35.
  10. Bemendazole

    Afariki baada ya kudaiwa kunywa "Smart gin" nne

    Angekunywa na maji mengi!
  11. Bemendazole

    NEC yabadilishwa jina sasa kuitwa Tume Huru ya Uchaguzi

    Kifupi chake sasa kitakuwa INECo.
  12. Bemendazole

    Nafasi za intern CRDB

    Ulimaliza chuo lini?
  13. Bemendazole

    Mahakama Kuu nchini Zanzibar yafuta kifungu kinachozuia uagizaji wa vileo

    Kuna tofauti kati ya pombe na vileo. Pombe ni aina mojawapo ya kileo.
  14. Bemendazole

    Simba isipomfunga Al Ahly kesho nitajiondoa rasmi hapa Jamiiforums

    Mkuu. Mbona hujajitoa Jf! Unasubiri nini?
  15. Bemendazole

    Namchukia sana Mama yangu

    Alaumiwe nani sasa?
Back
Top Bottom