Search results

  1. Meshacky Allyson

    Msaada kuomba mkopo

    Wakuu nimekwama hapa nafanyeje.. Ina loading tu.. haiweki tick..
  2. Meshacky Allyson

    Msaada wa namna ya kujaza mkopo HESLB

    Wadau mambo vipi
  3. Meshacky Allyson

    Tutajie uzi bora ambao hujawahi jutia kuusoma hapa JF

    Wakuuu, Habari zenu, Binafsi nimejifunza mengi hapa Jamii forums kupitia machapisho au Nyuzi za hapa JF, ziko nyingii za miaka na miaka, nyingine zina burudisha, kufundisha nk. Leo hebu tutajiane ni uzi upi uliupenda sana hapa JF, na uliandikwa na nani kama unamkumbuka ututajie itapendeza sana...
  4. Meshacky Allyson

    Hataki tuwe wapenzi, anataka urafiki

    Wakuu za saa hizi. Binafsi na marafiki zangu wengi wamekuwa wakinipa kesi kama hizi, kwamba unakuta mwamba kamfukuzia demu, then anajibiwa na demu kuwa hataki mahusiano bali urafiki nae. Sasa wakuu hebu tupeni mbinu ma legend , kwenye situation kama hii mnapinduaje meza kibabe.. [emoji41], ili...
  5. Meshacky Allyson

    Tutajie vitabu gani vilikusaidia katika kuongeza uelewa wako juu ya mahusiano, mapenzi

    Wana jamii, Habari zenu natumai mko poa, hebu leo share na wana jamii ni vitabu gani uliwahi kuvisoma na vikakusaidia katika kuongeza uelewa na ufahamu katikati swala zima la mahusiano na mapenzi. Huwa sometimes naamini wengi wanafeli katika hii sekta kutokana na uelewa mdogo. Taja jina la...
  6. Meshacky Allyson

    Ilianza vikuku sasa ni kutoboa pua na vipini

    Wakuu, salamu, Jambo linalonileta kwenu ni hayo inayoendelea sasa, zamani kdg nilianza kushangaaa idadi ya wadada kuvaa vikuku mguuni ikiongezeka sikuelewa ni nn, maana nachojua ni wamasai mara nyingi huwa ndio culture yao.., Sasa now dayz limeanza wimbi kubwaa la wadada kutoboa pua ni kama...
  7. Meshacky Allyson

    Ubinafsi (Selfishness) umeathiri vipi mahusiano yako?

    Wakuu.. habari za jioni Naomba niende kwa mada moja kwa moja. Nimekuwa nikisoma mada tofauti tofauti humu na nikawa nawaza naona moja ya tatizo kubwa linalofanya mahusiano mengi yasisogee mbele ni ubinafsi, yaani tabia ya mtu kujiwazia yeye kwanza katika mengi pasipo kujali wengine au mwenziwe...
  8. Meshacky Allyson

    Wasiwasi kwenye mapenzi ni Muhimu mno

    Habari wana JF, Natumaini mu wazima wa afya, binafsi nimeona hili ni jambo jema nije kushare na nyinyi ndugu zangu, iko hivi sometimes nimeona malalamiko humu mtu akilaumu kuwa mpenzi wake hamuami sijui kila mara kwa mara anamuuliza uko wapi, na vitu kama hivyo. Binafsi hili naliona ni jambo...
  9. Meshacky Allyson

    Kunyanduana maana yake nini hasa?

    Wakuu mambo zenu , hili neno la kunyanduana naona linatumika sana ktk social network ,sasa binafsi sijui lina maana gani ,nakuja kwenu naomba muongozo wakuu..[emoji3577]
  10. Meshacky Allyson

    Ukimtongoza Mwanamke na ukakataliwa huwa unakuwa na mtazamo gani juu yake?

    Habari wana JF, Natumaini mu wazima wa afya , leo ni weekend hope mko poa na wengi wenu ni mapumziko leo. Moja kwa moja kama uzi hapo juu unavyojieleza . Binafsi kama kijana, nimekutana na case nyingi tu za boyz wenzangu kukataliwa na girls pindi wanapowataka kimahusiano. But cha kushangaza...
  11. Meshacky Allyson

    Ni jambo lipi ushawahi kufanyiwa na demu wako na mpaka leo hutaweza kulisahau?

    Habari wana JF, wenzangu natumaini mu wazima wa afya, moja kwa moja kwenye mada hapo juu. Binafsi niliwahi kuwa na girl ambaye sitakuja kumsahau kwa jambo lile alilonifanyia. Kiukweli alikuwa mwanamke wa tofauti sana kwangu kwa wakati ule, Nakumbuka siku hiyo aliniita mahali aliniambia ana...
  12. Meshacky Allyson

    Dada: Mwanaume Hatulii Bali Anatulizwa

    Habari wana Jf , natumai mu wazima wa afya , natamani kushare hii kitu na dada zetu , Ni hivi dada always kaa ukijua , mwanaume hawezi kutulia mpaka umtulize , mindset ya boys ni kwamba ni watu wa matokeo zaid , yaan haamini mpaka aone jambo flani unalomwaminisha limetokea , Hawaoi kwa sababu ya...
  13. Meshacky Allyson

    Vitu gani unazingatia, wewe binafsi kabla ya kuingia kwenye mahusiano?

    Habari wana JF, Natumaini mu wazima wa afya ni Dua na maombi yangu kwa mola ,azidi kuwalinda na kuwapa maarifa na hekima ili tuzidi kufundishana na kupeana mawazo, Narudi kwenye mada. Binafsi nipo single na huwa nikikutana na marafiki au washkaji zangu, wengi huwa nikiwauliza why umeingia...
  14. Meshacky Allyson

    Je, kwa kufanya haya utanogesha penzi lako?

    Habari wana Jf, Nimekuwa nikifuatilia nukuu mbalimbali kwenye vitabu nk. Je kuna ukweli wowote juu ya hili, kwamba Wanawake ni vyema kuwaonyesha wanaume zenu kuwa mnawapenda sirini na sio hadharani. Yaan in public kwamba huyo ndio mwanaume wako kila mtu ajue. Hii inasemekana wanaume wengi...
  15. Meshacky Allyson

    Kitu gani kinakupa uhakika kuwa unapendwa kweli na mwenza wako?

    Habari wana JF, Kumekuwa na tafsiri nyingi tofauti juu ya kupendwa, hebu kama wewe ni mwanaume au mwanadada tuelezane ni mambo gani yanaweza kukuhakikishia kwamba unapendwa kwa dhati na mwenza au mpenzi wako... Pia soma: Do you feel LOVED?
  16. Meshacky Allyson

    Hivi ni kwasababu ya geto au akili ya mtu tu kuendekeza uzinzi?

    Hi wana JF, naomba niende kwa mada moja kwa moja, Binafsi Nimekuwa na marafiki wengi washkaji nk .ambao kiukweli tumekuwa wote tangu utotoni Hivyo tabia zao kwa kiasi kikubwa ninazijua vzr sana ,Ni nzuri na za Hofu ya Mungu Kwa kiasi flani Ila Cha kushangaza wengi wao wakipata neema ya kuhama...
  17. Meshacky Allyson

    Jinsi muonekano, sura na shape zilivyowaponza wengi na kupata wapenzi ambao wanakuja kujutia

    Hi Wanajamii, Kama title hapo unavyoiona kiukweli mimi pia ni muhanga wa hili jambo yaan kupagawa na muonekano wa pisi kali lkn baada ya kuingia ktk uhusiano kiukweli ni majutoo , vizinga kibao show mbovu , yaan unaaanza kujutaaa ..[emoji24] . Niliwahi kuwa na manzi tena ni mtoto mkali, pisi...
  18. Meshacky Allyson

    Kuacha na kuachwa kwenye mapenzi limekuwa jambo la kujisifu

    Habari wana JF, natumaini mu wazima wa afya. Binafsi nimekuwa nikitafakari sana jambo hili, nimekuwa nikisikiliza friend zangu walioko kwenye mahusiano na wapenzi wao, wakiongea kwa kujisifu kabisa sijui akizingua namwacha. Wadada nao siku hizi hivyo hivyo, kama sijui huna hela unaachwa. Yaani...
  19. Meshacky Allyson

    Nimechafukwa na mapenzi

    Wana JF, kama title hapo juu inavyosema Yaani kiukweli, sijui tatizo hili ni kwa sababu ya ugumu wa maisha au ni aina ya mapenzi ya sasa, yaani sielewi nimekuwa nipo single kwa muda sasa, kiukweli mzuka wa kudate na mtoto wa mtu sina, hasa nikiangalia date za sasa zilivyo mbovuu, zipo kimaslahi...
  20. Meshacky Allyson

    Pisi ikikuangalia sana (eye contacts ) ni dalili ya nini..??

    Habari wana JF , Nimejaribu kupotia nakala na majarida mbalimbali yanayozungumza juu ya swala hili ,nimepata data chache kdg ,Nimeona nirudi kwenu niulize hili ,Yaan kuna pisi everyday nikikutana nazo huwa zinanipa eye contacts sanaa , Sasa huwa nashindwa kutafsiri vzr juu ya hii kitu ...
Back
Top Bottom