Search results

  1. Mtaalam

    Bilionea Zuckerberg katika Maandalizi ya Nuclear Armageddon

    afuu unakuja kufa kwa Gono
  2. Mtaalam

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    its 7am.. time to wake up man utd fans
  3. Mtaalam

    Simba tutamaliza Nafasi ya pili kundi C

    mpira wa kwenye whatsapp na midomoni mwa wachambuzi hewa, ka ushindi kamoja wanarudia kuaminisha upuuzi wakiingia kwa ground wakifungwa wanaanza tukana kuanzia kocha mpaka familia zake
  4. Mtaalam

    BAKWATA yataka CASINO ya Palm Village ifungwe, inaleta Usumbufu kwa Viongozi Wastaafu

    Labsa wanaotete baraza lao waje watujibi tuelewe kwanza Casino zinaleta usumbufu gani kwa hao wastaafu na familia zao.. Je hao wastaafu na Familia zao wameomba wasaidiwe kusemewa au ndio kujipendekeza kwa mwendo kasi?
  5. Mtaalam

    Msaada wa kisaikolojia unahitajika

    alikwambia baba mtoto kafa alijupeleka kaburini ukajiridhisha jina la kaburini na la cheti cha mtoto ni sawa?!? if not umeliwa.. suala la pili shukuru umeachwa salama bila magonjwaa maana huyo angekuja kukuua nayo siku jwa jinsu anaonekana mtaalam wa draft.. move on mwana, wanawake wako...
  6. Mtaalam

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakataa vijana 8 kutokana na kujihusisha na vitendo vya Ushoga

    sasa jeshi limewashindwa linawarudisha kitaa? kwanini lisingewaua hata kwa ajali??
  7. Mtaalam

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    huyu mtoto Garnacho ni mzuriiii, Sancho auzwe kabsaaa
  8. Mtaalam

    DOKEZO Jamani jamani kunguni ndani ya MV Victoria zitatuua

    kwa hiyo kunguni wakiingia nyumbani kwako uta abandon nyumba yako?
  9. Mtaalam

    Binti wa mchepuko wangu anataka nitembee naye

    nipatie number ya huyo binti nimkanye aiseee
  10. Mtaalam

    Vifo 19 katika ajali ya ndege Bukoba, muuaji apata kazi katika kikosi cha zima moto

    kwani darasa la 7 wanapewaga smart phone za kazi gani sasa?! anyways Pre form one zinaanza soon tuwe wavumilivu!!!
  11. Mtaalam

    Makocha 13 kushuhudia Derby ya Simba dhidi ya Yanga leo

    nadhani uliangalia mechi na ukaona alichokua akikitaka... angeua kipa wenu leo!!
  12. Mtaalam

    Kwa akili zangu Leo naamua Kujiunga na kalynda

    Kwa hiyo wafikiri hizo nchi zingine za SADC hamna ma ponzi scheme kama hayo yamekula pesa za watu? Ushawahi ishi in any of those countries bwasheee?!? haya mambo yako worldwide for your information
  13. Mtaalam

    Kwa akili zangu Leo naamua Kujiunga na kalynda

    shida wakiambiwa ukweli kwa ujuaji wao huwa wabishiii wakati they know nothing, kuna mtu alileta hesabu hapa zilionyesha return on investment ni 220%..si hata shetani angekuja duniani kufanya hiyo business aache kuchomwa na moto
  14. Mtaalam

    Kwa akili zangu Leo naamua Kujiunga na kalynda

    enhee weye unayejua hesabu, vipi mavuno?
  15. Mtaalam

    Geor Davie ni nani?

    picha zake hizo hapo
  16. Mtaalam

    Mgote physics anakariri vitu, haelewi

    kitu kimoja nimekua nikijiuliza sana hawa walimu wazuri sana wa twisheni za masomo mbali mbali ya sekondari enzi hizo, mbona wengi waliwahi kuondoka na waliondoka wakiwa vijana wadogo?!? Inawezekana yaliyokua yakisemwa ni kweli kuwa walikua wakipika na kupakua mapishi yao!?!
  17. Mtaalam

    VIDEO: Hu Jintao akitolewa nje ya mkutano mkuu wa chama tawala China

    hivi wewe hata video hujui kuangalia na kutafsiri?
  18. Mtaalam

    Geor Davie ni nani?

    Habarini za nyakati hizi wapendwa, nimepata wasaa wa kufuatilia baadhi ya video za chaneli ya YouTube yake na nimekuwa nikiona akitoa hela kwa wasanii, waandishi wa habari mpaka magari. Je, kuna injili ya kweli hapo au? Wanaomfahamu tafadhali taarifa zaidi tunaomba.
Back
Top Bottom