Search results

  1. Kelela

    Baadhi ya changamoto za madereva barabarani

    Ni takribani miezi 10 sasa tangu nianze kuendesha chombo cha moto (pikipiki), Ingawa sina route ndefu kwani maximum route zangu ni kilometa 40 au chini ya hapo. Kwa kipindi hicho cha miezi kumi nimeona baadhi ya makosa haya ambayo ni hatarishi na yanaweza kusababisha ajali: 1. Dereva wa...
  2. Kelela

    LAMINATION MACHINE INAUZWA TSH 55,000

    IMEUZWA
  3. Kelela

    Anayejua Kubadili Plate number ya pikipiki

    Habari wakuu, Nimenunua pikipiki ina plate number nyeupe, Sasa mimi matumizi yangu ni binafsi nataka niweke plate number ya njano, je naanzia wapi kubadili na gharama zake zikoje? Card ya pikipiki ipo. Naomba msaada kwa mwenye uelewa .
  4. Kelela

    Msaada: Naomba kujua chuo cha udereva wa pikipiki na kupata leseni

    Habari wana JF, Naomba kujulishwa mambo yafuatayo kwa wanaofahamu. 1. Chuo kinachotoa mafunzo ya udereva wa pikipiki Dar es salaam (Specifically wilaya ya Temeke). 2. Jinsi ya Kupata Leseni ya Kuendesha Pikipiki na Gharama zake. 3. Jinsi ya Kubadili Plate number kutoka Nyeupe kuwa njano...
  5. Kelela

    Kero: RITA mna matatizo gani?

    Habari wana JF, Naandika uzi huu ili kuelezea kero zangu na wengine wengi kuhusu RITA kama kuna wahusika humu walifanyie kazi. Natoa kero hizi leo Tarehe 26-Julai-2022 1. Kero ya Kwanza: Namba ya Huduma kwa wateja ni BUTU. Namba ya Huduma kwa wateja ya RITA haifanyi kazi, yaani ukipiga...
  6. Kelela

    Naomba Kujua Chimbo la Vyombo vya Nyumbani (JUMLA)

    Habari za leo wadau! Husika na kichwa cha nyuzi hapo juu. Naomba kujua kwa hapa Dar es Salaam - Kariakoo Ni Sehemu gani naweza kupata vyombo vya nyumbani kwa bei ya jumla ya chini. Nahitaji maelekezo yalipo maduka hayo. Natanguliza shukurani.
  7. Kelela

    Changamoto: Jinsi ya Ku-apply Chuo cha Upolisi Moshi

    Habari za leo WanaJF, Rejea, kichwa cha uzi hapo juu. Napata changamoto namna ya kutuma maombi katika tovuti ya Chuo cha Upolisi Moshi TPS MOSHI – NIDHAMU UAMINIFU NA HAKI maana kwenye website yao button ya APPLY NOW haifanyi kazi. Kama kuna mtu anajua direct link ya kuapply naomba anisaidie.
  8. Kelela

    Yah: Wakala kukuambia LIPA KWA SIMU badala ya kutoa Pesa

    Habari wanaJF, Nimekuwa nikikutana na ushauri wa wakala kila nikitaka kutoa pesa wananiambia tumia lipa kwa simu alafu unaweka kiwango cha juu kidogo (Mfano unatoa 7,000 anakuambia andika 8,000) Kisha wewe anakupa 7,000. Swali je, huu ni utaratibu mpya au? Maana ni mawakala wengi ukitaka kutoa...
  9. Kelela

    Ofisi za RITA Temeke zipo wapi?

    Habari za leo, Husika na kichwa cha mada hapo juu. Naomba kujua mahali zilipo ofisi za RITA wilaya ya Temeke kwa anayefahamu. Natanguliza Shukrani. Ahsante!
  10. Kelela

    Mwaka Unaisha, Mimi nimejitathmini hivi

    Kujitathmini umefanya nini ndani ya mwaka husika na miaka iliyopita kutakusaidia kujua hali ya maendeleo yako. Mimi mwaka huu nilijiona kama sijafanya chochote vile , Lakini nikasema ngoja kwanza. Nikafungua Microsoft Word Document Nikaanza kuangalia Pesa niliyoiweka kwenye Investments...
  11. Kelela

    KERO: Baadhi ya Walimu wa boarding sio waaminifu

    Kama mupo walimu wa tabia hii jirekebisheni. Mzazi unahangaika unapata chochote kitu unaamua kumtumia mwanao pesa ya matumizi, kwa kuwa wanafunzi hawaruhusiwi kumiliki simu tunatumia namba zenu walimu kama munavyotuambia. Sasa baadhi ya walimu hamna uaminifu, unatumiwa pesa ya mtoto na...
  12. Kelela

    Tofauti ya Nauli Air Tanzania Dar to Kenya

    Mwenye experience ya Kusafiri na Air Tanzania kutoka Dar es Salaam kwenda Nairobi Kenya, Naona utofauti wa Nauli kati ya TWIGA BASIC na TWIGA BUSINESS ni MKUBWA SANA. Naomba Kujua kuna nini katika TWIGA BUSINESS ambacho hakipatikani katika TWIGA BASIC?
  13. Kelela

    Zebra Cross, sehemu ya kuvuka watu kwa miguu nani anahusika?

    Habari za leo wadau, Naomba kufahamu hawa watu wanaoweka alama za zebra (wapita kwa miguu) barabarani. Maana katika eneo ninaloishi hakuna zebra cross barabarani na magari huwa yanapita kwa kasi sana maana hakuna zebra cross wala matuta. Hili limepelekea watu (watoto, vijana, wazee) kuvuka...
  14. Kelela

    Naomba Kujua Wino wa Epson L3110 Printer kwa chupa zote nne ni Bei gani?

    Naomba Kujua Wino wa Epson L3110 Printer kwa chupa zote nne ni Bei gani?
  15. Kelela

    Hospitali za Serikali Wanatoa Huduma Jumamosi?

    Hospitali za Serikali Wanatoa Huduma Jumamosi kwa wagonjwa wa kawaida (OPD)? Kama Jibu ni Ndio, Ratiba ikoje? yani kuanzia saa ngapi hadi ngapi? Natanguliza shukran!
  16. Kelela

    Ni kozi gani nisome ili niweze kujifunza matumizi ya Ultrasound?

    Habari, Naomba kujua ni kozi gani ya Certificate au Diploma ambayo nikisoma ndani yake kuna mafunzo ya Ultrasound? Na pia ni vyuo gani wanatoa kozi hiyo? Natanguliza Shukurani.
  17. Kelela

    Kadi ya Mtoto ikichanika, Unaweza Kupata Nyingine?

    Habari za leo! Nauliza kama kadi ya mtoto ya kliniki imechanika kiasi kwamba ni vigumu kuiunganisha, je unaweza ukapata kadi nyingine ili ujaze tena taarifa zake? Na kama inawezekana kupata nyingine, ni hatua zipi za kufuata ili kuipata? Ahsanteni.
  18. Kelela

    Vipi hatma ya wito wa kutumia kikoa cha .com Tanzania?

    Mwaka jana (2020) mwezi wa kwanza TCRA ilitoa wito ya watu wote kutumia .co.tz na ukitumia .com ni kosa ambalo unaweza kulipishwa faili au kifungo. Swali langu ni je, mpaka sasa sheria hiyo ipo? na kama bado ipo kwa nini baadhi ya watu wanaendelea kutumia .com? naomba ufafanuzi kwa wanaofahamu...
  19. Kelela

    Mfanyakazi wa Stationery anahitajika

    Mfanyakazi wa Stationery anahitajika Eneo la kazi ni: Pugu-DSM Jinsia: Ya kike (hii ni kulingana na mazingira ya kazi) Kama upo tayari ingia katika link hii MFANYAKAZI WA STATIONERY ANAHITAJIKA ujaze fomu
Back
Top Bottom