Search results

  1. Dr Msweden

    Nipo Rwanda, hao Wanawake mnaowasifia kwa uzuri mbona siwaoni?

    Nipo Kigali kikazi, hao wanawake wa kinywaranda mnaowasifia kila siku kwa uzuri huko Instagram na hapa Jamiiforums mbona siwaoni? Huku mitaani nawaona wanawake wa kawaida sana tena hawafikii uzuri wa dada zetu wa kitanganyika. Pumbavuuu
  2. Dr Msweden

    Kula kwa urefu wa kamba yako,hili daraja limejengwa kwa billion 31

    Daraja la kitengule ambalo linaunganisha misenyi na biharamulo ujenzi wake umegharibu billion 31 za kitanzania. Naamini hizi zitakuwa bil 31 za Zimbabwe
  3. Dr Msweden

    Ushauri nichukue ipi kati ya Onkyo,marantz,Denon na Harman kardon

    Sony home theater bado haijakata kiu yangu katika ulimwengu wa muziki.nataka niruke na moja kati ya hizi music system Onkyo,Klipsch, marantz,Denon na Harman kardon. Nichukue brand ipi iwe alpha na Omega . NB:kwa ajili ya music tu sio movies
  4. Dr Msweden

    CAF inashindwa nini kufuta goli la ugenini?

    Kwanini wasifanye kama UEFA kufuta goli la ugenini? Hii inakuwa siyo sawa kabisa👇👇 Esperance na Al Merreikh wamefuzu kwa goli la ugenini lisilo na maana yoyote.
  5. Dr Msweden

    DOKEZO Halmashauri ya Temeke imeanzisha tozo mpya za taka

    Jioni hii nimepitia kuchukua hesabu katika moja ya pharmacy yangu iliyopo Mbande Chamazi nikakutana na hii barua kutoka serikali ya mtaa ,bahati nzuri aliyeleta hii barua alikuwa mtendaji nimeisoma yote nikaanza kumuuliza maswali kuhusu hizi tozo mpya za taka. Maswali niliyomuuliza alishindwa...
  6. Dr Msweden

    Ushauri: Niende jeshi au niendelee na biashara zangu?

    Habari za mida? Mimi ni Daktari ,doctor of medicine nina umri wa miaka 28yrs nimejiajiri nina pharmacy moja na maabara moja na nipo mbioni kufungua dispensary na pharmacy nyingine faida ninayopata kwa siku wastani ni laki 5, hapa kati imetokea changamoto mzee aliniambia niandae CV zangu ana...
  7. Dr Msweden

    Kaka yangu amechomwa Moto kwa kudhaniwa ni mwizi

    Inasikitisha sana Kaka yangu ni mlemavu wa akili (ana downs syndrome) hata kumuangalia kwa macho unajua kabisa huyu mtu kichwani hakuna kitu. Majuzi alitoroka nyumbani tulimtafuta bila mafanikio ghafla tukapewa taarifa kuwa ameitiwa mwizi amechomwa moto, amekamatwa mzima mzima wala hawajampiga...
  8. Dr Msweden

    Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

    Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi. Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe)...
  9. Dr Msweden

    CRDB mmefanya kibaguzi haiwezekani Zanzibar mtoa mikopo isiyo na riba,Tz bara mikopo iwe na riba

    Hii imekaaje wadau naona imekaa kibaguzi sana,ina maana sisi Tanzania bara hatuna uhitaji na hiyo mikopo au? Zanzibar ni wa muhimu sana kwenu kuliko sisi? Au Zanzibar ni masikini sana mmeamua kuwapa upendeleo? Kila siku wajasiriamali wanalia kuhusu riba lakini mmeweka pamba masikio. Kama swala...
  10. Dr Msweden

    Tovuti zenye maudhui ya ngono zaanza kupatikana tena kwa watumiaji walio Tanzania

    Mama anaupiga sana, huku DSTV wameruhusiwa local channels huku video zetu pendwa za akina Cherokee d'ass, Mzansi zimeruhusiwa 😁
  11. Dr Msweden

    Kwa hii aibu niliyopata, naenda kujifunza Kiingereza

    Muonekano wangu umekaa kishua mtu akiniona tu anajua nina hela halafu naongea Kiingereza balaa. Jana kuna mzungu kaja pharmacy ya mama mkwe kununua dawa sasa mama mkwe Kingereza akipandi akamtuma mtoto aje kuniita, nimefika dukani ile kumuona mzungu tu kimoyo moyo nikajisemea nimekwisha...
  12. Dr Msweden

    USHAURI: Niende kwenye ajira Serikalini au nisimimamie biashara za nyumbani?

    Habari za asubuhi? Nishaurini katika hili nimepata ajira Serikalini Upande wa afya clinical officer soon tunatakiwa kuripoti kazini . Upande wa pili wazazi wanamiliki pharmacy 2 na maduka mawili ya jumla ya dawa na dispensary moja , wazazi hawataki niende kwenye ajira ya Serikalini wanataka...
  13. Dr Msweden

    Nilichapa bakora mtoto wa jirani akafa

    Baada ya kumaliza diploma yangu ya clinical medicine katika chuo cha mafinga ile nimefika tu mtaani siku ya pili nikakuta watoto wawili wa wapangaji wetu walikuwa wanafanya mapenzi kinyume na maumbile umri wao ulikuwa miaka 10. Nilichukua bakora nikawachapa ,bakora 20 kila mtu wakati natoa...
  14. Dr Msweden

    Lazima tunyooke,mitano tena

    lazima tunyooke suti kutoka laki 9 mpaka laki 2😆😆,Mitano tena kwa jiwe
  15. Dr Msweden

    Hizi gari Zina maajabu gani? Mbona bei yake ni kubwa sana

    Habari Wana jukwaa? Katika pita pita be forward nimekutana na hivi vi Suzuki bei yake imenishtuanilikuwa naulizia kuna kipi cha ziada mpka imepelekea kuuzwa bei kubwa? Naona Hadi crown,Subaru ,Benz zimepitwa gharama..
  16. Dr Msweden

    Hatimaye mdogo wenu nakaribia kumiliki gari ya ndoto yangu

    Baada ya muda mrefu kuteseka na daladala hatimaye Nimeagiza chuma , chombo ipo kwa bahari unakuja inavuka bahari kutoka Japan Nimenunua manual ili kuepuka kuazimwa ovyo . Chombo iyo 14m lazima niwatembezee moto
Back
Top Bottom