Search results

  1. H

    Jaji Warioba: Ukipewa nafasi ukaona inakuzidi sema atafutwe mwingine

    Kuwapata watu wa aina ya Warioba au Mwinyi ndani ya CCM kwa sasa, ni kitu ambacho hakiwezekani. Hata chawa ambaye hana uwezo kabisa akipewa nafasi yoyote ile hawezi kutamka kuwa hana uwezo.
  2. H

    Maandamano ya CHADEMA Mbeya: Lissu asema hatujamkimbia Makonda kwenye Mdahalo, ni jambazi anatakiwa kuwa gerezani

    Kwa picha hizi zinazotumwa mitandaoni, kwa vyovyote vile wewe utakuwa kipofu, unayehesabu watu kwa kuwagusa.
  3. H

    Rais Samia: Uchaguzi utakuwa huru na wa haki

    Mama naye ameanza vioja. !! Uchaguzi utakuwaje huru na wa haki wakati mifumo ya usimamizi wa uchaguzi ni ya hovyo na ya kidikteta? Au utakuwa wa haki kwa vile tu msimamizi ni mkwe wake? Kwa hili akawadanganye punguani.
  4. H

    Mbowe ajitokeze haraka hadharani kueleza fedha za join the chain zipo wapi na zilipatikana shilingi ngapi, ili kuondoa malalamiko ya wanachama

    Ukisikia ubwege ndiyo huu. Wakipewa report waliochangia, nadhani inatosha. Kwani wewe ni nani huko CHADEMA, hadi upewe hiyo report? Aliyetoa hela ndiye mwenye haki ya kudai report. Msthalani ile Lumumba office ina haki ya kukudai wewe report ya hiyo 7,000 unayopewa kila siku. Na bila shaka...
  5. H

    Je, Kuna Taasisi ya ovyo Kabisa Nchini Kuizidi TANESCO?

    Upo sahihi. Kuna mambo ya hovyo sana nchi hii. Hivi karibuni nilienda mkoani Njombe, Wilaya ya Ludewa. Nikakutana na diwani (CCM), analalamika kuwa katani kwake waliambiwa wamepewa pesa ya mradi wa maji wa kata takribani bilioni 1.5 lakini mpaka sasa kazi iliyofanyika haiwezi kuzidi hata...
  6. H

    Mbowe: Serikali ya Rais Samia ni ya anasa

    Kila kitu ni kea kiasi. Chochote ukifanya kwa kupitiliza ni hasara.
  7. H

    CHADEMA yaanza kuongoza Nchi kabla ya kuongoza, yaelekezwa wapewe tasrifa haraka

    Naamini Makonda amesikia. Andaa haraka report ya utekelezaji wa ilani ya CCM, uipeleke CHADEMA ili ikafanyiwe assessment, maana huko ndiko kuliko na watu wenye uwezo mkubwa wa akili. "CCM inaungwa mkono zaidi na watu wajinga (wasio na elimu). CHADEMA inaungwa mkono na watu wasomi na makundi ya...
  8. H

    Rais Samia ashiriki Ibada Maalum ya kumuingiza kazini Mkuu Mteule wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Malasusa, Azania Front, leo Januari 21, 2024

    Siku hizi naona Rais ana muda mwingi wa kutosha, kiasi cha kushiriki hata matukio madogo madogo!!
  9. H

    Maandamano ya CHADEMA kuanzia Mbezi Mwisho na Buguruni hadi Ofisi za UN

    Huna haja ya kupiga kelele sasa. Waache waandamane, ndipo itajulikana kama ni umma au familia chache.
  10. H

    Mkutano Maalum wa Baraza la vyama vya siasa na wadau wa Demokrasia, January 4, 2024

    Ndiyo maana nchi hii haitakuja kuendelea. Watu hawajui thamani ya muda. Ni upuuzi na ujinga wa hali ya juu, siku nzima mnaipoteza kwa kujadili 4Rs!!
  11. H

    Hamas walimkuta Joshua amevaa bulletproof

    Fikra zako za kipuuzi sana. Wewe kwa akili yako ndogo unaona bullet proof ni kitu cha ajabu? Kuna wakati tulikuwa kwenye ziara ya kikazi kwenda Kabanga, Ngara. Kwa sababu matukio ya watu kutekwa wakiwa kwenye magari binafsi au mabasi yalikuwa mengi wakati huo, sisi sote, kila mmoja alipewa...
  12. H

    Jerry Silaa: Marufuku Wananchi Kununua Ardhi ambayo haijapimwa. Kuanzia Sasa Ardhi itauzwa na Afisa Ardhi na Kampuni za Upimaji

    Huyu siamini kama.ni mzima. Awahishwe hospitali huko Mirembe kabla mambo hayajamharibikia zaidi. Inaonekana hajui hata sheria za ardhi. Hawa ndio wale wanaopoteza muda mwingi darasani halafu wanatoka watupu kabisa. Sheria za nchi zinatambua umiliki wa ardhi, na siyo upimaji wa ardhi. Umiliki...
  13. H

    Ushauri: Serikali imfukuze Balozi wa Palestina nchini

    Wewe pia ni mjinga au ndani yako una roho ya ugaidi. Au wewe ni miongoni mwa masalia ya yale magaidi ya Kibiti ambayo sahizi yapo Msumbiji. Hiyo historia ya mgogoro wa Palestina ina husiana vipi na kijana wetu aliyeuawa kinyama na haya mashetani? Siamini kama kuna mtu mwenye akili timamu na...
  14. H

    Serikali yaunganisha RITA na NIDA na Kufuta Mashirika mengine 20 ya Umma

    Wangeunganisha na wizara Wangeunganisha na kufuta baadhi ya Wizara..Tuna wizara na baadhi ya mawaziri ambao hawana msaada wowote kwa Taifa. Kwa mfano tangu wizara ya madini na nishati ifanywe kuwa wizara mbili tofauti, kuna tija gani imepatikana? Matatizo ya umeme ndiyo yameongezeka.
  15. H

    Makonda apiga Goti kwa Mwadhama Kardinali Pengo

    Unafiki. Uteke watu, uue halafu uende kuwaona viongozi wa dini. Huko ni kuwadhihaki viongozi wa dini.
  16. H

    Rais TLS atoa msimamo Wakili Mpoki kufungiwa miezi 6

    Hii nchi sijui kama kuna kitu kilichokaa vizuri! Mahakama hovyo, Serikali hovyo, Bunge hovyo. Hivi ni nini hasa tunachoweza? Tungekuwa ni nchi za wanaojitambua, huyo Mwenyekiti magumashi alistahili kufukuzwa mara moja, maana maadili na uwezo wake ni aheri ya mwenyekiti wa baraza la kata...
  17. H

    Nairobi: Tundu Lissu akutana na Madaktari waliopigania Uhai wake

    Ninyi ndio wenye upeo duni sana. Hivi Makonda amechanja mbuga kufika wapi? Kuwa katibu mwenezi wa chama ndiyo kuchanja mbuga?.
  18. H

    Nairobi: Tundu Lissu akutana na Madaktari waliopigania Uhai wake

    Ulivyoanfika tu, inaonekana una matatizo kichwani. Shughulikia tatizo lako la akili kabla hujafikia hatua mbaya. Inaonekana umekuwa addicted, ndiyo maana hata ukiteleza ukaanguka, ukiamka, nadhani utailaumu CHADEMA.
  19. H

    Nairobi: Tundu Lissu akutana na Madaktari waliopigania Uhai wake

    Hili suala la CHADEMA qala CCM, ni suala la mifumo ya utawala wa nchi. Inatakiwa tuwe na mifumo inayozuia kabisa watu wa ajabu ajabu kuwepo kwenye sehemu za maamuzi, bila ya kujali kama watu hao watapitia CCM, CHADEMA au chama kingine chochote.
Back
Top Bottom