Search results

  1. J

    Rais aapisha tume ya Katiba!

    arudishwe Tido kwani enzi hizo hakukuwepo na maroroso namna hii.
  2. J

    Rais aapisha tume ya Katiba!

    Yuko wapi Tindu, Mnyika wakatetee maslah ya taifa kwenye tume ya katiba?
  3. J

    Rais aapisha tume ya Katiba!

    tazama TBC kushuhudia
  4. J

    Rais aapisha tume ya Katiba!

    Kama ilivyotaarifiwa awali hapa JF ( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/249896-kesho-tume-ya-katiba-inaapishwa-ikulu.html ); rais leo anaiapisha Tume ya Katiba. Jaji Joseph Sinde Warioba ndiyo anakula kiapo.
  5. J

    Bunge: Sheria ya kuanzisha taasisi ya utafiti wa mifugo

    Mbunge wa Maswa(CHADEMA) amesema jambo.
  6. J

    Polisi watimua mbio kujinusuru na vijana wa CHADEMA

    Polisi ya nchi hii wanakiuka malengo ya kuanzishwa kwa jeshi hilo. Badala ya kulinda usalama wa raia na mali zao wanakuwa maspy wa watawala na watu wa kuwaonea raia. Ngoja Chadema ichukue dola ndiyo watajua kwamba uspy unawatu wake.
  7. J

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    Humpray Polepole ana umri gani? Unaweza kutujuza japo wasifu wake kwa ufupi?
  8. J

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    Nimejaribu kufutailia/ kutafuta wasifu wa watu hawa lakini sijaambulia chochote kwa hiyo inaniwia ngumu kutambua aina ya utendaji wa wengi wa wateule hawa. Pia najiuliza kuhusu suala la umri. Je, damu changa imeangaliwaje? ......au bado wamejaza wazee ili kutengeneza katiba nyingine ambayo...
  9. J

    CCM inamshawishi Mwl Christopher Mwakasege achukue fomu Arusha mjini!

    kila kimoja kina katiba yake. Havifungamani kamwe. Wakikupenda kwenye Injili usidhani utawashawishi kirahisi kwenye siasa. Viva Chadema....alwaýz for life. Chadema for critical change!
  10. J

    Kwa tume hii: Muungano umevunjwa rasmi

    Hapooo haswa ndipo panapohitajika ndugu zangu. Tanganyika should exist!
  11. J

    Jimbo Lingine la Chadema Hili hapa endapo wakiamua kulibeba kirahisi

    Pia jimbo la moshi vijijini liko upandwa wa kusini mwa Moshi mjini( Bonite, TPC n.k). Nakubali maelezo yako kwamba kibosho wanaushawishi wa nani awe mbunge Moshi Vijijini.
  12. J

    Jimbo Lingine la Chadema Hili hapa endapo wakiamua kulibeba kirahisi

    Vunjo arudie John Mrema alafu chama kifanye mipango ya kufungua matawi kwa wingi. Huyu kijana ni zaidi ya Lyatonga
  13. J

    Lema ukimwagwa usikate rufaa rudi kwenye uchaguzi

    Kumzuia kushiriki siasa miaka mitano! Mnara wa uhuru pale Arusha utakuwa ni mnara wa ukombozi wa mtnzania kutoka kwenye serikali dhalimu ya CCM. Tutaandana, watupige, tufe mpaka tuishe kama wakileta hukumu zisizokuwa na utu Arusha.
  14. J

    Hukumu ya kesi kupinga ubunge Sumbawanga mjini

    Kwanini iwe hivyo? Iweje hao wa CCM waruhusiwe kukaa mda mrefu namna hiyo baada ya majumuisho ya Chadema? Kama Chadema ikishindwa rufani na iwe suluhishwa kwani ni dhahiri kwamba Mahakama kuu upo mchezo mchafu! Viva Chadema.
  15. J

    Daftari la kudumu la Wapiga Kura: Kuna sababu ya msingi ya kutoboreshwa?

    Ni vyema ili kutoafura kwa watanzania wengi kupiga kura jambo ambalo litatoa ukweli na uhalisia wa matakwa ya Wananchi walio wengi.
  16. J

    Kwa wapenda demokrasia. Hamasisha demokrasia

    Ni jukumu la kila mtanzania mwenye uelewa kuhamasisha watanzania wenzake kujiandikisha ama 'ku-update' taarifa zao pindi tume itakapotangaza marekebisho ya daftari la wapiga kura. Naamini kwamba hakuna udumishaji wa misingi ya demokrasia iwapo kundi kubwa la wananchi wenye haki ya kupiga kura...
  17. J

    Utambulisho mwanajukwaa.

    Jina: Jacob Joachim Mkoa: Kilimanjaro Wilaya: Moshi Jimbo: Vunjo Chama: Chadema Umri: 22 Napenda usawa Mimi ni rasilimali ya taifa na hivyo naamini kwamba matumizi sahihi ya rasilimali tulizonazo ndicho kitakacho liondoa taifa hili kutoka kwenye umaskini wa kupindukia na kuwa taifa...
  18. J

    Mbowe atoboa siri

    Ruvuma usisahau kamanda Mbowe. Huku kila kitu ni shagalabagala na wananchi wamekuwa wakidhulumiwa mazao yao. Wanaruvuma wanahitaji matawi mengi hadi vijijini. Chama makini huzoa wanachama kwa kasi ya ajabu. Viva CHADEMA.
  19. J

    CCM wanafiki, wamtekeleza Sioi Sumari baada ya matokeo kutangazwa

    Lusinde bado hajaendelea tena na matusi na kejeli?
Back
Top Bottom