Search results

  1. CHEMPO

    Mkuu wa Mkoa aamuru Diwani akamatwe, apelekwa mahabusu!

    Ni u,,,nz mtupu....yeye ananguvu kulicho chaguo la wananchi>>.
  2. CHEMPO

    Kweli baba (Lema) mwenye nyumba karudi nyumbani Arusha

    Kweli nimegundua kuna tofauti ya kiongozi wa kuchaguliwa na kiongozi wa kuteuliwa..baada ya Lema kurudi alipiga marufuku mgambo kupiga watu na akawaelekeza kutumia taratibu za kisheria kushughulikiaa watu. Nilichogundua mpaka sasa siwaoni tena wale mgambo wakiranda randa...hii pia inambatana na...
  3. CHEMPO

    Je, ni CCM imebadilika au ni vyombo vya habari?

    Sasa tumebakiwa na ITV pekee,,,,,
  4. CHEMPO

    Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

    Nimejaribu kufwatilia.kila sehemu serekali ya ccm ilipopoteza uhai wa wananchi wake. Ccm ilishindwa kabisa hata kufanya mikutano mfano arusha..ukiona serekal flani inaua wananchi wake ujue uhuru wa hao wananchi umekaribia....
  5. CHEMPO

    Nahofia uhakika wa Takwimu Sensa Hii.Tufanye nini tuokoe Jahazi?

    Inanishangaza serekali ya ccm ikiwahadaa watanzania kwa kuwaambia kuwa wajitokeze kuhesabiwa ili waletewe maendeleo,,,,je,kwa muda wa miaka 50 mmeshindwa kumtoa mtanzania kwenye lindi la umasikini kwa kuwa hamjui idadi yao?,,nahitaji majibu
  6. CHEMPO

    Hongera Halmashauri jiji la Arusha

    sioni pa kuwapeleka,sijui watafanyaje
  7. CHEMPO

    Hongera Halmashauri jiji la Arusha

    Napenda kuipongeza halmashauri yangu ya jiji la arusha kwa kuwa na mikakati ya kuweka jiji safi kuanzia tarehe 1/9..hii itaambatana na kuwaondoa wafanya biashara wadogowadogo maeneo ya mabarabarani rai yangu: Ni vyema hawa wafanyabiashara wakatafutiwa mahali pa kufanyia biashara.hii itaepusha...
  8. CHEMPO

    Chadema ongezeni kipato kwa kuyafanya haya:

    Nimejaribu kufanya utafiti mdogo,nikagundua kuwa rangi za chadema zinapendwa sana na watu,hivyo napenda chadema watafute kiwanda hata nnje ya nchi.kituzalishie product zenye rangi za chadema,halafu ziuzwe kwa watanzania kama namna ya kuongeza mapato ya chama...napendekeza kuwa bidhaa hizo ziwe...
  9. CHEMPO

    M4C msisahau kupita kwa wafuatao...

    Ole sendeka nimesahau
  10. CHEMPO

    M4C msisahau kupita kwa wafuatao...

    Chadema bunge limeisha sasa,,majembe yetu mlioko bungeni tunawategemea kujiunga na jeshi la m4c...2015 tunayahitaji majimo yanayoongozwa na: 1.kayanza Pinda 2.Lukuvi. 3Wasira 4.Anne Makinda 5.Lusinde 6.Nchemba 7.na mengine mengi napendekeza zile pickup zikaanze kufanya kazi huko
  11. CHEMPO

    Nassari: Kanisa la KKKT - Dayosisi ya Meru lina miradi ya maendeleo kuliko serikali

    kwa kuwa hakuna mashekh wenye uwezo wa kuendesha nnchi.
  12. CHEMPO

    Nafasi ya mwisho kwa walimu wa tanzania....

    kabla sijakusaidia natakiwa kujua mambo yafuatayo: 1.elimu yako 2.imani yako 3.unakotoka 4.kabila 5.umri 6.umeoa/umeolewa 7.chama unachoshabikia 8.umeachika/mahusiano 9.kimo chako 10.ukuaji wa akili(cognitive development) nikiyajua hayo yote nitakuwa kwenye nafasi nzuri ya kukusaidia
  13. CHEMPO

    Nafasi ya mwisho kwa walimu wa tanzania....

    nashindwa nianze kukusaidia wapi.maana mwalimu wako hakukusaidia kwenye nyanja kuu 2 yaani...cognitive na affective ......hili ni zao lingine la elimu movu iliyosimamiwa na ccmkwa miaka 50
  14. CHEMPO

    Nafasi ya mwisho kwa walimu wa tanzania....

    nyie ndo mnaotoa kura kwa ajili ya vyakula..jitambue hujachelewa
  15. CHEMPO

    Tumedhubutu, tumeweza na tunasonga mbele kuboresha shule zetu.

    Tunasonga kuelekea msitu wa pande
  16. CHEMPO

    Nafasi ya mwisho kwa walimu wa tanzania....

    ccm walivyopewa vyandarua wakatoa madin yetu,,mbinu hii waliipata kwa nani na mwaka gani?
  17. CHEMPO

    Nafasi ya mwisho kwa walimu wa tanzania....

    Jana kwenye changia chadema.mh mbowe alitoa vipaumbele vitatu pindi chadema watakapoingia madarakani mwaka 2015.ipaumbele hivyo ni: 1.elimu 2.elimu 3.elimu walimu wanachotakiwa kufanya kuanzia sasa ni kuhubiri waziwazi mabadiliko ya uongozi wakiwa madarasani na nnje ya madarasa.mwisho kabisa ni...
  18. CHEMPO

    Lema kaonesha tofauti kubwa sana katika hili

    Watu wa arusha tulishaona hii hazina siku nyingi....kuna helcopta moja pia
  19. CHEMPO

    Naisubiri taarifa ya habari ya TBC kuhusu mgomo wa walimu

    HII TBCCM IFE TU......:flypig::flypig:
  20. CHEMPO

    Naisubiri taarifa ya habari ya TBC kuhusu mgomo wa walimu

    Nimefwatilia hii stor channel ten wameieleza kwa undani sana ..sasa naisubiri komedy ya tbccm kuhusu mgomo wa walimu
Back
Top Bottom