Search results

  1. S

    Utajiri wa Mark Zuckerberg wapotea kwa Dola bilioni 7 baada ya Mitandao yake kupata tatizo

    Dunian kote ukiacha biasahara ya madawa ya kulevya , silaha cha kivita , inayofuata ni biashara mtandaoni....
  2. S

    Utajiri wa Mark Zuckerberg wapotea kwa Dola bilioni 7 baada ya Mitandao yake kupata tatizo

    Tuna haki ya kudai , wanaotakiwa kutuongoza katika madai haya ni TCRA kupitia kitengo chao cha madai ya huduma kwa mteja ila naona wamekaa kimya kama hawajui vile ...
  3. S

    Utajiri wa Mark Zuckerberg wapotea kwa Dola bilioni 7 baada ya Mitandao yake kupata tatizo

    Waangalie ni jinsi gani wanaweza kutulipa kwa muda ambao tumeshindwa kufanya biashara zetu kutokana na tatizo lao binafsi nimepoteza kiasi Tshs. 12,600,500/ kwasababu ya huduma yao.
  4. S

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Ni kama maajabu mapya ndani ya taifa , Rais anakazana kuibrand nchi na kuacha mamlaka husika kufanya kazi zake , serikali ina wizara yenye dhamana , wizara ina Bodi maalum ya Kutangaza Utalii ndani na nje ya nchi , serikali ina mabalozi karibia asilimia 80 ya mataifa duniani , taifa lilipata...
  5. S

    Ni vyema Wizara ya Fedha ikajua kuwa uhalisia wa matumizi ya tozo sio maneno ya namba watanzania wanasubiri kuona

    Ni kama vile watanzania wamekubali yaishe , japo malalamiko mengi bado yanaendelea katika mitandao ya kijamii , huku serikali ikijitahidi kuwaaminisha watanzania juu ya matumizi ya tozo zinazowaumiza kila kukicha . Kumekuwa na kupiga kwingi kwa kelele katika vyombo vya habari huku wizara ya...
  6. S

    Je, una imani na Jeshi la Polisi?

    HAPANA IPO HIVI KWANINI WATANZANIA WAMEPOTEZA IMANI KWA JESHI LA POLISI? Kumekuwepo na matamko mbalimbali kwa Jeshi la Polisi juu ya utendaji kazi kwa raia , kwanini jeshi limepoteza imani kwa raia ambao ndio jukumu lake kubwa kuwalinda raia hao , katika mkutano na Rais Samia leo amewaambia...
  7. S

    Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Kuna tukio limetokea hivi punde la mtu hasiejulikana kufyatua risasi hovyo na kuuwa askari , katika tukio hilo mpaka sasa hakuna taarifa za ndani juu ya tukio hilo zaidi ya mitandao ya kijamii kurusha picha za mtu huyo akiwa hai na nyingine akiwa amekufa. Sasa masikio na hamu tele kwa...
  8. S

    Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Kuna tukio limetokea hivi punde la mtu hasiejulikana kufyatua risasi hovyo na kuuwa askari , katika tukio hilo mpaka sasa hakuna taarifa za ndani juu ya tukio hilo zaidi ya mitandao ya kijamii kurusha picha za mtu huyo akiwa hai na nyingine akiwa amekufa. Sasa masikio na hamu tele kwa...
  9. S

    Rais Samia wasaidizi wako wa Uchumi pamoja na Jeshi la Polisi nchini vinaharibu mwenendo wa Serikali yako

    Rais samia tambua kuwa kila jambo litakalofanyika ndani ya serikali yako liwe zuri au baya ni wewe ndio unayenyooshewa kidole na si mtu mwingine , kuwa makini sana na hawa wasaidizi wako wanafanya maamuzi yao ikiwa pamoja na kujenga hoja juu ya maamuzi hayo kwa maslahi yao binafsi , husifikiria...
  10. S

    Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

    Mubashara hauna uhuru wa kusema kila jambo liende katika public ni utashi tu wa fundi mitambo kufanya muting na off muting...
  11. S

    Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

    Kama wewe sio mwanataaluma ya habari ni ngumu kufahamu ila naamini Jafari yeye amenielewa
  12. S

    Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

    safi sana mkuu umechangia jambo jema , mfano Rais akitaka kutoka nje ya hotuba asubiri yale ya msingi katika hotuba yaishe alafu aviruhusu vyombo vya habari vitoke nje ya ukumbi , then ndio aanze kuongea , hii hata katika ngazi ya familia sisi wazazi uwa tunafanya mfano kapo katoto hapo sebuleni...
  13. S

    SoC01 Wahitimu wa Vyuo na Maisha ya utafutaji Mtaani

    Hongera sana kwa andiko
  14. S

    Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais ,Ikulu Jafari Haniu naamini wewe ni mwandishi wa habari na umefanya kazi katika vyombo mbalimbali vya habari, katika tasnia ya habari kuna kitu kinaitwa "Off Records" katika mambo anayoongea Rais sio kila jambo lazima liende kwa wananchi kuna mengine personal...
  15. S

    Rais Samia kwenda Zambia na Kikosi cha Viongozi wa CCM ni mkakati wa kujenga Urafiki na kilichokuwa chama Pinzani?

    Rais Samia kwenda Zambia na Kikosi cha Viongozi mbalimbali wa CCM Je, ni mkakati wa kujenga Urafiki na kilichokuwa chama Pinzani? Leo Rais Samia anatarajia kuondoka nchini kuelekea nchini Zambia kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais mpya wa nchi hiyo Hakainde Hichilema , miaka yote tumezoa Rais...
  16. S

    #COVID19 Wabunge tukachanje chanjo ya COVID-19 tusimsikilize Askofu Gwajima tusije kukosa vikao vijavyo

    Kuchanja ni hiyari lakini huna hiyari ya kuambukiza wengine. Ndugu wabunge tusimsikilize Mbunge wa Kawe Askofu Gwajina kuhusiana na chanjo ya Korona , nawashauri nendeni mkachanje mpaka kadi zenu ili muendelee kuwatumikia wananchi katika majimbo yenu ni jambo la kusikitisha kuachia nafasi ya...
  17. S

    TANZIA Mwalimu Alex Kashasha, mchambuzi nguli wa Soka afariki dunia

    Mchana huu wa leo Tanzania imepata pigo kubwa kwa kuondokewa na mchambuzi wa mpira wa miguu ambaye ni mwanasayansi wa soka la Tanzania na Ulaya kwa ujumla mtalaam Alex Kashakasha , maarufu kwa jina Mwalimu Kashasha ametutoka mchana huu . Mungu ailaze Roho ya marehemu Mahali pema peponi Amina.
  18. S

    Pongezi Serikali ya Rais Samia kwa kutoa kiasi cha Tsh bilioni 300 kuendeleza miradi jijini Dodoma

    Nianze na kumpongeza mama Samia kwa uamuzi mzuri na wenye busara zenye kulenga mwendelezo wa aliyekuwa mkuu wake wa kazi , pongezi zingine ziende kwa waziri mkuu kwa tamko la utoaji wa kiasi cha bilioni 300 zitakazotumika kuendeleza miradi jijini Dodoma iliyoanza awamu ya tano na mwendazake JPM...
  19. S

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Watanzania sijui wanataka kuburuzwa mpaka wapi ,mana kwa wanavyoburuzwa na walivyoburuzwa ni wamebaki chakachaka ukiangalia tu mda huu yaani kila kipo juu Mfumuko wa bei kila kona ...mafuta ya kula juu , tozo za e mone ndio balaa , mbolea juu juu kabisa , petrol juu juu juu zaidi, mahindi juu...
Back
Top Bottom