Search results

  1. B

    Nchi nzima Ni CCM tu, vipi Maendeleo yakoje uko ulipo?

    It is surprising that they are not even embarassed or concerned that it is all green! And their leader is encouraging them to continue the good life “ kila moja ale kwa urefu wa kamba yake lakini msivimbiwe” My God Tz inaelekea wapi?????
  2. B

    Nchi haijengwi kwa ubazazi na visasi

    God save us!!
  3. B

    Kumbukizi ya miaka 20 ya Moses Nnauye imetegua vitendawili vingi

    Juan kama unalinganisha uongozi na viongozi kula na kustarehe basi nchi yetu haitakaa iendelee! I hope you are wrong on that!! Africa will not change until that ideology of eating up your country changes! God help us!!?
  4. B

    Ikiwa Baraza la Mawaziri litavunjwa, Napendekeza Mkuchika kwa Umri wake atamfaa Mama

    Subira huvuta heri unapoona katiba ya nchi haiheshimiwi!!
  5. B

    Mwamba Freeman Mbowe nakutakia heri ya Sikukuu za Christmas na Mwaka mpya

    Billions na ya ccm ni kuumiza watu?? Shwain!!
  6. B

    Mwamba Freeman Mbowe nakutakia heri ya Sikukuu za Christmas na Mwaka mpya

    Mungu awalipe stahili zao wote waliohusika Kukuweka jela!! Merry Christmass son!!
  7. B

    Marekani yajitosa kesi ya Freeman Mbowe

    Please do not compare Mbowe with a thug! Human adabu mbavusimba!!
  8. B

    Marekani yajitosa kesi ya Freeman Mbowe

    Zandrano you must be ccm! But even so you need to examine your thinking and values in life! UlitakaChadema waende Rwanda???
  9. B

    Ushauri wangu kwa viongozi wa upinzani wote

    Jiteteeeeeeee mwananchi!!! Wewe ndiye mwenye nchi!!!!
  10. B

    Ushauri wangu kwa viongozi wa upinzani wote

    Hii ni nchi yako!! Dai usawa usiachie wengine waenjoy mashangingi wakati wewe unakosa mlo moja kwa siku????
  11. B

    Ushauri wangu kwa viongozi wa upinzani wote

    Wewe unashida na tozo lakini unangojea Chadema ipaaze sauti kwa niaba yako???? Sauti yako iko wapi???
  12. B

    Ushauri wangu kwa viongozi wa upinzani wote

    Ushauri wangu kwa wananchi wote TANZANIA:: Acheni kulala!! Simamieni haki zenu kama wamachinga walivyofanya
  13. B

    Ushauri wangu kwa viongozi wa upinzani wote

    Kila Shida mnataka wapinzani watatue wananchi wako wapi??? Illiterate fools!!!
  14. B

    Yuko wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru Ally?

    Wale watu wawili walijisahau mapema sana!! Waliwadharau maccm wa zamani wakaleta wapya kwa manunuzi, waliwatukana waliokuwa viongozi ccm wakidhani kuwa wao ndio wenyewe, walifurahia wapinzani wakisambaratishwa, Slowslow alitamka kuwa “CCM mpya wanatembea na V8 hata wale walio kwenye mitaa...
  15. B

    Kwanini kesi ya Mbowe imejikita kwenye ushahidi wa Mapolisi kukamata kuliko zana na mipango ya ugaidi?

    Hivi kweli rais wetu anajisikiaje kuhusu hii kesi?? Mimi kama namhurumia kwa aibu anayoibeba kwa yanayotendeka mahakamani! Afadhali ofisi yake angekiri Kuwa rais alidanganywa! Ni aibu kwetu kwa wanaotutazama kutoka nje!!
  16. B

    Tetemeko la CHADEMA Digital laacha nyufa Jimbo la Mtama

    Chadema imeshinda ccm mara mbili wakaibiwa. Cuf mara nyingi ikaibiwa!!
Back
Top Bottom