Search results

  1. Fatma-Zehra

    Furaha Dominic: Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa kundi linalomkwamisha Rais Samia

    Uje kwetu nikupikie pilau la kondoo kaka. You've nailed it
  2. Fatma-Zehra

    Wizara zetu hazieleweki. Ila Elimu, Ardhi na Miundombinu "zitakufa" mapema zaidi

    Hakuna kiongozi wa wizara ya Elimu (hawa wapya) anayefahamu matatizo ya elimu yetu. Elimu yetu inaweza kufa kabisa. Soon, very soon, Presdent Samia atafanya mabadiliko tena. Kule ardhi mama ameshauriwa vibaya. Lukuvi anaweza kutolewa na ardhi isiyumbe. Ila katibu mkuu wake, yule Mary, hakutakiwa...
  3. Fatma-Zehra

    Waziri Mkenda: Hii sio Wizara ya Elimu tu, bali Elimu Sayansi na Teknolojia kwa mapana yake

    Naona elimu ikifa kwa speed ya ajabu. Hakuna hata mmoja kati yao anayefahamu matatizo ya elimu katika taifa hili.
  4. Fatma-Zehra

    Ipi ni hadhi ya cheo cha Makamu wa Rais?

    Vice President inabidi apunguze mwili lest omicron imwondoe. Kanenepa sana. Kha!
  5. Fatma-Zehra

    Balozi Kagasheki: TCRA Mnachekesha

    Asante Balozi. This's why nampenda mtu mwenye msimamo hata kama yuko wrong
  6. Fatma-Zehra

    Sextuplets ni baraka kwa familia

    Pumbavu!Ungekuwa karibu ningekumwagia maji ya moto ili utanuke!Mpuuzi mkubwa wewe!
  7. Fatma-Zehra

    CIA walimtaka Chifu Thomas Mariale, Fabian Society walimtaka Chifu Kidaha, Jesuit wakamtaka Julius Nyerere

    Asante Yericko. Hadi sasa hali "haijatulia". Wananchi wengi kama mimi bado tumelala usingizi. We know nothing. Mambo ya kutisha ni mengi. Ila ni shule tosha. All the best.
  8. Fatma-Zehra

    Umbea uliopotea njia: Janet, ni kweli Magufuli alitaka kubadili dini ukamzuia?

    Mama Pombe shikamoo. Pole sana na msiba wa Mzee. Let me be honest. Your husband was honest. Nilipenda utawala wake kwa sababu kama mfanyabiashara ulikuwa clean, kupata mafanikio kipindi chake was obvious. Mumeo alikuwa mzalendo sana licha ya "ufyatu fyatu" wake ambao sikuwa naufurahia. Ukweli...
  9. Fatma-Zehra

    Tundu Lissu: Tunataka Rais afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote

    My lovely president did a very big mistake. I think she was misled
  10. Fatma-Zehra

    Polepole na wenzake wasingetamani kusikia Rais Samia akigombea 2025, Nawakumbusha Rais Samia yupo hadi 2030

    Mbona unatumia nguvu nyingi sana kulazimisha jambo?You don't love our president. Nyie ndiyo mnaomchafua. Yaani mmemfanya aonekane ni adui wa polepole wakati siyo kweli. Credibility au kupendwa kwa mama hakutokani na matusi kwa polepole ambaye basically ana matatizo yake. Instead, mama atapendwa...
  11. Fatma-Zehra

    Magufuli: Mimi ndio Rais, ninajua siri zote za nchi

    Lusungo lusungo!!! I'm married my dear bro!
  12. Fatma-Zehra

    Cyril Ramaphosa on Smart Partnership

    He's good. Sema hizo ni theory tu. The world is governed by notorious operatives.
  13. Fatma-Zehra

    Magufuli: Mimi ndio Rais, ninajua siri zote za nchi

    Licha ya kutofautiana naye kwa baadhi ya mambo hasa mambo yake ya hovyo, JPM ndiye president mzalendo aliyewahi kutawala Tanzania. Another man I love most ni Tundu Lissu licha ya kwamba tunatofautiana baadhi ya mambo. Lissu ni hazina ya taifa. Ni national asset.
  14. Fatma-Zehra

    Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

    Nape aache utoto na mambo yetu wanawake ya kuchambana. Halafu huyu eti naye alikuwa waziri. Zero kabisa.
  15. Fatma-Zehra

    Humphrey Polepole unaamaanisha nini kusema hivi?

    Hiyo statement ni ya "wenye nchi" na si ya polepole. I know these people. They're very very smart. Mama awe makini tu.
  16. Fatma-Zehra

    Uchumi wetu unaweza kuanza kuanguka mwishoni mwa 2023: Rais Samia anahitaji "National Security Advisor" aliyebobea sana

    Shikamoo mama. Pole na majukumu. Bado ninaamini kuwa wewe una utu. Endelea kuwa na utu na siyo ulegevu. Majizi ni mengi kuliko idadi za pikipiki zilizoko mkoa wa Katavi. I love you. Naomba nikupe ushauri. Data zinaonyesha mambo yafuatayo: 1. Mwaka 2022 yawezekana kukawa na njaa Kali sana...
  17. Fatma-Zehra

    Tumemkosea wapi Rais kusifia six packs za wasanii kwenye shughuli za Urais?

    Mlimpelekea vifua vya nini? Mwache mama yangu. I thought ungeongelea inflation na maisha kuwa magumu, maji plus power.
Back
Top Bottom