Search results

  1. pisi jacky

    He's back

    Bwana Bwana Bwana acheni.... Wahenga wanasema hakuna mkate mgum kwenye chai, na kila kubwa na kubwa yake..... Nawasilim wakuu , Two weeks ago nileleta uzi wangu bout how hard imekua kwangu kuweza kumoove on since niachane na mwanaume ambae kusema ukweli nilimpenda mno mno Hadithi inaanza...
  2. pisi jacky

    Nani imewahi mkuta hivi?

    Sijui niiteje hii hali.... four years ago niliachana na this guy!!!! Damn I had to go through hell... niliumia mno I reached a point naongea mwenyewe ni kama nilikua half crazy au almost crazy. Well with time nikaanza zoea na kupona, nkasahau yote. but sijui n woga sijui ni nin I can't move on...
  3. pisi jacky

    Sipendi kwakweli

    Yaan mkaka anahangaika wee adi anapata namba ako Chatting zake sasa Him:hi Me:hi Him:uko poa Me:yea am good Vip:vipi shemeji ajambo Me; kimoyo moyo mi nasema ii mburura imetokea wapi actually sijibu Him:mbona kimya Me;usingizi tu Him:mbona hunijibu lakini maana mdada mzuri ivi najua hauwezi...
  4. pisi jacky

    Dear ladies...

    Hope mko poa... Niwaibie siri mwenye maskio na asikie. Jamani siku hizi kuna kamsemo, "mwanaume akimwaga mboga we mwaga ugali ikiwezekana mwaga hadi maji ya kunawa". Jaman mwanamke asiposimama imara dunia yote inayumba, kamwe kwenye maisha yako usimlipe mwanaume ubaya kwa ubaya anaokutendea...
  5. pisi jacky

    Nashauri kipindi cha mvua wanafunzi wawe wanavaa buti za plastiki

    Sio mwanangu plus nimeongea in general kwa sababu hii ni rain season afu uajabu wa wazo sijauona kama hujala mchana kaa kwa kutulia usije hapa na kelele hujaitwa.
  6. pisi jacky

    Nashauri kipindi cha mvua wanafunzi wawe wanavaa buti za plastiki

    Kuna kuibiwa na kupoteza na mtoto wa darasa la kwanza kumpatia vitu vingi sidhani kama vitarudi salama.
  7. pisi jacky

    Nashauri kipindi cha mvua wanafunzi wawe wanavaa buti za plastiki

    Ningependa kuiomba serikali yangu tukufu na njema, kwa miezi hii ya Januari hadi Aprili watoto wawe wanavaa buti za plastic shuleni. Iweke tu sheria ya buti nyeusi, kwa sababu katika kipindi cha mvua watoto hukanyaga sana maji machafu. Leo nimekutana na katoto ka darasa la kwanza kamevua viatu...
  8. pisi jacky

    Hivi inawezekanaje kufanya unyama kama huu kwa mtu unayempenda?

    ~ Mke ni baraka ~ Mke ni mlango wa mafanikio ~ Mke anakuletea watoto unaheshimika kama mwanaume ~ Unapokwama mke anasimama usifedheheke ~ Linapokupata jambo la aibu na fedheha mke anakuwa kama mtandio kukufunika ile aibu ikuondoke Lakin narudia tena lakini jikague kabla hujaoa. Jiangalie...
  9. pisi jacky

    Uke wenza...

    Happy new year [emoji95] Hope mko poa, tuanze mwaka na simulizi izi mbili za wake wenza. Ya kwanza ni ya kijana mmoja natamuita dany, dany alioa kwa bahati nzuri au mbaya mkewe hakubahatka kuzaa ivo dany katika pita pita zake akakutana na kabinti kamoto kweli yule binti alibeba mimba na kuzAa...
  10. pisi jacky

    Gentlemen nawaita kwa heshima zote

    Hello, everyone Hope mko poa, siku kazaa zimepita niliitisha Kikao Cha ladies. kutaka kujua kwanini mala nyingi hua haiwezekani kushare mwanaume[emoji848] wapo waliorespond raha ya mume muwe zaidi ya mmoja! Wapo waliobisha kabisa[emoji2955] wengine Hadi nimewaona pm wakieleezea kwa hisia Kali...
  11. pisi jacky

    Kisa cha Mimi kugombea demu na Jini

    Achana na moderators wasamehe bure Enhe ikawaje Sasa[emoji4]
  12. pisi jacky

    Ladies mkuje hapa tuseme jambo

    Hope mko poa Moyo wangu unasononeka sana, ndan ya wiki moja yametokea matukio ya ajabu sana hapa mtaan kwetu. Yaan kila nikifikilia na kuangalia nakosa hata ham ya kula. Lakini kabla sijawasimulia naomba Niulize swali. kuna shida gani?!mwanaume akiwa na wake wawili na wote anawahudumia vzuri...
  13. pisi jacky

    Wanaume mnaopiga wake zenu

    Wasalaam, Mungu ametuumba tu katika hali ya kutegemeana, moyo wangu unaniuma sana ninapoona watu wanapishana to the extent wanapigana . Kwa wanaume mnaopigwa mtanisamehe, sikuhukumu mwanaume unaempiga mkeo Wala sikunyoshei kidole. Let's talk just talk Najua mpaka unachukua uamuzi wa kumpiga...
  14. pisi jacky

    Dunia ina Mambo...

    Sasa ndo tunakwambia wanawake sio wachoyo na huyo wakwako kama ni mchoyo wewe ndo sababu
  15. pisi jacky

    Dunia ina Mambo...

    Nature is nature mwanaume always anatakiwa aheshimiwe na mwanamke apendwe utatetea sana but asili ya ndani hua haijifichwi and remember always respect is earned. tofauti na upendo
  16. pisi jacky

    Dunia ina Mambo...

    Ukweli hua unakera sana I can feel you[emoji3][emoji3][emoji3]
  17. pisi jacky

    Dunia ina Mambo...

    Read carefully before replying child.
  18. pisi jacky

    Dunia ina Mambo...

    The boring ain't bout the handwriting, It's the truth behind the handwriting that bores you. Anyone reading and accepting what I've written won't complain it's boring. By the way reading and commenting it's optional no one forces you to read[emoji3166] With love Jacky.
  19. pisi jacky

    Dunia ina Mambo...

    Vijana wetu wa kiume hamjambo, nawasalim ni mim tena mwandiko bila nukta Wala vituo. Kuna wakaka mi nawaita watoto, bila kujali umri wao yaan n wavulana. unakuta mvulana ana More than 34 years hajaoa, ila kakazana kupost "mwanaume mwenye gari utamkuta unapopaki gari lako" mala nyingi mtu...
Back
Top Bottom