Search results

  1. H

    Rais Samia Walinde Watanzania Dhidi ya Mauaji ya Pikipiki

    Leo hii, japo pikipiki zimekuwa ni chombo kinachotegemewa na wengi kwa usafiri lakini kwa upande mwingine zimekuwa janga kwa Taifa. Hazijawa janga kwa Taifa kwa sababu zenyewe ni janga kwa asili yake bali kwa sababu ya unafiki wa Serikali. Kuna wakati Polisi walitaka kudhibiti uendeshaji ovyo...
  2. H

    Walioharibu Uchaguzi 2020, Watubu

    Sasa tunaongelea maridhiano, tunaongelea uponyaji wa Taifa, lakini unaliponya vipi Taifa bila kuyatambua majeraha? Kwa nini tusifuate mfano ule wa Afrika Kusini? Waliotenda makosa, walitakiwa kujitokeza, walitakiwa kueleza uhusika wao katika maovu, kisha walikutanishwa na waathirika, waliomba...
  3. H

    Tunasubiria Embe Chini ya Mchongoma

    Nani asiyejua kuwa hatuna Bunge lenye wabunge wanaowawakilisha wananchi? Nani asiyejua kuwa 75% ya wanaoitwa wabunge, hawakuchaguliwa na wajumbe wala wananchi wapiga kura? Nani asiyejua kuwa ni katika hao wateule waovu kwenye ubunge, miongoni mwao alipatikana spika na naibu spika? Nani...
  4. H

    Maamuzi ya Spika, muovu hawezi kuwa na ujasiri wa kumwadhibu muovu mwingine

    Leo habari iliyo juu ni uamuzi wa spika Tulia Ackson wa kuwaruhusu Halima na wenzake kuendelea kuwa wabunge licha ya kutokuwa wanachama wa chama chochote cha siasa, jambo ambalo ni kinyume na matakwa ya katiba yetu. Spika Tulia anasema, hawezi kuwaondolea ubunge wabunge waliovuliwa uwanachama...
  5. H

    Uchumi wa China ukweli ambao wengi hawaujui

    Watanzania wengi ambao ni wavivu wa kutafuta maarifa, huiongelea sana China kama nchi iliyofanikiwa sana kiuchumi, kwa wao kujifungia na kwa kutegemea ubunifu wao na mitaji yao. Wengine wanaenda mbali zaidi, na kushauri Tanzania ifuate mfano wa China. Kwa wale wasiojua, wafahamu yafuatayo: 1)...
  6. H

    Kupaa kwa bei ya Mafuta ni Janga, Kuyashinda Majanga Huhitaji Uongozi Wenye fikra za ziada

    Ukitaka kumtambua kiongozi mzuri, ni wakati wa matatizo. Ukitaka kumtambua dereva mzuri, angalia atafanya nini pale ambapo ajali ni dhahiri. Kuna.mambo, kama nchi, huna uwezo wa kuyabadilisha bali unahitajika kuonesha weledi na ujuzi wa pekee, namna ya kukabiliana na yale usiyo na uwezo wa...
  7. H

    Ulinzi na Usalama - Polisi Wanaposhindwa Kutimiza Wajibu Wao

    Katiba yetu inatamka wazi kuwa jukumu la ulinzi na usalama ni la kila mwananchi. Lakini tunapotimiza jukumu hili la msingi, tumegawana majukumu. 1. Mwananchi anatakiwa kuhakikisha anampa Polisi nyenzo za kupambana na uhalifu. Mwananchi huyu anampa nyenzo Polisi kupitia Serikali kwa njia ya kodi...
  8. H

    Baada ya Uharibifu kwenye Sekta ya Madini, Marekebisho yanakuja

    Kulikuwa na uwongo mwingi wakati wa awamu ya 5 kuhusiana na Sekta ya Madini. Kulikuwa na uwongo mwingi juu ya kuongezeka kwa mapato kwenye sekta ya madini eti kutokana na juhudi za marehemu. Tanzania imeshuka kwenye uzalishaji madini ya dhahabu kutoka nafasi ya 3 Afrika mpaka ya 6. Mapato...
  9. H

    Rais Samia apewe ushirikiano ili alibadilishe Taifa

    Nchi yetu imepita vipindi vingi, vyote vikiwa chini ya utawala wa TANU na baadaye CCM. Kila lililo jema na lililo baya katika Taifa letu lazima lishikamanishwe na CCM kama chama, japo tofauti zilikuwepo vipindi mbalimbali kutokana na matakwa ya Rais aliyekuwepo katika kipindi fulani. Kuna...
  10. H

    Katika Mapambano Yoyote, Mafanikio ni Kutengeneza Mazingira ya Kuzungumza

    Baada ya Mbowe kufutiwa kesi na mahakama, kufuatia ombi la DPP kutotaka kuendelea na kesi, wengi wameongea mengi. Wengine wameongea kwa kuegemea weledi wa kisheria, wengine kwa kuegemea ujinga wao wa kutojua sheria, na wengine kwa kulalia ushabiki wao wa kisiasa. Litakalokuwa kuwa ni kweli: 1)...
  11. H

    Mtumishi Sana Freeman Mbowe

    Sikuiti Mh. Mbowe, kwa sababu kwa kauli, matendo na maisha yako kwa ujumla, Mbowe umekuwa mtumishi badala ya Mheshimiwa. Kwa kauli, matendo, moyo na maisha yako, Freeman Mbowe umedhihirisha pasipo shaka kuwa wewe ni mtumishi wa Watanzania. Ulitengenezewa kesi ya uwongo na akina Kingai, Siro...
  12. H

    Namtafakari Ndugai kama Spika na Mwanadamu

    Katika maisha, kuna mambo fulani yakitokea ndiyo humthibitisha mtu kama ubinadamu wake ulikuwa umekamilika au mtu huyo hakuufikia utimilifu wa ubinadamu halisi. Moja ya mambo hayo ni jirani na mwenzako iwe katika kazi, ujirani au undugu anapopatwa na hatari ya kuondokewa kwa uhai wake. Mtu...
  13. H

    Kupenda Kutukuzwa ni laana, na kupenda kutukuza ni unafiki

    Mwalimu Nyerere, wakati wa Urais wake, kati ya vitu alivyowahi kukemea kabisa ni kumtukuza. Alikataa kuitwa MTUKUFU RAIS, alikataa kuitwa MHESHIMIWA. Mwalimu wakati wote wa uhai wake, na wakati wa Urais wake, aliitwa NDUGU RAIS. Kutokana na yeye kukataa kuitwa MTUKUFU au MHESHIMIWA, hakuna...
  14. H

    Mahakama na Bunge Vinapofanywa Kuwa Idara za Ofisi ya Rais

    Mfumo wetu wa kuongoza nchi, ni mfumo wa kufikirika, ni mfumo wa kinadharia, ni mfumo wenye hadaa nyingi. Siku zote anayekuajiri, anayekupa kazi, ndiye mkuu wako wa kazi, ni kiuhalisia katika utendaji wako wa kazi ndiye unayetakiwa kumtii, kuliko mwingine yeyote. Utawezaje kusema Mahakama ni...
  15. H

    Kesi ya Mbowe na wenzake, Serikali isitese watu bila sababu

    Hatuingilii mwenendo wa Mahakama lakini kuna mambo yapo dhahiri ambayo, laiti kama Jaji angekuwa makini, Mawakili wa Serikali wasingekuwa wanaichezea Mahakama kama wanavyofanya. Mathalani, leo mawakili wa Serikali wanasema eti shahidi hawezi kuendelea na kuhojiwa kwa sababu ameshauriwa na...
  16. H

    Walioandaa Muswada wa kuruhusu uovu wa Polisi dhidi ya umma, wafukuzwe mara moja

    Kuna mswada, mwanasheria mkuu aliuandaa na kuupeleka bungeni ili kuruhusu Polisi kutenda uovu dhidi ya wananchi wawapo katika kazi zao, na wakifanya hivyo, wasishtakiwe. Mswada huo ulikuwa unalenga kuwaruhusu Polisi kufanya uovu dhidi ya raia bila ya kuwa na hofu ya kuchukuliwa hatua wanapokiuka...
  17. H

    Miaka hii mitatu itangazwe ni kipindi cha mpito

    Kiuhalisia, wakati wa awamu ya 5 mifumo mingi ya utawala au ilivurugwa au iliuawa kabisa. Moja ya taasisi zilizouawa ni Bunge. Wabunge walipatikana kwa kupitia uchaguzi bandia. Wabunge hawa bandia, wengi wao hawana uwezo na wala hawana baraka za wananchi. Uvurugaji ulianzia kwenye kura za...
  18. H

    Tafsiri ya Kitanzania ya Ugaidi, uchochezi na kuvuruga amani na umoja wa kitaifa

    Kuna msemo unasema matendo huongea zaidi kuliko maneno. Sasa hivi, kila kona ya nchi ni kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe. Wapo wanaosema kuwa kesi hiyo ya ugaidi dhidi ya Mbowe na Makomandoo wetu, ni ya kuwabambikizia. Wanasema hivi kutokana na mazingira ya hawa watu kupewa hiyo kesi, kukosekana...
  19. H

    Hukumu ya Muuaji ni Kifo ni Dhahiri Hata Usipoadhibiwa

    Kuna watu hutenda uovu mwingi, lakini kwa nafasi zao, hawashtakiwi, na wakishtakiwa, hawaadhibiwa. Kushtakiwa kwao huwa ni njia ya kusafishwa ili warejee kufurahia mema ya nchi. Lakini ukweli ni kwamba: 1) ukiua, damu ya marehemu ndiyo hukumu yako. Umehukumiwa wewe toka siku ulipofanya mauaji...
  20. H

    Muungano wetu: Mgao wa Fedha za IMF na Zanzibar kupewa asilimia 18, ni sahihi?

    Hivi karibuni, kuna taarifa zilizowekwa wazi kwenye baadi ya vyombo vya habari, juu ya mgawanyo wa mikopo ya nje, kati ya Tanzania bara na Zanzibar. Mkopo wa pesa ya Uviko 19, tunaambiwa Zanzibar ilipata 18%. Mkopo wa kutoka Japan, tunaambiwa Zanzibar imepata 30%. Mkataba wa Muungano kati ya...
Back
Top Bottom