Search results

  1. wakuja town

    Sekretarieti ya CCM yazuru kaburi la Hayati Dkt. Magufuli wilayani Chato

    Nchi ilikuwa inatia huruma sana, mateso yalizidi na hakuna aliekuwa anathubutu kuongea ukweli, Mungu fundi sana
  2. wakuja town

    Sekretarieti ya CCM yazuru kaburi la Hayati Dkt. Magufuli wilayani Chato

    Muovu hulipwa kulingana na uovu wake.
  3. wakuja town

    Wimbo wako pendwa kutoka kwa Alikiba ni upi?!

    [emoji2] [emoji2] umetisha mzee
  4. wakuja town

    Ole Sabaya kaa kimya uchunguzwe, acha kuchonganisha mamlaka za nchi. Utaingia matatizoni

    Aliipata vzr sana, sema yeye ndie aliekuwa analea lea huu upumbavu.
  5. wakuja town

    Bora nichukiwe na Wana Simba SC ila ukweli huu Mchungu uliochangia Kipigo Kitakatifu cha Mzulu na Mkaburu Kaizer Chiefs FC niuseme

    [emoji23] mzee kumbuka mwarabu kwake tulidroo nae, ila mzulu kwao katutandika nne bila. Ili tushinde yatupasa goli tano ziingie kammbani kwa mzulu huku tukiombea asipate ata goli moja
  6. wakuja town

    Wimbo wako pendwa kutoka kwa Alikiba ni upi?!

    Ngoma imetulia sana kwakwel
  7. wakuja town

    Bora nichukiwe na Wana Simba SC ila ukweli huu Mchungu uliochangia Kipigo Kitakatifu cha Mzulu na Mkaburu Kaizer Chiefs FC niuseme

    Hizi unazoongea ni ndoto za mchana, na kujifariji bt kiukweli safari ya simba kwa hya mashindano kwa mwaka huu ndio imefikia tamati jana. Tujipange kwa msimu ujao labda.
  8. wakuja town

    Wimbo wako pendwa kutoka kwa Alikiba ni upi?!

    Mshumaa, ila acheni uwendawazimu wa kumlinganisha hyu chaliii na simba.
  9. wakuja town

    Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  10. wakuja town

    Sabaya ni jambazi au Mkuu wa Wilaya (DC)?

    Mahali pekee anapostahili kuwa huyu mbwa ni kaburini tu.
  11. wakuja town

    Unabii wa Godbless Lema kwa Ole Sabaya umetimia?

    Daaa bahati nzr tu mm sio muumba, bt kiukweli kabisa jamaa hakustahili kuendelea kuishi.
  12. wakuja town

    Unabii wa Godbless Lema kwa Ole Sabaya umetimia?

    Kuna mwamba mmoja anaitwa "tumia akili" , kwake nyote munasubiri
  13. wakuja town

    Lugha za wasakatonge wa awamu ya 5 zilizoyeyuka mithili ya theluji wakati wa kiangazi

    Alikuwa anawaambia kuwa yeye ni jiwe sasa na wao walivyomisukule wakawa wanadhani ni special specie.
  14. wakuja town

    Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

    [emoji2] [emoji2] umetisha mkuu umenihamasisha niisake
Back
Top Bottom