Search results

  1. Doctor Stranger

    Hivi kuna mchezaji yoyote Afrika mashariki anaemzidi Novatus Dismas upande wa kiungo?

    Nashangaa kocha ameshindwaje kumtumia huyu dogo, cha ajabu anamweka beki ya kushoto mala akae nyuma ya mabeki.
  2. Doctor Stranger

    Taifa stars haisongi mbele sababu inaendekeza ushikaji pamoja na Usimba na Uyanga

    Mzamiru hana ball control kumzidi Aziz Andambwile. Kelvin john hana skills kumzidi clement msize labda kilichomfanya aitwe timu ya taifa ni vile ligi ya ubelgiji wanachezea mpira wa chuma. Job na sop hakuna walichowaazidi Lusajo mwaikenda na tepsie evance labda ni ufupi tu. Himid mao na...
  3. Doctor Stranger

    Fei salum ajifunze kitu kutokwa kwa Kenedy Musunda na joyce lomalisa

    Wakati wanasajiliwa kuja Yanga Hawakuwa maarufu sana na mechi nyingi walikuwa wanatokea benchi kiasi wachambuzi uchwara kama kawaida yao wakaanza kuwaponda na kuwapa majina ya ajabu kama mzee wa mikimbio, kufanyia mzaha jina la joyce wakahasau nao wanamchezaji anaitwa jeni. Upande wa lomalisa...
  4. Doctor Stranger

    Kimataifa: Magoli ya Simba na Yanga yote yamefungwa na wachezaji wa kigeni

    Simba 7:0 Horoya Chama, Baleke, Kanute Yanga 2: 0 Monastir Mayele, Musonda. Halafu anakuja mjinga mmoja anasema anataka alipwe kama wageni wakati hajui hata faulo inapigwaje. Wachezaji wa kibongo inapaswa wajitambue.
  5. Doctor Stranger

    Kama kuvunja mkataba ni kitu easy basi ManzoKi angekuwa Zuwena fc.

    Kuna mashabiki wa simba/zuwena fc wamejipa jukumu la kumtetea fei..wanajikuta wanajua mambo mengi ya timu kubwa kuliko timu yao yenye migogoro ya viongozi kila kukicha. NAWAKUMBUSHA TU kama kuvunja mkataba ni rahisi basi Manzoki angekuwa Zuwena fc.
  6. Doctor Stranger

    Vipers SC waikejeli simba SC kwa kuiita zuwena fc

    Wakuu maajabu huwa hayaishi Bunju. Baada ya majina kadhaa kupita Msimbazi kama makolo FC, mbumbumbu FC, mikia FC. Leo timu kubwa ya Uganda, Vipers sc kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii wamewapa jina jipya hawa ndugu zetu. Jina ilo ni Zuwena fc. Hapo vipi watani tuendelee na makolo au...
  7. Doctor Stranger

    Rage apewe PhD ya heshima

    Aliewapa jina mbumbumbu hakukosea na nashauri ajengewe sanamu pale Msimbazi au Bunju. Haiwezekani mtu mwenye akili timamu ukawacheka TP Mazembe kupigwa 2 na waarabu wakati we mwenyewe timu yako ndio ilitia aibu ya mwaka kwa kupigwa 3 kavu nyumbani. Aliewaita mbumbumbu hakukosea kwakweli.
  8. Doctor Stranger

    Tangu mashindano ya CAF yaanze, leo ndio nimeshuhudia mpira mbovu kutoka kwa vibonde wa Raja Casablanca

    Ndugu zangu mpira ni mchezo wa wazi sana. Vipers na simba kwa pamoja walipigwa 8 mtungo na Raja Casablanca. Hiyo inaonesha kabisa hawa ndio viazi wa kundi na ni vibonde haswaa maana mmoja alipasuliwa 3 kavu akiwa nyumbani. Tuachane na hayo kusema ukweli mechi ya hawa vibonde ndio mechi mbovu...
  9. Doctor Stranger

    Simba tutapelekewa moto leo

    Mimi ni simba damu damu ila kusema kweli sioni kama tutatoboa kimataifa. Timu imekata tamaa kama mjane mwenye watoto saba. Fikiria tumepigwa na horoya Tumepigwa 3 kavu na raja mpaka mwekezaji anacoment nakujijibu mwenyewe huko twitter. Hii timu imejikatia tamaa vibaya mpaka kocha anashangilia...
  10. Doctor Stranger

    Kanisa vs Amen: Ni ipi ngoma kali?

    Wakuu ngoma gani kali Kati ya hizi Kanisa by Dizasta Amen by Racha
  11. Doctor Stranger

    Mashabiki waliamsha baada ya mwamuzi wa kati kutoa penati dakika ya 90+2

    Mashabiki wa klabu ya Unisport FC de Bafang walivamia uwanja na kuwapiga waamuzi baada ya mwamuzi wa kati kutoa penati dakika ya 90+2 dhidi ya Victoria United katika mchezo wa mzunguko wa 13 wa Ligi ya Daraja la Pili nchini Cameroon 🇨🇲 maarufu kama MTN Elite Two. Hadi kufika dakika hiyo...
  12. Doctor Stranger

    kwa East africa Hakuna timu yenye viungo bora kuizidi Yanga.

    Mudathir Yahya Bangala Aucho Sureboy Aziz key Zawadi Mauya Nitajieni timu yenye viungo wakali kuizidi yanga nipo hapa nawasubiri..!
  13. Doctor Stranger

    Tribulation ni kama onyo kwa marapa wabana pua wote

    Hii tribulation imekua kama onyo kwa wasanii wabana pua wote. Nadhani ule ubishi wa nani anafaa kupewa crown ya Hip-pop umeisha hakuna cha Young lunya wala young nani, hakuna anaeweza kubattle na Dizasta.
  14. Doctor Stranger

    Yanga itaifunga TP Mazembe

    Kwa kikosi cha Yanga sioni kama hawa TP Mazembe kama watatoboa. Cheki kikosi hiki; Diarra D. shaban Lomalisa Job Doumbia Bangala litombo Aucho Aziz key Kenedy Musonda Mayele
  15. Doctor Stranger

    Al Hilal wapigika kama ngoma na timu B ya Tp Mazembe

    Jana Al hilal wamepigwa 3 : 0 na timu ya watoto wa academy ya Tp Mazembe. Ikumbukwe tu hawa Al Hilal ndiyo waliwapiga makolo kimoja cha nguruwe.
  16. Doctor Stranger

    Nafurahi sana demu akinikataa

    Habari wakuu... Nimetimiza miaka 9 sasa bila mahusiano na demu.. nimekua napenda kupgwa vibuti, yaan demu asiponikataa cfeel good tena natamani anitemee na shit ndio moyo wang unasuzika. mademu wanashangaa wakinikubalia siwatafuti tena.. kijana wenu nimeona nije kuomba ushauri maana sijui kama...
  17. Doctor Stranger

    Young Africans 4-0 Mbeya kwanza | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

    Mabao ya Mayele, Said Ntibanzokiza ‘Saido’ na Dickson Ambundo yalitosha kuipeleka mapumziko Yanga ikiwa kifua mbele kwa mabao 3-0. ⚽️' 34, F Mayele ⚽️' 39, S Ntibazonkiza ⚽️' 44' D Ambundo. Yanga first eleven Diarra Job Bangala Farid kibwana Sureboy Aucho Saido Moloko Ambundo Mayele...
  18. Doctor Stranger

    Kocha wa Orlando Pirates aapa kulipiza kisasi kwa hujuma alizofanyiwa na Simba

    Hawaja tu-treat vizuri, unaweza ukashangaa V.A.R Imewekwa lakini haijafanya kazi...! Kiufupi hawakustahili kushinda lakini Nina swali kwao Iwapo na sisi tutawafanyia hivyo mechi ijayo watajisikiaje? Kocha wa Orlando Pirates, Mandla Cinkazi.
  19. Doctor Stranger

    Kilichotukera Orlando Pirates sio Penati ya kubebwa au maamuzi ya V.A.R kilichotukwaza ni vile vitochi vya kishamba

    Hatuna shida sana matokeo tuliyopata maana yote aliyoyasema Abdi Banda yametimia. ila kilichotukera sana sisi ni vile vitochi vyenu vya kitoto mlivyokuwa mkivielekeza kwa golikipa wetu muda wote. Karibuni South Africa.
  20. Doctor Stranger

    Natabiri yatakayotokea kwenye mechi ya leo Kati ya simba na orlando pirates

    Mohammed hussein atang'ara sana Pia atahusika kwenye bao lao kwanza la Simba. Lwanga atapewa kadi mbili za njano Kapombe au sakho mmoja atapata injury Kennedy juma atachomesha goli 1 Mugalu atakosa magoli mengi ya wazi huku mechi ikiisha Simba 1 : 1 Orlando pirates
Back
Top Bottom