Search results

  1. G

    Ukweli kuhusu ziara ya Mhe. Wassira Jimboni kwake Bunda

    Wewe hizo zenye mashiko ulishazileta wapi zikakataliwa au umekariri kupinga tuuu! kwa maandishi yak o haya hata 1% ya wasira huingii.
  2. G

    Ukawa kuandamana nchi nzima

    kikubwa waandamane WABUNGE na FAMILIA ZAO. short of that wajiandae kupelekwa the HAGUE
  3. G

    Ukawa kuandamana nchi nzima

    kikubwa waandamane WABUNGE na FAMILIA ZAO. short of that wajiandae kupelekwa the HAGUE
  4. G

    Kindumbwendumbwe cha Muungano

    Sidhani hata kama ungeoneshwa hayo mambo ungekubali kwa akili zako zilivo negative! Ila moja zao la miaka hamsini ya muungano ni UWEPO WA VYOMBO KAMA JAMII FORUM NA UHURU WA KUTUKANA! nakutakieni week end njema kama si sherehe njema za tz at 50.
  5. G

    UKAWA wadaiwa kurudi bungeni na kusaini posho!

    wameanza kurudi sema rudiji yenyewe haiko organised kama walivotoka. so uliyekaa nae yeye bado hajarudi na hana constant communication na ukawa wote.
  6. G

    Mwigulu ashauri Rais atengue uteuzi wa wajumbe waliosusia vikao vya Bunge

    Lyimo na wewe acha kukariri mimaneno bila kuwaza sawasawa ,so mtizamo usiokuwa unaendana na chadema ni wa wakina nani ?? au sasa watu wote hapa tz wanasemewa na cdm!( maana definition yako hapa ya wananchi ni:- wananchi ni watu wanaokubaliana na akili za chadema)
  7. G

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

    msanii ni mbowe na genge lake mnao fanya siasa hata kwenye meza ya uandishi wa katiba. i mean full time politics is unprogressive and hopeless kwa maneno mengine kusimamisisha maisha ya watu wote na mambo mengine yote hadi siku akiwa kiongozi wa nchi , haa ni ujuha, upumbavu na ni upumbavu ulio...
  8. G

    Yaliyojiri Uchaguzi mkuu wa chama cha NCCR-Mageuzi, Mbowe, Lipumba, Mangula, Slaa washiriki

    Mbowe alianza kupatapata akili kidogo alipokuwa anaongelea katiba na mambo ya balance ya wabunge bungeni, ghfla ucdm ukamzingira akaibuka anasema tutarudi barabarani , sijui anawaza nini kuwa watu wote niwaandamanaji???? majanga
  9. G

    Yaliyojiri Uchaguzi mkuu wa chama cha NCCR-Mageuzi, Mbowe, Lipumba, Mangula, Slaa washiriki

    hiyo katiba ya cdm mkutano mkuu unaofuata lini jamani japo hiyo hiyo iliyosanifiwa inasema lini? maana zito nahisi anau usubiri kwa hamu sana!
  10. G

    Mijadala ya siasa maofisini

    ni mwendelezo wa kutojitambua tu au ulimbukeni au stereo typeship au mtindo au fashion chagua tu kwa utulivu utapata where you belong
  11. G

    Sitta adhalilishwa na wana CCM wenzake Dar

    six alivokuwa waziri wa ujenzi noma
  12. G

    Kemondo Mwanza Wamkaba Kooni Mamluki wa CCM ndani ya Chadema.

    kimenuka ni nini hasa kwa mtu asiye mhuni wa kijiweni kemondo? au ni habari nayo kumjua mamluki fulani? je una uhakika gani kama wameisha huko hao mamluki? au wewe wewe tukuamini vipi kama si mamluki kwa namna fulani fulani? tafuta vitu vya kuandika la umechoka pumzika mbele ya lap top kama...
  13. G

    Kesho, Jumatatu ni siku ya mapumziko Tanzania Bara na Zanzibar

    sasa wewe licdm si uendelee kufanya kazi kwa key board yako?
  14. G

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    zito kwa hili anaumbuka tu na uongo anaoendesha wa kujionesha kwa umma mzalendo kumbe wale wale. amesahau kuwa huwezi danganya watu wote kwa wakati wote. taratibu waandamanaji watafumbua macho tu , ajipe mda.hela anazo na most of it ni ufisadi tu ule ule anaoimba usiku na mchana kuwanyoonshea...
  15. G

    Mwakyembe na Tizeba wanarembua macho

    Kinachotekea hapo kwenye baraza la mawaziri ni kujali zaidi maslahi ya kijimbo na si taifa unaofanywa na almost kila mbunge kutaka RAMI kwenye maeneo yao na kusahau kuwa Bandari na reli vinafaa vianze na viinue uchumi kwa ujumla , ndi[po hizo rami za kila kona ya nchi zifuate. Bahati mbaya...
  16. G

    Mkutano wa hadhara wa Abdalah Bulembo Shinyanga(M),wafutwa baada ya kukosa watu!

    so hawa wote wanaomsikiliza mbowe kila kukicha unamaanisha ni wapumbavu zaidi kiasi kwamba hawajitambui?
  17. G

    Kwenu CHADEMA - Kuelekea kwny maandamano

    ni mlolongo wa ubatili thiandamani kabithaa!
  18. G

    CHADEMA na polisi katika mtifuano mkali

    maandamano ni siasa nzuri sana kwa type hiyo form four failure! akiwekwa waziri mwingine jumanne ijayo inawafanyeje waache soma jf /facebook ect wayageukie madaftari yao?
  19. G

    CHADEMA na polisi katika mtifuano mkali

    maandamano ni siasa nzuri sana kwa type hiyo form four failure! akiwekwa waziri mwingine jumanne ijayo inawafanyeje waache soma jf /facebook ect wayageukie madaftari yao?
Back
Top Bottom