Search results

  1. S

    Ni vyema Wizara ya Fedha ikajua kuwa uhalisia wa matumizi ya tozo sio maneno ya namba watanzania wanasubiri kuona

    Ni kama vile watanzania wamekubali yaishe , japo malalamiko mengi bado yanaendelea katika mitandao ya kijamii , huku serikali ikijitahidi kuwaaminisha watanzania juu ya matumizi ya tozo zinazowaumiza kila kukicha . Kumekuwa na kupiga kwingi kwa kelele katika vyombo vya habari huku wizara ya...
  2. S

    Rais Samia wasaidizi wako wa Uchumi pamoja na Jeshi la Polisi nchini vinaharibu mwenendo wa Serikali yako

    Rais samia tambua kuwa kila jambo litakalofanyika ndani ya serikali yako liwe zuri au baya ni wewe ndio unayenyooshewa kidole na si mtu mwingine , kuwa makini sana na hawa wasaidizi wako wanafanya maamuzi yao ikiwa pamoja na kujenga hoja juu ya maamuzi hayo kwa maslahi yao binafsi , husifikiria...
  3. S

    Rais Samia kwenda Zambia na Kikosi cha Viongozi wa CCM ni mkakati wa kujenga Urafiki na kilichokuwa chama Pinzani?

    Rais Samia kwenda Zambia na Kikosi cha Viongozi mbalimbali wa CCM Je, ni mkakati wa kujenga Urafiki na kilichokuwa chama Pinzani? Leo Rais Samia anatarajia kuondoka nchini kuelekea nchini Zambia kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais mpya wa nchi hiyo Hakainde Hichilema , miaka yote tumezoa Rais...
  4. S

    #COVID19 Wabunge tukachanje chanjo ya COVID-19 tusimsikilize Askofu Gwajima tusije kukosa vikao vijavyo

    Kuchanja ni hiyari lakini huna hiyari ya kuambukiza wengine. Ndugu wabunge tusimsikilize Mbunge wa Kawe Askofu Gwajina kuhusiana na chanjo ya Korona , nawashauri nendeni mkachanje mpaka kadi zenu ili muendelee kuwatumikia wananchi katika majimbo yenu ni jambo la kusikitisha kuachia nafasi ya...
  5. S

    Pongezi Serikali ya Rais Samia kwa kutoa kiasi cha Tsh bilioni 300 kuendeleza miradi jijini Dodoma

    Nianze na kumpongeza mama Samia kwa uamuzi mzuri na wenye busara zenye kulenga mwendelezo wa aliyekuwa mkuu wake wa kazi , pongezi zingine ziende kwa waziri mkuu kwa tamko la utoaji wa kiasi cha bilioni 300 zitakazotumika kuendeleza miradi jijini Dodoma iliyoanza awamu ya tano na mwendazake JPM...
  6. S

    Kumbe Askofu Gwajima anaweza kuanzisha chama cha siasa na kikawa na nguvu kuliko CHADEMA

    Askofu Gwajima siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwaaminishia watanzania kuwa yeye si mtu wa kuyumbishwa yumbishwa na wachumia tumbo hata kama yupo chama cha CCM , ana uwezo wa kumpinga Mwenyekiti wake pamoja na viongozi wote wa CCM kama sehemu ya misimamo yake pamoja na imani yake. Nguvu hii...
  7. S

    IGP wa Zambia aliwaonya wapinzani kuhusu kuandamana mwaka 2019, leo kiongozi wao ni Rais Mteule

    IGP wa Polisi Nchini Zambia Afande Kakoma Kanganja (Pichani) tarehe 25.11-2019 aliwaonya wanachama wa Chama cha Upinzani nchini Zambia( UPND) kuwa Wakijaribu Kuandamana polisi wake WATAWAKUNG'UTA sawasawa pamoja na kiongozi wao Hakainde Hichilema ambae rasmi ni Rais Mteule Zambia. HII IMEKAAJE SASA
  8. S

    Zambia: Mambo yaliyofanya kilichokuwa chama tawala cha Edgar Lungu kuanguka Uchaguzi Mkuu ni haya

    Mapema baada ya kupata matokeo ya uchaguzi mkuu nchini Zambia nikasema ngoja nifuatilie nini kimesaidia chama hichi kuanguka baada ya wananchi wa nchini Zambia kuamua , nimefuatilia chanel mbalimbali za mitandao na Tv za ndani ya Afrika na nje ya Afrika kwa lengo la kujua kulikoni chama tawala...
  9. S

    Viongozi wa Vyama vya Upinzania Tanzania msikate tamaa, soma historia ya Rais mpya wa Zambia utajifunza kitu

    KUPATA UONGOZI KATIKA NGAZI YA NAFASI YA URAIS SIO JAMBO LA DAKIKA MBILI , UVUMILIVU , KUMUOMBA MUNGU , KUANDAA SERA SHIRIKISHI , KUPIGANIA DEMOKRASIA ,KUWA MAONO YA MBELE NI BAADHI VITU VINAVYOTAKIWA KUANGALIWA SANA WAKATI WA KUANDAA NJIA. Rais Mpya wa Zambia na vikwazo alivyopitia kutoka...
  10. S

    Kati ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kipi kianze?

    Vyama vya upinzani nchini Tanzania kwa kipindi kirefu vimekuwa na madai mbalimbali yanayousiana na suala zima la chaguzi za kisiasa , madai haya yamekuwa yakibadilika badilika kulingana na serikali iliyopo madarakani. Hapo awali kulikuwa na vuguvugu kubwa la kudai tume huru ya uchaguzi...
  11. S

    Wanaokufa ni wengi ila wanaojulikana na kurushwa katika mitandao ni wale wenye hadhi katika jamii

    Kumekuwa na vifo vingi sana vinavyotokea kuanzia wimbi hili Delta lianze ila wengi wanakufa lakini wachache ndio wanaorushwa katika mitandao ya kijamii , hii ni kutokana na wadhifa wa marehemu mwenyewe mfano marehemu alikuwa nani , alikuwa anafanya nini? Uchumi wake na biashara zake kama...
  12. S

    #COVID19 Serikali imejipangaje kwa kadi feki za chanjo ya Corona?

    Ukiwasikiliza watanzania wengi wanaonekana wanahofu na chanjo ya Korona lakini hawana mpango wa kuchanja na unapomuuliza kuwa je endapo masharti ya nchi yakabadilika katika swala zima la kupata chanjo ya korona kama vile kukosa huduma za msingi pale ambapo utaonekana kuwa huna kadi ya Kovid 19...
  13. S

    Siku za Humphrey Polepole na wenzake ndani ya CCM zinahesabika

    Mwanachama machachali sana ndani ya CCM ndugu Humphrey Polepole a.k.a Comred Polepole pamoja na genge lake lipo hatiani kuondoka ndani ya Chama cha mapinduzi kutokana na kwenda sawa na mfumo wa awamu ya sita. Walifanikiwa kuwakonyeza Watanzania kuwa tupo fiti na tukitaka kupindua tunaweza...
  14. S

    Changamoto juu ya chanjo iliyotokea miaka ya 1950s ndio inayojitokeza sasa, ila mwishoni utafika tu

    Nianze kwa kusema kuwa wenzetu ambao ni jirani zetu hapo kenya nao walianza kwa kusema kuwa chanjo ya Corona ni hiyari na sio lazima , lakini tamko lilitoka jana kutoka serikalini ni kwamba kila Mkenya ambaye ni mtumishi wa Umma lazima apate chanjo ndani ya wiki mbili zijazo na mwisho ni tarehe...
  15. S

    Samia unaingizwa chaka na wasaidizi wako, 2025 CCM itakuwa na kazi ngumu ya kuwashawishi wapiga kura

    Mama Samia unaingizwa chaka na wasaidizi wako, mwaka 2025 CCM itakuwa na kazi ngumu ya kuwashawishi wapiga kura. Wakina Mwigulu ni Wapambe wasaka tonge wa 2025. Kama kichwa cha habari kinavyosema katika kila serikali inapoingia madarakani inakuwa na watu wake yaani hao ndio chama chamani hakuna...
  16. S

    Swali fikirishi: CHADEMA ni chama cha Siasa, Harakati au Haki za Binadamu?

    Jina lake kamili ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo na kifupi chake ni CHADEMA kifupi ndani ya ufupi wa jina ni CDM, lakini kuanzia ngazi ya msingi ya hiki chama hakihakisi kabisa jina la chama hichi , sasa maswali yanakuja mengi na kutaka kujua hivi hiki chama ni cha mlengo gani? Kuna wakati...
  17. S

    Rais Samia kuwa makini na Rais Paul Kagame

    Majira haya ya asubuhi hii Rais Samia yupo safarini kuelekea Kigali Rwanda kwa mwaliko wa siku mbili na mwenyeji wake Paul Kagame (PK), nakumbuka JPM alipoingia tu madarakani alijenga sana urafiki na PK lakini baada ya muda mfupi tu urafiki wao ukaingia mchanga na vumbi baada ya hapo huyu PK...
  18. S

    Kwanini Serikali haiziki maiti zilizokufa kwa Corona?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la vifo vya ugonjwa wa korona karibia kila kona ya taifa hili kama wimbi la tatu lilivyokuja kwa kasi kubwa lakini ukiangalia kwasasa maambukizi ya virusi vya korona yanaenea kwa uzembe sana, utakuta watu wanajua wazi kuwa huyu mtu kafariki na virusi vya korona na...
  19. S

    #COVID19 Mapokezi ya chanjo ya Covid-19 yapo hasi sana kwa Watanzania

    Ukiacha Gwajima kuchafua hali ya hewa kuhusiana na chanjo ya Corona lakini tayari watanzania walishaaminishwa na Rais wa awamu ya tano, Hayati Magufuli kuwa chanjo ya Corona sio salama kabisa na hivi huku hayati akisema kuwa chanjo ya Korona inayopigiwa debe na mabeberu kama alivyokuwa anasema...
  20. S

    Freeman Mbowe, nchi kuongozwa na Mwanamke siyo fursa ya kutaka mambo kwa pupa

    Kuna wakati kila jambo linahitaji kufikiriwa kwa undani sana, kila mtu katika taifa ana haki yake lakini katika kudai haki yako kuna taratibu nyingi za kufuata pamoja na kufanya uzingativu hivyo ukikosea katika utaratibu huo basi haki yako inageuka kuwa kaa la moto hata kama ni jambo la faida...
Back
Top Bottom