Changamoto unazopitia zinakuumiza na kukuhangaisha.
Hii ni sehemu ya maisha ambayo kamwe haiepukiki Wala haizuiliki.
Kuna wakati unajiuliza,Mungu uko wapi na hata mimi naandamwa na kusumbuliwa na dhiki.
Mungu kama unanisikia ,nakuomba mitihani hii mbali kwangu izidi pitia.
Mbaya zaidi ni pale...
Sia ni binti ambaye wakati Fulani tuliwahi kuwa katika uhusiano wa kimapenzi,Japokuwa ndio kwanza tulikuwa tumetoka masomoni kwa kuhitimu kidato cha sita.Si jina lake halisi ,Lakini naamini litafanikisha kufikisha ujumbe niliokusudia.
Hatukudumu sana hasa baada ya matokeo kutoka na kila mmoja...
Kuogopa juu ya jambo fulani ni miongoni mwa changamoto anazopitia mwanadam yeyote.
Si mbaya kuogopa, lakini tatizo litakuja kama kuogopa huko kutakufanya ushindwe kutimiza au kufanya majukumu yako ya msingi. Kama kusoma, Kulima, kupika, kulala nk.
Sababu zinaweza kuwa nyingi za kwa nini...
Wakuu Habari,
Nimeona nikushirikishe wewe kijana mwenzangu ambae bado uko Chuo, Mtaani au tayari kwenye suala la Ajira.
Ni muhimu kuzingatia ni kwa njia gani unaishirikisha jamii ili tu uweze kutoka sehemu moja kwenda nyingine kimaisha.
Mfano mzuri, kama unatafuta kazi kwa njia ya kutuma...
Habari wakuu,
Vijana wetu hususani walio shule ni miongoni mwa wanaosumbuliwa na matatizo ya afya ya akili, ikiwemo KHOFU ILIYOPITILIZA.
Kwenye maisha khofu ni jambo la kawaida, lakini inapotokea inazidi kiasi mtu anashindwa kufikia ndoto zake anazotarajia, hii inahesabika kama tatizo.
Kuna...
Habari Wakuu,
Katika kupita pita na kujadili Mambo,Nimekutana na jamaa ananambia Pesa sio kila kitu katika kuleta furaha ya kweli ya nafsi maishani.
Usemi huu ni kweli?
Habari Wakuu,
Akili ni rasilimali muhimu katika kufanikisha shughuli za maisha yako ya kila siku.
Zingatia nini unasikiliza, Wapi, toka kwanani na muda gani.
Wataalam wanashauri kuwa si vema kulala ilihali umesoma au kuangalia picha, au tamthilia zenye kuogofya kwani kile cha mwisho kutazama...
Wakuu Habari,
Kama kuna mtu ambaye amewahi kusoma college hii inayotoa Kozi zake kwa mfumo wa Online,Naomba atusaidie juu ya eligibility yake na equivalency ya certificates zake kwa vigezo vya hapa nchini.
Mfano Kama mtu amesoma Diploma, Au degree chuo hiki,Atahesabika kama muhitimu wa ngazi...
Habari Wakuu,
Mmoja kati ya Wataalam wa masuala ya kujifunza maarufu kwa jina la Jim Kwik aliwahi kusema,"Wengi tunaambiwa tujifunze,Lakini si kila mtu anaweza kukufundisha mbinu za kujifunza".
Hapa alidhamiria mbinu gani unaweza zitumia hata ukaelewa mambo mbalimbali unayojifunza.
Kwik...
Wakuu Habari,
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa nafasi ya Uhai na salama .
Leo niandike jambo kuhusu kuandika Malengo
Mwanzo niliamini ni maneno tu kama yalivyo mengine hasa yale yanayosemwa na Inspirational na motovational Speakers, ambao hivi karibuni wamekuwa wakidhihakiwa kama...
Wakuu habari,
Nimekuwa najiuliza,Nini kinawakwamisha baadhi mafundi kushindwa kuwa wawazi kwa wateja?
Hali hii utokea pale fundi aidha wa ujenzi, viatu au hata nguo kushindwa kuwa muwazi kwa mteja,hasa juu ya lini kazi yake itakamilika.
Japo ifahamike si wote wenye tabia hiyo,Lakini wengi wa...
Habari Wakuu,
Inawezekana hivi sasa ni miaka kadhaa uko nyumbani au mtaani au pengine mwaka huu ulitamani kujiendeleza kielimu kwa ngazi yeyote, Lakini umekumbwa na changamoto ambazo zimepelekea kukwamisha ndoto zako.
Niliwahi kukumbwa na hali kama hii,Kiukweli ugumu wake asikwambie mtu,Lakini...
Wakuu kuna hili suala la baadhi yetu ambao tunasumbuliwa na mambo tofauti kimaisha.
Kwenye majukwaa ni rahisi kukuta mtu ameamua kuanika kinagaubaga yale anayofanya chumbani na mwenzi wake, au namna alivyonyanyaswa na mwenzake na mfano wa hayo.
Au hata wakati mwingine changamoto anazopitia...
Maisha yanavyoenda mbio kila mmoja anakiri kuwa hii sio utani.
Kuna wakati unajikuta hauitaji chochote kwenye maisha, kiasi hata unajichukia.
Ni mimi tu ndio nakutwa na hali hii au yupo ambae nae amepitia hilo?
Na pengine kuna mambo anaweza shauri kama sehemu ya msaada wa nini nifanye ili...
Kimaisha kila kitu huwa kinatakiwa kuwa kati kwa kati ,Yaani kisizidi au kisipungue sana.
Mfano kula ukavimbewa ni tabu japokuwa kula ni lazima.Sawa na matendo mengine kama kucheka,kulia ,kutabasamu au hata kukasirika.
Uoga ni moja ya hali ambayo umpata kila mmoja wetu,Lakini kwa wengine...
Ni utaratibu wa vyuo karibu vyote kwa ngazi tofauti kuwa na ratiba ambayo inaonesha mambo muhimu yanayohusiana na chuo husika.
Ujumuisha sheria na kanuni za chuo,ufaulu na madaraja tofauti ,Maeneo muhimu ya chuo kama hostel na madarasa mengine.
Na wengine huenda mbali hata wakawasaidia...
Maisha ni safari na hatua ndefu ambayo kila mmoja wetu anayo tafsiri mbali na hii niliyoitumia. Kwa muktadha huo,Kama binadam bado kuna mambo au vitu ambavyo vinatuunganisha kwa sauti moja, ikiwemo suala zima la hisia. Sio rahisi kuainisha hisia ni nini, Lakini zinawezekana kudhihirika kupitia...
Kipindi cha kuwa mwanafunzi,Ni kipindi muhimu sana unachoweza pitia katika ngazi tofauti za Kitaaluma.
Wakati mwingine kwa mwanafunzi huwa na shauku ya kutaka kuhitimu ili tu ayafikie malengo yake,Ikiwemo kuingiza kipato au hata kuisadia familia juu ya mambo kadha yanayoisumbua.
Kuwa na haraka...
Wakuu kwema,
Kuna mambo unaweza ukafanya kwa uharaka au kwa pupa kisha ukaja kugundua kuwa hukupaswa kulifanya aidha kwa wakati huo au kwa mtu huyo.
Kumekuwa na malalamiko hususani kwa vijana wanaojiingiza kwenye dimbwi la mapenzi ,Baadae wanagundua kuwa waliomchagua si stahiki ,Hii ni baada...
Wakuu hamjambo,
Vijana wetu wa darasa la Saba wako mtaani kwa muda wa miezi mitatu Hadi hapo watakapojiunga na kidato cha kwanza mwezi Januari mwakani.
Kwa umuhimu wa kipindi hiki na ukizingatia wengi wanatoka shule za msingi za serikali ni muda sasa kwa wahitimu wa kada ya ualimu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.