Search results

  1. A

    Je, kuna uwezekano wa kukata rufaa kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza walioshindwa kukata rufaa ya mwanzo?

    Habari ndugu, Naomba kuuliza kama nitaruhusiwa kuappeal mkopo kwani nilipata asilimia chache sana kwa mwaka wakwanza na nilishindwa ku-appeal kipind kile kutokana na sababu zilizokua nje na uwezo wangu. Je, mwaka huu nitaruhusiwa kuappeal?
  2. A

    Continous walioomba mkopo mwaka 2020/21 wanaweza kupangiwa?

    Wasomi wenzangu naomba kuuliza kwamba kama mwanafunzi alipata asilimia 20 ya mkopo na hakufanikiwa kuappeal kwa kipindi kile cha mwaka Jana je mwaka huu dirisha la Appel likifunguliwa ataruhusiwa kuappeal..???? Naomba kuwasilisha...!!
Back
Top Bottom