Search results

  1. P

    CCM hawapaswi kulalamika, Wapinzani walishayaongea

    Wapinzani wamelalamika sana juu ya matajiri kusomeshwa namba ikiwemo Kodi kubwa. Wakapewa majina yote mara ni wapiga dili, wahujumu, wanatumika na mabeberu. Wakiongea, CCM huwapotezea muda kwa kuomba miongozo nk. Leo CCM wanalalamika biashara zinakufa sababu ya kodi, huku ni kupingana na...
  2. P

    Uchaguzi 2020 Kesho ni siku maalumu ya kulipiza kisasi

    Wewe Mtanzania kesho ndio siku maalumu uliyongojea miaka 5. Hakuna siku nyingine uliyopewa zaidi ya kesho ya kuchagua kuumizwa tena 5 au kutoumizwa tena. Itendee haki nafsi yako kesho ni siku maalumu ya kulipiza kisasi kwa mabaya yote uliyotendewa na Utawala huu dhalimu. Weka tiki (vema)...
Back
Top Bottom