Search results

  1. wakuja town

    Msaada wa kutafuta nyuzi za zamani

    Naomba kuelekezwa namna ya kuweza kuupata tena thread ambayo nimeisoma hyu na sasa siioni, mfano kuna uzi mmoja una heading "ni kitabu gani kimewahi kubadilisha maisha yako" nilikuwa naupitia sasa hvi bt siuoni tena baada ya kushift kdg.
  2. wakuja town

    Msaada kuhusu bima ya afya

    Habari za asubuhi wakuu, Naomba anaejua bima ya afya yoyote ya gharama nafuu tofauti na NHIF anijuze. Nataka niwakatie wazee wangu, binafsi natumia ile ya NSSF ya kuchangia elfu 20 kwa mwezi ...... Recently wamesitisha kupokea wanachama wapya Kwa mda usiojulikana.
  3. wakuja town

    Msaada kuhusu bima ya afya

    Habari za asubui wakuu. Naomba anaejua bima ya afya yoyote ya gharama nafuu tofauti na nhif anijuze. Nataka niwakatie wazee wangu, binafsi natumia ile ya nssf ya kuchangia elfu 20 kwa mwezi bt recently wamesitisha kupokea wanachama wapya kwa mda usiojulikana wameacha tu wale ambao...
  4. wakuja town

    Msaada wakuu kuhusu app ya movies na series ambayo ina subtitles moja kwa moja

    Habari wakuu, nililetaga humu uzi kuomba kusaidiwa namna ya kupata subtitles kwenye series na movies mpk sasa sijapata solution, je kuna app ya movies na series ya namna hyo? Kuna uzi flan mwana mmoja akapendekez app inaitwa cinehub for Android mwanzo ilikubali na ni nzr bt ghafla ikagoma...
  5. wakuja town

    Hassan Rehani Bitchuka: Fundi wa muziki wa dansi, sauti ya kinanda. Yu wapi huyu mtaalam wakuu?

    Aisee nimejikuta nikimkumbuka sana huyu fundi wa muziki wa dansi aliyepata kuvuma sana kwenye muziki wa dansi na nyimbo kadhaa zilizokonga vilivyo nyoyo zetu. Yu wapi gwiji huyu?
  6. wakuja town

    Ni vipi naweza kuangalia series au movies kwa ku-attach subtitles?

    Wakuu huwa nadownload movies na series kupitia telegram sasa nyingi huwa hazina subtitles, nimejaribu kuangalia kupitia vlc au mx player bt naona dizaini inaleta shida, je kuna njia nyingine naweza kusolve hii shida? Msaada kwenu.
  7. wakuja town

    Msaada wa VPN ambayo ni free na strong

    Natumia turbo vpn duration yake ni wiki moja for free so naomba mwenye kujua ambayo ni free total na yenye kasi nzuri, ni hayo tu wakuu uchaguzi huu umetufunza mengi.
Back
Top Bottom