Search results

  1. ntogwisangu

    Nyama mbovu Platinum Annex Dodoma

    YAANI NI UPUUZI MTUPU,HAKUNA NYAMA NZURI SKY MOTEL AU LIQUID!!!!SANA SANA MALAYA WACHAFU NA NSHOMILE WASIOJUA PIKA!!!INGAWA SKY KWA BUKOBA NI AFADHALI KULIKO SEHEMU YEYOTE YA BUKUBA!!!NYAMA NZURI DOM,ARUSHA,SINGIDA.
  2. ntogwisangu

    Tafakuri ya FaizaFoxy: CCM imetegwa ikategeka?

    hotofautiana=ulifundishwa ujinga tu we bibi kizee!
  3. ntogwisangu

    PSSSF kuanza rasmi Agosti mosi 2018

    Mbona sielewi?Na sisi tulio LAPF,lakin ni private wanatuhamisha moja kwa moja NSSF au?Nao unaanza lini maana hapo haujaongelewa kabisa
  4. ntogwisangu

    Msomi mzuri, kazi nzuri, maisha mazuri lakini shoga

    Nyie watu mna mambo sana mnadharirisha kwa kumtaja kinyemela mara public figure,mara motivational speaker,mara alishawai fanya kazi Airtel,mara ana dada ake nae ni public figure.In fact mmeshamtaja.Ingekuwa vizuri huu uzi uondolewe tu maana kwa watu wanaojua mtu ambaye hayo yote mliyotaja...
  5. ntogwisangu

    Uhitaji kiwanja Kisarawe

    Mkuu hacha masiala,kama kilikushinda Dar utaweza Kisarawe,ebu waachie wenye nazo bana!
  6. ntogwisangu

    Historian ya CHARLES S. KABEHO

    Nadhani wewe kuna kitu unakitafuta hapa bwana Kabeho!!!!WENGINE TUNAJUA NI MAREHEMU!KIFO CHAKE KILITOKANA NA GONJWA LETU!!!!!!
  7. ntogwisangu

    Ndesamburo aagwa kwa mara ya pili

    Jaman mi nisiwe mnafik,yeye apumzike kwa aman ila mi nataman ningekuwa mwanaye,maana ukipumzika ni kugawana ulichoacha!Usiwa kwa watoto,wagawane mali kwa haki,waache mambo ya kirudhuku rudhuku anayofanya mbowe!Rip mzee,neema umeiacha
  8. ntogwisangu

    Tanzia: Meya wa Mji Mdogo wa Urambo, Peter Sitta afariki dunia

    Rip Peter Sitta,natumai hujaifilisi Urambo kwa tenda na mengineyo
  9. ntogwisangu

    Tanzia: Meya wa Mji Mdogo wa Urambo, Peter Sitta afariki dunia

    Mkuu usihofu,jitahid nawe ukoo wako mke mgawane kitachobaki,ndo maisha yetu sisi tusidanganyane!Mbowe,Lowasa,Sumaye wrote hawa ni wale wale,muhimu tu jitahid nasi tufike uko,ukipata dhamana iba kabisa
  10. ntogwisangu

    Gay First Gentleman of Luxembourg joins the wives of world leaders

    Wakristo ni watu Wa ajabu sana,Mungu anawaona.Kila ushenzi Wa dunia wanaintroduce wako.Mwanaume mzima badala ya kufutwa oil na mrembo,wewe ndo unafuta kinyesi chako,hii ni laana
  11. ntogwisangu

    IKULU: Rais Magufuli apokea ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini. Amtaka Waziri Muhongo ajiuzulu

    Ebu tuache haya mambo,tudiscuss rufaa ya Simba Fifa,maana sielewi haya mambo,Maneromango hatuna madini,tuna minazi na Mnazi.
  12. ntogwisangu

    Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

    Who is Kongosho?I used to go there during that time,kufanya mathematics kwa Mwl Lindugani.
  13. ntogwisangu

    Anguko la Nyani Ngabu

    Mkuu kwema?habari za wapi ustaadh?
  14. ntogwisangu

    AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

    SAA 23.45,Leo mpaka kesho
  15. ntogwisangu

    Njia nyembamba (Simulizi mpya by SteveMollel)

    Mkuu habar,naomba nami unitag,asante
Back
Top Bottom