Search results

  1. MGODOLO

    Mke wangu hapendi kufanya mapenzi

    Yaa brother, ulio yaongea ni kama vile nimekwambia uongee yalio moyoni... Yaani umeniongelea mimi broo, Hata mimi wife wangu ni kama wako, hivyohivyo broo,.. Na sijawahi kumhisi na kwa jinsi nilivyo ishi nae, naweza sema hajawahi kunicheat, simuwazii hayo.. Kalelewa mazingira flani ya dini...
  2. MGODOLO

    Nauza vitu vya ndani, KABATI, MEZA NA SOFASET

    Habari zenu wa JF? Nina baadhi ya thamani za ndani kama mnavyo ziona KABATI la vyombo size 5X6 kama mnavyo liona, hilo ni full mbao sio zile za kuunga MEZA kubwa ya kioo, tena kile kioo kikubwa cha milimita 12,... Urefu mita moja, upana nusu mita, haina kreki kama mnavyo ona SOFASET : sofa...
  3. MGODOLO

    Dereva wa gari aina yoyote

    Kaka nimekaa vijiweni sana, Huko magereji ndio usiseme, sema kila mtu na mtuwe, na wengine hujiongeza kwa chochote, sasa mimi sina kipato, inaniwia vigumu mno
  4. MGODOLO

    Dereva wa gari aina yoyote

    Shukrani mkuu
  5. MGODOLO

    Dereva wa gari aina yoyote

    Madereva wenzangu, na wamiliki wa vyombo vya moto. Pamoja na sifa zote nilizo nazo lakini sina kazi ndugu zangu,... Najua kimsaidiacho mtu chake,. Lakini havitonisaidia chochote pasina nguvu zenu... Hizi kazi zetu za Udereva, bila kushikana mkono huezi pata, labda itokee kama bahati tu Sina...
  6. MGODOLO

    Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

    Ungemchokaje wakati anakukuna kuliko wanaume wote uliopita nao.. Je? Hao wanaojua kuandika, uliwaacha kwanini?
  7. MGODOLO

    Wewe dereva au mmiliki, huwezi kupata LATRA ya gari yako kama dereva wako hajajisajili LATRA

    Nakubaliana na wewe, na hata mimi nina madaraja ya juu, na nina vyeti, ila huoni itapunguza ajira nyingi sana nchini
  8. MGODOLO

    Wewe dereva au mmiliki, huwezi kupata LATRA ya gari yako kama dereva wako hajajisajili LATRA

    1. HALI IKOJE MKOANI KWAKO Ndugu Madereva au Mmiliki? Nataka kuuliza kuhusu mfumo huu, katika mikoa yenu ukoje, Kanda ya kaskazini, Gari yeyote ya biashara ambayo Dereva husika mwenye Leseni Daraja C1, C2, C3, C, na E. Latra itakapoisha Muda wake katika gari hio, Mmiliki wa chombo hicho hawezi...
  9. MGODOLO

    Dereva wa Bajaj, Fuso, Scania na mabasi nipo hapa, mkoa wowote napiga kazi

    Daahhhhh, hali inazidi kua mbaya jamani
  10. MGODOLO

    Dereva wa Bajaj, Fuso, Scania na mabasi nipo hapa, mkoa wowote napiga kazi

    Ndugu zangu,... Hakuna jipya bado ina maana hakuna hata mwenye Bajaji?
  11. MGODOLO

    INAUZWA Kibanda maalum kwa kuuzia nguo, kina matairi

    Wakuu, kibanda bado kipo, na kina maboresho
  12. MGODOLO

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Ooohhh, dah, haya wape wenye sifa zao
  13. MGODOLO

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Mimi ni dereva, nipe connection
  14. MGODOLO

    Majukumu yanazidi kipato, nahitaji kazi jamani kuongeza kipato

    Kupata kazi nzuri ni bahati na sio vyeti,.. Naungana nawe... Nina vyeti kibao vya udereva, ila cha ajabu naishia ku apply tu..
  15. MGODOLO

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Profession: DRIVER (Gari zote naendesha) Education: PSV Experience: 5 YEARS Location: ARUSHA (Popote napiga kazi) Sex: MALE Age: 35
Back
Top Bottom