M2 AKIIBA BLACKBERRY AU I-PHONE ANAKAMATWA SIMPLY KWA NJIA ILIYONIFURAHISHA=> Halow naitwa Janeth napiga simu toka VODACOM, wewe ni fulani fulani na namba yako ya simu ni ___ ___ , NDIO basi umefanikiwa kushinda mill1 kweny bht nasibu, thn wakamwambia afike OFISINI apo ujanja wake wote ukaisha...
Hvi kuna kampuni iliyoweza kuifunika NOKIA.. Cheki sasa hvi, Nokia Lumia ameiacha I phone 4s kwa ubora 4 35% yani kampuni nyingine vimeo! Jamii forums inashidwa kufunguka Je itaweza necta.go.tz wakati wa tokeo.
duh.. Inaonyesha humu wengi mna Masterz nd PHD. Maana ajira nyingi za pale ni Masters nd PHD. Kutoa moja tu iliyokuwa inahitaji mtu mwenye "Adv diploma in computer science/IT" kama ndo ivo Ngoja na mimi nisome kwa bidii nifike Masterz. Mh... LAKINI HAPANA AU WOTE MLI APPLY AKA KA COZI KAMOJA NNI.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.