Search results

  1. Azniv Protingas

    UTEUZI: Rais wa Zanzibar amemteua Jaji George Joseph kazi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi

    Jaji George Joseph Kazi ameteuliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ataapishwa tarehe 28 Agosti, 2023 saa 8 Mchana Ikulu Zanzibar na wajumbe wa Tume hiyo. Uteuzi wake unaanza leo 24 Agosti, 2023...
  2. Azniv Protingas

    Niandae bajeti ya shilingi ngapi ili kutembea Kenya?

    Habari wanajamii, Nilikuwa naomba mnipe mchanganuo wa pesa ili niandae nikatembee Kenya, nina mpango wa kukaa wiki moja, siku nne Mombasa, siku tatu Nairobi. Mchanganuo ujumuishe: -Pesa ya usafiri (Dar-Mombasa-Nairobi-Arusha-Dar) -Malazi (nimejaribu kuangalia mtandaoni kuna cheap hotel mpaka...
  3. Azniv Protingas

    Kilio cha wakazi wa Pemba chatarajiwa kufutwa

    Zan fast ferries wanatarajia kutambulisha boti mpya Zanzibar 3 ambayo inatarajia kufanya safari zake baina ya Dar-Znz-Pemba. Hili litakuwa jambo jema kwa wakazi wa Pemba kwani kilio chao cha muda mrefu kitakuwa kimefutwa. Pemba kwa sasa wanategemea meli ya Azam Sealink 1 & 2, ikraam sealine na...
  4. Azniv Protingas

    Wapaka mbao rangi kuhadaa wateja

    Natembea kuelekea Buguruni eneo la Binti Madenge. Hapa nakutana na wafanyabiashara wanaouza mbao na wengine wakifanya kazi ya kuingiza mbao ndani ya mapipa. Navutiwa na kazi ile, nikitaka kujua ni kwa nini wanatumbukiza mbao ndani ya yale mapipa marefu yenye maji ya rangi ya kijani. Nikasogea...
  5. Azniv Protingas

    Mambo ya kuzingatia unapotaka kuanzisha biashara

    Unapoanza biashara, kuna mambo kadhaa muhimu ya kuzingatia ili kuongeza uwezekano wa mafanikio. Kuanzisha biashara ni hatua kubwa na yenye changamoto, lakini pia inaweza kuwa fursa nzuri ya kufanikiwa na kufikia malengo yako. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia wakati unapoanza biashara: 1...
  6. Azniv Protingas

    Jamiiforum vs usiku vs boxing

    Wangapi tupo macho ambao tumekosa Usingizi tunapitia nyuzi za JF. Hapa kulala mpk saa 8 ndo usingizi unakuja. Nipo naangalia boxing lakini celewi nikaona niwape Hi wana JF. Kama upo macho tupia hata Hi hapo ili tuwe pamoja.
  7. Azniv Protingas

    Ushauri juu ya kozi za kusoma

    Habari wana JF kwenye jukwaa la elimu, kma title inavyojieleza hapo juu. Mm ni mhitimu wa F6 mwaka 2022, bahati nzuri au mbaya matokeo yangu hayakuweza kuruhusu nijiunge na degree nlipata (DEE) kwenye masomo ya combination. Nia yangu ilikuwa kusoma data science km matokeo yangekuwa mazuri. Lkn...
  8. Azniv Protingas

    Msaada kuhusu uhandisi wa Meli

    Naomba kama kuna mtu ana ufahamu na uhandisi wa MELI ( marine engineer) acomment hapo, kwa faida yangu na wengine. Vitu kama masomo yake, ajira, mshahara, ugumu wa kazi n.k. chochote unachojua kuhusu hiyo fani kitanisaidia au unaweza kuzungumzia kuhusu fani nzima ya ubaharia. Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom