Search results

  1. Vinci Dayot Upamecano

    Nimemtimua shemeji yangu, kumbe usiku alikuwa analala uchi chumba kimoja na mwanangu mdogo!

    Habari za wakati huu! Huyu jamaa ni shemeji yangu, nilizaa na Dada yake watoto wawili lakini kwa bahati mbaya tulitengana, Sasa amekuja town, akapita kunisalimia mimi sanjali na uncle zake, Amekaa siku tatu tu lakini zimetosha mimi kumfurumusha, nimemwambia nisimuone tena nitam'mwaga ubongo...
  2. Vinci Dayot Upamecano

    Mrembo wa kijiji aliandaliwa kwaajili yangu, lakini sikumtafuna.

    Ninayo picha yake na nilitamani niipakie hapa lakini kwa bahati mbaya sikupata idhini yake. Alikuwa na rangi ya Maji ya kunde hivi, Mzuri wa sura (ya duara) na macho makubwa meupe ya mviringo. Nyonyo zake hakuzinyanyua na sidiria ila zilisimama Dede, alikuwa Ana mapaja manene yaliyobeba...
  3. Vinci Dayot Upamecano

    Mambo ya Pesa; Kila tukio ni sherehe

    Asalaam Aleykum warahmatullah wabarakatul, Ramadan Mubarak. Penye hela nyingi hapaharibiki neno, kuna mshkaji wangu mmoja hiv ametusua bwana, sasa siku ya Jana Ijumaa alinipa mualiko kwenye Hafla fupi ya kumpongeza Binti yake wa miezi 10 kwa sasa, ameweza kutembea mwenyewe. Kwanza sherehe...
  4. Vinci Dayot Upamecano

    Mzee wangu anapost sana memes mtandaoni!

    Mimi sina noma na huyu mzee, lakini bwana father kazidisha kwakweli. Yeye hakuna meme au video ya kuchekesha inampita lazima ataiweka status tu, yaani hadi sometimes watu wangu wa karibu wenye namba yake wanakuwa wanascreen shot vitu vya ajabu alivyo'post mzee wangu na kunitumia huku...
  5. Vinci Dayot Upamecano

    Ni sehemu gani maeneo ya kijijini ndani ya Tanzania uliyowahi kufika ukayafurahia maisha ya hapo?

    Shikamoni Shimba ya Buyenze , Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume wengine wote hamjamboni? Tofauti kidogo na Uzi wa mtaalam Kyambamasimbi hapa tutaangalia vijiji vizuri vyenye Amani, maziwa na asali. Katika harakati za Maisha, suala la kutembea na kubadilisha makazi iwe ni kwa muda mfupi au...
  6. Vinci Dayot Upamecano

    Ni kweli vijana wa 1996, 1997, 1998 na 1999 ni Gifted. Mchango wao umeanza kuonekana mapema sana

    Count Capone alishasema haina haja ya kujuliana hali sasa kila mtu apambane na Hali yake. Kama utakuwa na mjukuu, mtoto, Mdogo au Kaka/dada wa miaka ya kuanzia 1996-1999 utakubaliana na mimi kuwa hiki kizazi ni Gifted. Ni kweli kuwa no research then no right to speak, lakini mimi katika utafiti...
  7. Vinci Dayot Upamecano

    BSc with Education - UDSM 2022

    Amani iwe nanyi, Alieanzisha uzi fulani akasema Udsm saiv kimekuwa kama cha kata bado namtafuta kwa udi na uvumba. Tuachane na hayo mkubwa atabaki kuwa mkubwa tu. Lengo ni kujua abc za kozi husika kwenye chuo tajwa hapo juu hususani kwa mtu aliyetokea diploma bila msuli wa Advance Level kwenye...
  8. Vinci Dayot Upamecano

    Shida ni nini? Mishipa ya damu inadunda sana na moyo kwenda kasi mpaka nauskia

    Ni hali ya kawaida au shida ni nini? Kuna muda moyo unakwenda kasi na mishipa inadunda naiskia hadi kwenye vidole. Pia na mishipa ya kichwani naiskia inadunda mara kwa mara pasipo maumivu yoyote ya kichwa. Hii hali inanipa wasiwasi ukizingatia umri wangu hauzidi 30yrs. Sina mazoea ya kwenda...
  9. Vinci Dayot Upamecano

    Nimebugi, Nyumba niliyohamia baba mwenye nyumba anafuga Ngedere

    Wakonongo, sijui nimejichanganyaje yaani!! Tayari nimelipia kodi ya miezi sita na kabla ya kuhamia kama nimeitembelea mara mbili hiv cha ajabu sijagutuka kama kulikuwa na Ngedere... Jana nmerudi kutoka mzigoni nikapitiliza moja kwa moja kukoga ilikuwa mida ya 11 jioni, nimemaliza kukoga nikawa...
  10. Vinci Dayot Upamecano

    Naanza upya na biashara ya Nafaka rejareja, nipeni Muongozo

    Ishini sana, Tabu sio jambo jema lakini hatuna budi kuzipitia. Kuna kibanda nimekiotea kipo soko la mtaani, hilo soko halina watu wengi saana ila pilika pilika zipo kimtindo pamoja na makazi ya watu sio uswahilini sana sio ushuani sana ni changanyikeni flani hiv nataka niweke kambi hapo...
Back
Top Bottom